Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,971
- 54,097
Jinsi unavyofanya ndio ujuzi wako ulipo
Zaidi ya kipaji!
Mzingo, una wasiwasi kwa kuwa wewe umechelewa?!
Hii makitu ni kama vile mtoto anavyozaliwa.., kwani nani anayemfundisha kunyonya ziwa la mama yake?!!
Usijali utakapoanza mambo yatajiseti na kama ni mjanja basi utajiongezea kwa mautundu ya hapa na pale!
To some, sex is art. To some, it's just another activity they only take part in, cuz they have to. An artist will obviously, do it with passion. The other, eeeh!
So basically, it's all about perception. I think.
utaalam unaletwa na hamasa kwa mtu ulienae moja usafi wa mwanaume unafanya mwanamke uwe huru kwa mumeo pili ni nidhamu ya mwanaume kuna wanaume wanatabia za primary za kuropoka mambo ya chumbani mtu unajikuta mzuka unaisha unafanya tuuu bora liende na tatu faida unayoipata kutoka kwa mwanaume aidha upendo wa kwel, kujali, zawadi fedha vinampa mtu hamasa lakini mtu unajua kabisa upo after sex kisa cha kujichosha ni nin binafsi nikiona mtu hasomeki nakaa tu nangalia cjishughlish
Una kipaji?
Jamani mengine ni kipaji tuu hakuna cha darasa wala nini.