Kama wiki mbili zilizopita, waziri Chami alishindwa kuendelea na ziara jimboni kwake na kukimbilia India kwa matibabu. Wakati serikali inatoa taarifa kuhusu viongozi wagonjwa walioko India, iliokana kuwa haina habari na kuwepo kwa waziri Chami huko India. Uvumi ni mkali kuwa haijulikani yuko India au wapi.
Pia, ugonjwa wa Dr. Chami umekuwa ni siri kubwa sana kwa muda mrefu kiasi ambacho ni habari kiduchu zinatolewa kuhusu afya yake ukilinganisha na viongozi wengine hususani Prof Mwndosya, Mwakyembe na Zitto Kabwe.
Wananchi wanahitaji kujua afya ya kiongozi wao hasa wapiga kura wake wa jimbo la Moshi Vijijini kwa kuwa UKISHACHAGULIWA KUWA KIONGOZI WAKO MAISHA YAKO NI KIOO NI LAZIMA WALIOKUCHAGUA WAJUE KUHUSU WEWE.