Ni nini kinamwandama Dr. Chami?

Kama wiki mbili zilizopita, waziri Chami alishindwa kuendelea na ziara jimboni kwake na kukimbilia India kwa matibabu. Wakati serikali inatoa taarifa kuhusu viongozi wagonjwa walioko India, iliokana kuwa haina habari na kuwepo kwa waziri Chami huko India. Uvumi ni mkali kuwa haijulikani yuko India au wapi.

Pia, ugonjwa wa Dr. Chami umekuwa ni siri kubwa sana kwa muda mrefu kiasi ambacho ni habari kiduchu zinatolewa kuhusu afya yake ukilinganisha na viongozi wengine hususani Prof Mwndosya, Mwakyembe na Zitto Kabwe.

Wananchi wanahitaji kujua afya ya kiongozi wao hasa wapiga kura wake wa jimbo la Moshi Vijijini kwa kuwa UKISHACHAGULIWA KUWA KIONGOZI WAKO MAISHA YAKO NI KIOO NI LAZIMA WALIOKUCHAGUA WAJUE KUHUSU WEWE.
Chami ni sumu mkuu.
 
Kwa nini tunapenda kutaka kujua ugonjwa wa mtu?La muhimu ni kuwa anaumwa na yuko hospitalini,akitaka atatueleza diagnosis kama alivyofanya Zitto.
Halazimiki kutueleza anaumwa nini.
 
Wakuu naomba kuuliza kwa nia njema kabisa Je ni kweli Dr. Chami yu mgonjwa sana?
 
Alikuwa Mkali; Kapata ajali mbili za ajali za gari kwenye maeneo Tambarare hakuamini ... Mchagga hajui Mazingaumbewe kanyamaza kimya yuko kwenye kona ya nyumba yake hasemi chochote...

Wajanja Wamnyamazisha kimazingaumbwe... hawakuitaji kukwenda zaidi na kufanya NYAKWEMBE!!!
 
Tunaomba dua lako liwe la kheri bana!! huyo dogo ni jembe la ukweli na ninamwaaminia. kama Mugabe na utu uzima wake ameweza KUIONGOZA ZIMBABWE hakika huyu akibeba bendera ya CCM mambo yatakuwa poa sana Hata kama ni mgonjwa. Jingine ni kwamba huyu dogo anawanyima raha mafisadi wa ccm ile mbaya kwa sababu hana kitu pamoja na kufanya kazi DARUSO, MAGOGONI na MJENGONI miaka Kibao dogo hana hata gari binafsi ya kutembelea. kama mnabisha mwenye data azimwage hapa – HUU NDIO MWARUBAINI WA MAFISADI NA SIYO HAO WANAOPIGA KELELE USIKU NA MCHANA
 
A dyin g CCM and the last minute shopping for a presidential candidate from a hoard of 'well-known social misfits' - a non-starter move indeed!!!!!!!!!!

wanadai anaweza kuwa mgombea uraisi wa CCM. nasikia ni mchapakazi na ni kichwa.....
 
khaaa JK amefanya kila mtu adhanie anaweza kuwa Rais jamani..khaaaaa hata CHAMI awe RAIS wa NJII hii???? daaaa kazi sana
 
mimi nimemuona last week ananafuu lakini mimi ninavyoona bado hajapona afya yake si ile tunayoijua, tunamuombea apone kabisa.
 
Tunaomba dua lako liwe la kheri bana!! huyo dogo ni jembe la ukweli na ninamwaaminia. kama Mugabe na utu uzima wake ameweza KUIONGOZA ZIMBABWE hakika huyu akibeba bendera ya CCM mambo yatakuwa poa sana Hata kama ni mgonjwa. Jingine ni kwamba huyu dogo anawanyima raha mafisadi wa ccm ile mbaya kwa sababu hana kitu pamoja na kufanya kazi DARUSO, MAGOGONI na MJENGONI miaka Kibao dogo hana hata gari binafsi ya kutembelea. kama mnabisha mwenye data azimwage hapa  HUU NDIO MWARUBAINI WA MAFISADI NA SIYO HAO WANAOPIGA KELELE USIKU NA MCHANA

Mkuu tunaweza kutumia hicho kigezo kwa vile hana gari na amefanya kazi sehemu nyeti?inawezekana ni kichwa kisichoweza kujisimamia?au labda anahonga sana?au hela zake zinaishia bar'sehemu ulizotaja alizofanya kazi kama ni kichwa ange save hela na angekuwa na magari sio gari''mkuu hicho sio kigezo tulishaliwa sana tu!
 
wakuu hapa naona hatuna mtu safi CCM hata huyo chami inamaana angekuwa na mtazamo angekuwa mbali na mafisadi
 
Sasa mlitaka aseme bado anaumwa? Hata Mrema ukimuuliza leo atakwambia afya yake ni 100%!!!
 
Back
Top Bottom