Ni nini kinaendelea hapa Ubungo Plaza?

Wee ata ukitwa pale kilimanjaro jumba la freemasson utaingia ndani uulize ninikinaendelea kabla ya kwenda uliza baba watu wanatafuta miasha ati
 
Wee ata ukitwa pale kilimanjaro jumba la freemasson utaingia ndani uulize ninikinaendelea kabla ya kwenda uliza baba watu wanatafuta miasha ati
Mi sijapata mafanikio, hivyo popote ntaposikia yapo, nawahi fasta.
 
Nimewasikiliza kwa umakini na yule dada aliyenipigia simu ndo alikuwa mshawishi mkubwa pale. Nilionesha kumkubalia sababu mzuri na sikupenda kum-disappoint, lkn I'll never go there again for the same issue.

remember without you they have made money, also without you they will make money kwa sababu we kama hujaona fulsa kuna mwenzako ataiona and life goes on...
 
remember without you they have made money, also without you they will make money kwa sababu we kama hujaona fulsa kuna mwenzako ataiona and life goes on...
Mkuu this business is not as easy as it seems and its not for everyone.., people who joined in the beginning some of them made some cash but as time goes on when the business becames saturated and more people join (and people don't join to use products, they join to make money) you get a lot of people who are down-lines but they don't recruit anymore (or they can't as there are very few to be recruited) you find out that the backward ripple effect arises even those who use to make cash stops getting cash (the residual income becomes a far fetched dream)

This works very well in paper but practically its even harder than a normal day job..., For every guy who claims to have made millions there are millions who have made nothing.. to but it bluntly they have invested more than what they have got..
 
Mkuu sun wu...i total agree with you. this biz is not for everyone but ONE with a BIG DREAM....cause when u have a big dream you wont stop hastelling untill u achieve.,this biz navyojua u can work everywhere in world. Tanzania has above 40m people so unavyosema is saturated sikuelewi...dont do this biz kama unataka pesa ya halaka u will endup disappointed..
 
hawa jamaa hupata namba kupitia marafiki ndugu na jamaaa waliowahi kwenda huwa wanaandika majina 20 hadi 50 ya wengine wawajuao hivyo wale wanaofanya kazi huko huanza kuwapigia na kuwashawishi kujiunga na kununua bidhaa na mbwembwe nyingi za waliofanikiwa hutolewa na wahusika.
hivyo wana namba za simu nyingi sana.
 
na wewe mkuu siku nyingine ukipigiwa simu na mtu anakwambia uende sehemu usiende hadi ujue yatakayojiri huko katika dunia ya sasa isiyosalama utaendaje tu mahali eti kisa umepigiwa simu na mtu. ukisingiziwa jambo au ukatekwa utalalamika?
kuwa makini siku zote hata kama tunatafuta fursa mbalimbali sio namna hii.
be careful always
 
stuka:yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell:
 
hawa jamaa hupata namba kupitia marafiki ndugu na jamaaa waliowahi kwenda huwa wanaandika majina 20 hadi 50 ya wengine wawajuao hivyo wale wanaofanya kazi huko huanza kuwapigia na kuwashawishi kujiunga na kununua bidhaa na mbwembwe nyingi za waliofanikiwa hutolewa na wahusika.
hivyo wana namba za simu nyingi sana.

Ni DECI kiaina nini? tustuane bana!
 
Back
Top Bottom