Ni nini kinaendelea hapa Ubungo Plaza?

hao ni forever. hao jamaa wanatembeza bidhaa mitaani. wanamaneno mengiii!. wanauza bidhaa za alovera. ofisi zao zilikuwa pale kinyama/ makumbusho millenium tower, sasa hivi wamehamishia hapo Ubungo. wanafanya kazi eti saa za ziada.
 
ni GNLD INT hao,hata mi nilipewa huo mwaliko nikachapa lapa,nasikia kuna jamaa wa uganda analipwa 20m per month ndo anakuja kutoa ushuhuda on how to make huge money within a short period.
 
Kuna dada fulani jana alinipigia simu na 'kuniomba' nifike hapa UP, saa 7 mchana. Nimefika na kukuta watu kama 1000. Tupo hapa ukumbi wa Blue Pearl na kila ninayemuuliza hafahamu kitakachojiri. Is there anybody out there who could give the hint of what is going to happen here before they've brain-washed me completely to be a Freemason?

Hivi hata kuuliza unachoitiwa unashindwa?, Acheni uzembe haya mambo hayatakiwi kuendelea.
 
ni GNLD INT hao,hata mi nilipewa huo mwaliko nikachapa lapa,nasikia kuna jamaa wa uganda analipwa 20m per month ndo anakuja kutoa ushuhuda on how to make huge money within a short period.

Kwenye bold, hicho ndiyo chambo.

Ukweli ni huu ukifanikiwa ku make huge money within such a short period of time, expect to die within a short period of life.
 
Kuna dada fulani jana alinipigia simu na 'kuniomba' nifike hapa UP, saa 7 mchana. Nimefika na kukuta watu kama 1000. Tupo hapa ukumbi wa Blue Pearl na kila ninayemuuliza hafahamu kitakachojiri. Is there anybody out there who could give the hint of what is going to happen here before they've brain-washed me completely to be a Freemason?

Kweli wewe ni teja lililokufa kama jina lako lilivyo, hufikirii tena!!!
 
Alivyoona kapigiwa na binti kaamua kutimua mbio tu shauri yako utakuja kubakwa na wanawake kama zimbabwe
 
Jaman mi ndo natoka UP hapa. Nimesoma mlichochangia na kama kawaida kuna watu wa kutoa kashfa tu bila solutions. Simu nilipigiwa na dada mwenye sauti nzuri tu na mpole kutokana na sauti yake. Alinisisitizia tu kwamba nisikose kufika na nitamfahamu mara nikifika, (na mama hakunifunifundisha tabia mbaya ya kukataa wito hasa kutoka kwa kinadada) nilipofika hakuwa anapatikana kwenye simu lakini watu walikuwa wengi na nikajua something is going to happen for sure, but not a 'date'. Mara nikasaikia mdundo mzito wa muziki, na nikaamua kuwataarifu ili kama kuna mtu anyefahamu tukio hili anijuze. Ni kweli Great Thinkers wazuri wamenijuza kuwa ni GNLD and it's true na wale walionitisha kuwa ni al-Shaabab, washindwe na wale walioniambia kuwa nina njaa, ni kweli kabisa ninayo tena kali.
 
Siku nyingine usiende kabla haujajua what's popin' der!
 
David cameron anakuja kutoa speech hapo kanipita njiani anakuja huko.Mmekwisha ambiwa mvue nguo?
 
Jaman mi ndo natoka UP hapa. Nimesoma mlichochangia na kama kawaida kuna watu wa kutoa kashfa tu bila solutions. Simu nilipigiwa na dada mwenye sauti nzuri tu na mpole kutokana na sauti yake. Alinisisitizia tu kwamba nisikose kufika na nitamfahamu mara nikifika, (na mama hakunifunifundisha tabia mbaya ya kukataa wito hasa kutoka kwa kinadada) nilipofika hakuwa anapatikana kwenye simu lakini watu walikuwa wengi na nikajua something is going to happen for sure, but not a 'date'. Mara nikasaikia mdundo mzito wa muziki, na nikaamua kuwataarifu ili kama kuna mtu anyefahamu tukio hili anijuze. Ni kweli Great Thinkers wazuri wamenijuza kuwa ni GNLD and it's true na wale walionitisha kuwa ni al-Shaabab, washindwe na wale walioniambia kuwa nina njaa, ni kweli kabisa ninayo tena kali.
 
Hiki ndo kizaz cha ki Tanzania jitu linajibeba kama kiroba linaenda sehem halijui linafata nn likifika linauliza wasiokuwepo hapo eti nimeitiwa nn?
 
Back
Top Bottom