Ni nini kinaendelea hapa Ubungo Plaza?

Jaman mi ndo natoka UP hapa. Nimesoma mlichochangia na kama kawaida kuna watu wa kutoa kashfa tu bila solutions. Simu nilipigiwa na dada mwenye sauti nzuri tu na mpole kutokana na sauti yake. Alinisisitizia tu kwamba nisikose kufika na nitamfahamu mara nikifika, (na mama hakunifunifundisha tabia mbaya ya kukataa wito hasa kutoka kwa kinadada) nilipofika hakuwa anapatikana kwenye simu lakini watu walikuwa wengi na nikajua something is going to happen for sure, but not a 'date'. Mara nikasaikia mdundo mzito wa muziki, na nikaamua kuwataarifu ili kama kuna mtu anyefahamu tukio hili anijuze. Ni kweli Great Thinkers wazuri wamenijuza kuwa ni GNLD and it's true na wale walionitisha kuwa ni al-Shaabab, washindwe na wale walioniambia kuwa nina njaa, ni kweli kabisa ninayo tena kali.
Ha ha haa I really appreciate your honesty mkuu... ni kweli usikatae wito (especially kama una muda..)

Nadhani wanaokupinga wanasahau kwamba.. "Even a Genius Asks Questions".., Big up mkuu thanks for sharing na penye wengi habaharibiki neno.., as of that GNLD or any other network marketing its not as easy as they proclaim.., labda kama unajiunga sababu ya products (they have a few good products though overpriced) lakini kama unajiunga ili kuondoa umasikini you might be disappointed.
 
Hiki ndo kizaz cha ki Tanzania jitu linajibeba kama kiroba linaenda sehem halijui linafata nn likifika linauliza wasiokuwepo hapo eti nimeitiwa nn?

Mkuu unajuaje kama wote hawapo hapo..., huenda hata aliyeitisha mkutano ni member wa JF.. (hata hivyo kapata majibu.., which goes to say kweli "Jungu Kuu Halikosi Ukoko.."
 
Jaman mi ndo natoka UP hapa. Nimesoma mlichochangia na kama kawaida kuna watu wa kutoa kashfa tu bila solutions. Simu nilipigiwa na dada mwenye sauti nzuri tu na mpole kutokana na sauti yake. Alinisisitizia tu kwamba nisikose kufika na nitamfahamu mara nikifika, (na mama hakunifunifundisha tabia mbaya ya kukataa wito hasa kutoka kwa kinadada) nilipofika hakuwa anapatikana kwenye simu lakini watu walikuwa wengi na nikajua something is going to happen for sure, but not a 'date'. Mara nikasaikia mdundo mzito wa muziki, na nikaamua kuwataarifu ili kama kuna mtu anyefahamu tukio hili anijuze. Ni kweli Great Thinkers wazuri wamenijuza kuwa ni GNLD and it's true na wale walionitisha kuwa ni al-Shaabab, washindwe na wale walioniambia kuwa nina njaa, ni kweli kabisa ninayo tena kali.

Vipi ume shawishika kujiunga nao?
 
Sawa, lakini mi nilifikiri kwa kuwa ni dame then there's no harm. Si unajuwa tena men are suckers? Hata hivyo, there was no harm kwa kweli.
Hata kama there was harm..., there is no harm (sababu bila kufanya makosa sometimes hajui ni nini kinafanya kazi na nini hakifanyi..., we learn through mistakes
 
Ukishajua umeitiwa nini utujuze!

Hata mimi nilipata ujumbe mfupi jana kuwa nifike Ubungo Plaza leo saa saba kuna kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato baada ya kazi zangu za kila siku.
Nilituma ujumbe kwa aliyenitumia ujumbe huo kuwa anipe hints ya hicho anachoniitia na anieleze kapata wapi namba ya simu yangu. Mpaka sasa hajajibu, sikuona umuhimu wa kwenda huko!
 
Ha ha haa I really appreciate your honesty mkuu... ni kweli usikatae wito (especially kama una muda..)

Nadhani wanaokupinga wanasahau kwamba.. "Even a Genius Asks Questions".., Big up mkuu thanks for sharing na penye wengi habaharibiki neno.., as of that GNLD or any other network marketing its not as easy as they proclaim.., labda kama unajiunga sababu ya products (they have a few good products though overpriced) lakini kama unajiunga ili kuondoa umasikini you might be disappointed.
Nashukuru sana mkuu, na nimejifunza kuhusu wana-JF ambao wao wanajiona kama miungu fulani hivi, hawakosei. Wana-crash na matusi kiasi. Hapa JF ni jukwaa la wote, kama huna cha kuchangia soma tu uache, si lazima kuchangia.
 
hao ni forever. hao jamaa wanatembeza bidhaa mitaani. wanamaneno mengiii!. wanauza bidhaa za alovera. ofisi zao zilikuwa pale kinyama/ makumbusho millenium tower, sasa hivi wamehamishia hapo Ubungo. wanafanya kazi eti saa za ziada.

forever nao wafahamu mimi hawatembezi bidhaa mtaani kama wamachinga ila wanafanya network marketing..
 
Hata kama there was harm..., there is no harm (sababu bila kufanya makosa sometimes hajui ni nini kinafanya kazi na nini hakifanyi..., we learn through mistakes
Nimeipenda sana hii mkuu, you are really a great-thinker!
 
Vipi ume shawishika kujiunga nao?
Nimewasikiliza kwa umakini na yule dada aliyenipigia simu ndo alikuwa mshawishi mkubwa pale. Nilionesha kumkubalia sababu mzuri na sikupenda kum-disappoint, lkn I'll never go there again for the same issue.
 
ni GNLD INT hao,hata mi nilipewa huo mwaliko nikachapa lapa,nasikia kuna jamaa wa uganda analipwa 20m per month ndo anakuja kutoa ushuhuda on how to make huge money within a short period.
Ni kijana wa miaka 27, very sucssessful indeed, or so he claims.
 
Hivi hata kuuliza unachoitiwa unashindwa?, Acheni uzembe haya mambo hayatakiwi kuendelea.
Kaka acha uzembe wewe, mi nimesema kuwa nimeitwa na demu, na sikufikiria mambo mengine. Kama angekuwa my ex?
 
Back
Top Bottom