Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Teh teh teh!
Matola na asha ni kama gongo na kikombe!
Haviachani!
Hivi unaweza kuwa na namba ya Asha Mohamed wa Segerea jirani yake Matola kama unayo ni PM kuna kazi nimemtafutia kusafisha gobore, teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar in a siri nyingi!, tafuta kisa cha Sultan kumpachika ujauzoto mjakazi wa mkewe, ili kuficha siri, huyo mjakazi alikwenda kuozeshwa mahali mbali chap chap!, baadaye, mwana sulatan alizaliwa huko mjakazi alikoolewa!. Find out huyo mwana sulatan ni nani?!, tafuta uhusiano kati ya Sultanet ya Brunei na Sultanet ya Zanzibar!, find out who funds CUF and why?!.

Kwa taarifa tuu, CUF ilishinda 1995, ikashinda tena 2000!, pia ikashinda 2005!, na kushinda tena 2010 lakini kote kwa nini hawampi ushindi?!.

Visa vya Zanzibar havikuishia hapo, kuna ndugu tena wengine wawili, watoto wa baba mmoja, mama mmoja, tumbo moja!. CCM ikaamua kumzawadia urais kaka mkubwa, kisa ni kumuenzi baba yao aliyoifanyia makubwa Zanzibar, hivyo ule urais ulikuwa ni wa zawadi ya heshima ya marehemu babsa yao!. Baada ya kaka mtu kumaliza kipindi chake cha urais cha miaka 10!, mdogo mtu akachukua fomu kumrithi kaka mtu!. Chama kikamshauri, kwa vile aliyemaliza ni kaka yake wa tumbo moja, baba mmoja, mama mmoja!, hivyo kumpitisha mdogo mtu, itaonekana kama usultani!, mdogo mtu akagoma na kuibuka na madai mazito!, kuwa eti kama urais ni zawadi kwa mtoto wa yule Mzee waliomuheshimu, then "mtoto halisi aliyestahili ni yeye!".

Zanzibar haieshi vituko!, nataka niwashauri wajumbe wa bunge la katiba kuhakikisha Mwenyekiti wa kudumu anakuwa Mzanzibari, ili hoja ya serikali tatu ikishindwa, ije hoja ya serikali moja ndio itaimarisha haswa muungano na kuwakata kabisa hawa vilimimili na vitimbakwiri vya kutaka kuuvunja huu Muungano wetu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.

Mapinduzi Daima!.
Muunganno Milele!.
Pasco

Tabia za kuleta mafumbo ni tabia za kishoga!

We dume zima umebaki!
Ohhh tafuta hiki ohhh tafuta kile!

Mwaga vitu hadharani! Nini unaogopa ogopa kama ASHA muhamedi?

Tabia za namna hio humsababisha mwanamme aanze kupaka wanja na rangi za midomo.!
Na wewe ninavyokujua sura yako!
Sijui huo wanja utapaka wapi!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Matusi hayatakiwi. tujikite kwenye hoja.
Nionavyo mimi Seif baada ya kugutuka na kuwatega CCM-Tanganyika, aliicheza vzr sana karata yake! licha ya kushinda katika chaguzi zote2000-2010 ccm walipoka ushindi wa cuf. Ndiyo maana hata leo hii CCM wanashindwa kung'amua watachomoka vp na sera yao ya serikali mbili ilihali Seif kawakalia kooni? wakulaumiwa ni Karume na Kikwete ndiyo wameiuwa CCM zenji na muungano pia.
Pangapangua mwenye turufu ya mwisho ktk suala la muungano ni MAALIM SEIF ndiye atakaeingia kwenye "utatu mtakatifu" kutia sahihi ya makubaliano ya muungano kwa mjibu wa mkataba wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar.
Na jamaa anataka zanzibar yenye mamraka kamili siyo ile yakukomea chumbe!
Patamu hapo...
 
Kila ninaposikia kauli za Maalim Seif juu ya Muungano, ninapata picha kwamba zinazotelwa na mtu mwenye hasira sana dhidi ya serikali ya Tanzania, hususa Tanzania Bara. Sizioni kauli za Seif kama zinazotolewa na mzalendo wa Zanzibar, bali kama zinazotolewa na mtu mwenye hasira ya kisasi dhidi ya watu fulani. Katika kauli zake nyingi zimejaa "exaggeration" za hali ya juu, za aina ya mtu ambaye anataka kuwakomoa watu au kikundi fulani.

Sasa najiuliza, ni nini kinachomsumbua Maalim Seifu hadi kuwa na hasira ya namna hii?

Ni wazi kwamba si uzalendo wa kuwa M-Zanzibar. Kumbuka kwamba Seifu alitoa mchango mkubwa kwenye kuwajibishwa kwa Abdu Jumbe. Sefu alimchukulia Jumbe kuwa msaliti wa Muungano. Seifu ni mojawapo ya Wazanzibar waliofaidi na kuneemeka sana na Muungano. Bila muungano Seifu asingekuwa hapo alipo. Sasa ni nini kilimbadili Seifu? Je ni hasira baada ya kugundua ndoto yake ya kuwa Raisi wa Zanzibar isingetimia kupitia CCM? Au ni baada ya mashitaka na tuhuma alivyofanyiwa huko nyuma na sasa anataka kisasi?

Kuna mambo Seifu anataja kama faida za Zanzibar kujitoa kwenye Muungano ambayo ukifikiria utaona kwamba anawadanganya WaZanzibar kwa kuwa hayatawezekana, hata kama kweli watajitenga na muungano, kwa kuwa ni ndoto za alinacha, hayako "realistic". Sasa je, Maalimu Seifu anaona kwamba anaingia uzeeni na sasa kuna dalili kwamba kamwe hatakuwa raisi wa Zanzibar na hivyo anaona ni bora tu alivuruge?

Ni nini kinachompa hasira hii Maalim Seifu, na lengo lake ni nini hasa?

Dah! hahahaha yote haya kwasababu Seifu hataki mungano,jamani msiogope msichokijua,msiogope madiliko......kama wazanzibari wameamua hawataki mungano sasa vitosho chuki na fitna zote hizi za nini...tusonge mbele,Carpe varde walivunja mungano na Guinea itazame Cape varde iko wapi na Guinea iko wapi kiuchumi.....

Mungano wa Tanganyika na Zanzibar utakuwa sio wa kwanza kuvunjika wacha uvunjike tu,kama maendeleo hayatopatika baada ya kuvunjika kwa mungano tutaungana tena
 
Mleta mada mbona unamhukumu at the sametime unajifanya kuuliza swali? Hauko objective ndugu na wewe ndie unaonekana una chuki.
 
Zanzibar in a siri nyingi!, tafuta kisa cha Sultan kumpachika ujauzoto mjakazi wa mkewe, ili kuficha siri, huyo mjakazi alikwenda kuozeshwa mahali mbali chap chap!, baadaye, mwana sulatan alizaliwa huko mjakazi alikoolewa!. Find out huyo mwana sulatan ni nani?!, tafuta uhusiano kati ya Sultanet ya Brunei na Sultanet ya Zanzibar!, find out who funds CUF and why?!.

Kwa taarifa tuu, CUF ilishinda 1995, ikashinda tena 2000!, pia ikashinda 2005!, na kushinda tena 2010 lakini kote kwa nini hawampi ushindi?!.

Visa vya Zanzibar havikuishia hapo, kuna ndugu tena wengine wawili, watoto wa baba mmoja, mama mmoja, tumbo moja!. CCM ikaamua kumzawadia urais kaka mkubwa, kisa ni kumuenzi baba yao aliyoifanyia makubwa Zanzibar, hivyo ule urais ulikuwa ni wa zawadi ya heshima ya marehemu babsa yao!. Baada ya kaka mtu kumaliza kipindi chake cha urais cha miaka 10!, mdogo mtu akachukua fomu kumrithi kaka mtu!. Chama kikamshauri, kwa vile aliyemaliza ni kaka yake wa tumbo moja, baba mmoja, mama mmoja!, hivyo kumpitisha mdogo mtu, itaonekana kama usultani!, mdogo mtu akagoma na kuibuka na madai mazito!, kuwa eti kama urais ni zawadi kwa mtoto wa yule Mzee waliomuheshimu, then "mtoto halisi aliyestahili ni yeye!".

Zanzibar haieshi vituko!, nataka niwashauri wajumbe wa bunge la katiba kuhakikisha Mwenyekiti wa kudumu anakuwa Mzanzibari, ili hoja ya serikali tatu ikishindwa, ije hoja ya serikali moja ndio itaimarisha haswa muungano na kuwakata kabisa hawa vilimimili na vitimbakwiri vya kutaka kuuvunja huu Muungano wetu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.

Mapinduzi Daima!.
Muunganno Milele!.
Pasco

Wewe Pasco na hio tabia yako ya kung'ang'ania huo muungano umenikumbusha ile stori ya kijana alieozeshwa mke bila hiari yake!
Akaishi nae kwa shingo upande mwishowe mke akaugua ukimwi!
Mume kutaka kumuacha wakaja wapambe kuingilia kati na kuendelea kumlazimisha akae nae!

Sasa yule mume akaona wacha atafute mume mwingine wa kuwaridhisha halafu yy akaanza mbele!

Sasa hapa Mume ni ZANZIBAR! mwenye ukimwi ni Tanganyika! Na hao wapambe wanaolazimisha hio ndoa ni kama wewe!
kinachotakiwa ni kutafuta huyo mume atakae kuridhisha wewe!

Manake naona bila mume Tanganyika haiwezi kwenda!

Mi nashauri RWANDA! Au makao makuu ya WALIBERALI "Israel"!

au we unasemaje!?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, maswali mawili kwako;

1. Ustaarabu maana yake nini?
2. Mnataka muungano na nani basi?

Si muungane na Kenya ,vijisiwa vyenyewe vidogo, hebu tuachieni hatutaki hoja za biashara ya mbatata , bora tufe nyaa kuliko kuwa watumwa.
Ustaarabu: hii karne ya ishirini na moja bado watu wanalalia ngozi za kondoo, wanauwa binaadamu kwa imani za kichawi, wanauwana kwa shilling 100 tu n.k
 
Baada ya utandawazi na mambo mengi kubadilika na maarifa na uelewa wa juu na analogia kufungwa na kuanza kwa digitali anataka zanzibar ijitegemee na Sultani apewe heshima na mwarabu awe huru kama kwao
 
Duuh .....! Kweli weye ni kibwengo, haya wamaanisha nini hapo?!!

Habari za kuolewa/ kufunga NDOA na Mbwa, haina tabu kwenyu, kuoana jinsia moja haina shida ...!

Shida ni Wazanzibar kuhoji muungano na uhalali wake ndipo yaoneka na kutokea ubaradhuli ulojaa kejeli.

Mwaanza kuwaambia wataka warejeza Waarabu, mara hao Waislaamu wanapenda vurugu, mara Pengo kasema ikiachwa ikajitenga itakuwa kituo cha Ugaidi, mara ... mara .... mara ...

Mwashindwa nini kusema sie kama Kanisa hatutaki kuuvunja Muungano maana tutashindwa lisimika Kanisa vizuri ...?!!

Kila shina na zao lake, kwanini mwahofia kuuvunja Muungano au hayo maneno hapo juu yameyhibiti ...?
 
inaonekana umejipanga kweli na maneno ya kufanya uelewa wako ukubalike. Zanzibar inataka iwe huru, Akili ya Karume ilikuwa yake na Sasa kizazi kingine kinataka kuja na hoja yake. Masuala ya kuoana jinsia moja, sijui nani kafunga ndoa na mbwa, hayo ni masuala binafsi na hayapo kwenye mada hii kwa sasa
 
Hawana ujanja tena lazima zanzbr waliotaka kuimeza wataitema,zanzbr kwanza.
 
inaonekana umejipanga kweli na maneno ya kufanya uelewa wako ukubalike. Zanzibar inataka iwe huru, Akili ya Karume ilikuwa yake na Sasa kizazi kingine kinataka kuja na hoja yake. Masuala ya kuoana jinsia moja, sijui nani kafunga ndoa na mbwa, hayo ni masuala binafsi na hayapo kwenye mada hii kwa sasa

Hereni, kusuka, na kupaka .....,vimekuharibu na kuvaa suruali chini ya makalio ilhaali u-mtoto wa kiume, tofauti na matendo hayo ungelieleweka na kujielewa kwanza mwenyewe, ila ndo ishakuwa si rizki tena.

Kuelewa pole pole au kwa mafungu mafungu kwaruhusika.

Muda ukifika kama huenda ukajaelewa nini nilimaanisha.
 
Fumu, mimi binafsi sipendi ushirikiano wa kubembeleza mtu tuwe na uhusiano. Najua asilimia kubwa ya Wa-Zanzibar hawataki Muungano, na sipendi kabisa kuona wanaendelea kuwa katika kitu wasichokitaka. Nadhani hata huku bara watu wameshoshwa na vituko vya Zanzibar, na hakuna anaewataka. Tuwabembeleze kwani sie tunafaidika nini na Zanzibar ati? Kama ni mafuta huenda tunayo mengi kuliko yanayoweza kuwa Zanzibar, na wala hamna uhakika kama kweli yamepatikana.

Ila utashi wangu ni kwamba, ikiwa tunakubaliana kuvunja muungano basi mambo yafuatayo yanzingatiwe;

1. Ili kuzuia uwezekano wa kuja kunyanyaswa hapo baadaye, Watanzania bara waliko Zanzibar warudi kwao bara na wale walioko bara warudi kwao Zanzibar. Serikali zitakubaliana jinsi ya kuwarudishia mali zozote zisizohamishika walianzazo huko, ikiwa watashindwa kuziuza. Wale walioona kati ya Watanzania Bara na Visiwani wataruhusiwa kuchagua wanataka kuishi wapi.

2. Tanzania bara, ambayo iliacha kutumia jina Tanganyika huko nyuma iwe na uhuru wa kuendelea kutumia jina Tanzania ikitaka, kutokana na "branding" ambayokwa kiasi kikubwa imefanywa na Tanzania bara, na pia kwa kuwa Tanzania bara kuendelea kutumia jina Tanzania hakutaiathiri Zanzibar kwa namna yoyote. Tanzania inaweza pia kuchagua jina lolote jingine.

3. Mpaka wa baharini kati ya Zanzibar na Tanzania bara uwekwe kwa kufuata kanuni ya "international midline"

4. Utaratibu wa visa kati ya Tanzania Bara na Visiwani uanze mara moja ili kudhibiti muingiliano wa watu usio na uaratibu
nimependa proposal yako, kwa upande wangu mimi ni muumini wa Jina Tanzania kuliko jina Tanganyika, yaani ukifungua moyo napenda muungano na jina Tanganyika viende kwao - ila Jina Tukufu Tanzania libaki, nafunga na kuomba kwa ajili jina TAMU lenye utu na la kiafrika,la kizalendo, wengi wetu tumezaliwa Tanzania hio Tanganyika ya kikoloni ya akina Mtikila, Warioba and et al wabaki nalo wao wenyewe, tuanze Kampeni ya kuokoa jina la Tanzania Bara
 
Zanzibar in a siri nyingi!, tafuta kisa cha Sultan kumpachika ujauzoto mjakazi wa mkewe, ili kuficha siri, huyo mjakazi alikwenda kuozeshwa mahali mbali chap chap!, baadaye, mwana sulatan alizaliwa huko mjakazi alikoolewa!. Find out huyo mwana sulatan ni nani?!, tafuta uhusiano kati ya Sultanet ya Brunei na Sultanet ya Zanzibar!, find out who funds CUF and why?!.

Kwa taarifa tuu, CUF ilishinda 1995, ikashinda tena 2000!, pia ikashinda 2005!, na kushinda tena 2010 lakini kote kwa nini hawampi ushindi?!.

Visa vya Zanzibar havikuishia hapo, kuna ndugu tena wengine wawili, watoto wa baba mmoja, mama mmoja, tumbo moja!. CCM ikaamua kumzawadia urais kaka mkubwa, kisa ni kumuenzi baba yao aliyoifanyia makubwa Zanzibar, hivyo ule urais ulikuwa ni wa zawadi ya heshima ya marehemu babsa yao!. Baada ya kaka mtu kumaliza kipindi chake cha urais cha miaka 10!, mdogo mtu akachukua fomu kumrithi kaka mtu!. Chama kikamshauri, kwa vile aliyemaliza ni kaka yake wa tumbo moja, baba mmoja, mama mmoja!, hivyo kumpitisha mdogo mtu, itaonekana kama usultani!, mdogo mtu akagoma na kuibuka na madai mazito!, kuwa eti kama urais ni zawadi kwa mtoto wa yule Mzee waliomuheshimu, then "mtoto halisi aliyestahili ni yeye!".

Zanzibar haieshi vituko!, nataka niwashauri wajumbe wa bunge la katiba kuhakikisha Mwenyekiti wa kudumu anakuwa Mzanzibari, ili hoja ya serikali tatu ikishindwa, ije hoja ya serikali moja ndio itaimarisha haswa muungano na kuwakata kabisa hawa vilimimili na vitimbakwiri vya kutaka kuuvunja huu Muungano wetu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.

Mapinduzi Daima!.
Muunganno Milele!.
Pasco

Pasco usiwadanganye na kuwachanganya watu. Kama ni msemakweli basi usingetunga hadithi na yaliyo kweli ukayaburunga!
 
Zenji na mnavyozaana kama panya...... mkijaa humo baada ya muungano kuvunjika mtaishi majini kama samaki:sly::sly:

Hili tusi na kasha kwa wznzbr. Kuzaana sana hata huku kwetu bara tunazaana sana tena kuna mikoa wtt wanapishana na mama zao kwa miaka 11 tu.
 
We lazima utakuwa mmachinga tu wa msumbiji!
Manake nyie huwa hamjadili kitu bila kuingiza stori za ngono!

Hivi kwenu hamna tv ya ku past time! ??

Nyie ngoni mmgeuza msosi??
Duhh!

Wanaofikiria ngono muda wote wanavaa msuli hahahahahaha....kurahisisha kazi. Zaaneni mjaze Zenji muishi majini:sly::sly:
 
Back
Top Bottom