Mandela nielewe vizuri wanaonunua kwa bei rahisi ni jamaa wa wafanyakazi na wanajuana na wa ndani pia
wabongo hii laana ya wizi na ujanjaujanja inaangamiza Taifa
Mandela nielewe vizuri wanaonunua kwa bei rahisi ni jamaa wa wafanyakazi na wanajuana na wa ndani pia
Mandela nielewe vizuri wanaonunua kwa bei rahisi ni jamaa wa wafanyakazi na wanajuana na wa ndani pia
je wafanyakazi wamelipwa stahiki yao?,serikali iliangalie hili kwa umakini mkubwa.
Hakuna mtanzania anaeweza kuiendesha hii?? Hawa wakenya hawa?
Sisi tulifunga maduka ya Supermarket yoote badala yake tukaanzisha 'maduka ya ushirika' !
Yalipotushinda, yakaibuka maduka ya Warombo na Wapemba !........bahati mbaya hawakuweza kukuwa.
Nakumatt ilianza kama Duka dogo la familia !
na hao wanaofanya hivyo ..wanaoata faida gani ..kama kitu cha bei kubwa kinauzwa kwa bei rahisi ...faida ya wao kufanya hivyo ni nini ..
mm nilidhani bei ndogo ingekua bei kubwa .. sasa kwa kupunguza prise wao wanafaidika nn .
Mfano, risiti itasoma shilingi 2,400 wakati kiuhalisia ilitakiwa kuwa shs 24,000. Cashier na mnunuzi wana-bargain kuwa labda mnunuzi atoe shs 15,000....albaki ya shs 9,000 inabaki kwa cashier....Supermarket nyingi sana zinaibiwa kwa mtindo huu...
Hapo umenena ni bora kuwa na doubt kuliko kuandika unachowaza kichwani tu.
Inavyosemekana ni kuwa, kwa wengi wanaojua bidhaa za supermarket zote zina barcode ambazo ukifika counter unalipa kwa kupitisha kwenye mashine kwa hiyo kilichokuwa kinafanyika ni wafanyakazi walikuwa wanafanya as a team wanaoweka label za bei mpaka wanaonunua (team) na alieko counter wanachofanya ni waweka label wanabandika bei ya mkate kwenye nyama as much as they can na hapo anakuja mteja na kubeba nyama nyingi kwa bei ya mkate kama utanielewa hapo, at the end of the day itaonekana mauzo ni mengi lakini profit hamna ndio maana wakaona hakuna njia ila kufunga tu
Nakupinga, sikubaliani na wewe hata kidogo. Ile barcode ikishasomwa na machine zinakuja description ya hiyo bidhaa na inakuwa printed umenunua mkate (including production date, expiry date, batch no. Size/weight, quantity etc.) Sasa kama wanaweka label ya mkate kwenye nyama kwa nini ile receipt isisome umenunua mkate badala ya nyama?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums