Hapo umenena ni bora kuwa na doubt kuliko kuandika unachowaza kichwani tu.
Inavyosemekana ni kuwa, kwa wengi wanaojua bidhaa za supermarket zote zina barcode ambazo ukifika counter unalipa kwa kupitisha kwenye mashine kwa hiyo kilichokuwa kinafanyika ni wafanyakazi walikuwa wanafanya as a team wanaoweka label za bei mpaka wanaonunua (team) na alieko counter wanachofanya ni waweka label wanabandika bei ya mkate kwenye nyama as much as they can na hapo anakuja mteja na kubeba nyama nyingi kwa bei ya mkate kama utanielewa hapo, at the end of the day itaonekana mauzo ni mengi lakini profit hamna ndio maana wakaona hakuna njia ila kufunga tu[/QUOT
kweli biashara kubwa kama hiyo ..imekosea watu maalumu wa kudeal na vitu kama hivyo ..
Auditor's, ma finance officer na wengine kama hao ..kudeal na hicho
I mentioned that, they work as a team bunch of wolfs, kweli kuna auditors lakini mi nimeshuhudia jamaa supermarket anakata label ya shati price tag na kubandika katika jacket ya ghali zaidi hapo till itasoma price tag tu na Sio vingine
Mpaka wamekuja gundua hilo wameumia sana na huwezi dhibiti mpaka uwe na loyalty