Ni nini kigetokea kama Shetani asigelikuwepo/Kuasi?

Ni nini kigetokea kama Shetani asigelikuwepo/Kuasi?

Dah, Haya bana.
Ila mm najua ww haumini Mungu kama yuko. Kwahiyo hauwez muamin Shetan pia.

Turud kwenye hoja ya mtoa Mada.
Kama shetan awepo au asiwepo hawez badili namna Binadam tunavyoishi.

Yaan hata bila kiumbe kinachoitwa Shetani, binadamu bado ana tamaa, hasira, na ubinafsi. Kwahiyo Migogoro inaweza bado kuwepo kutokana na ushindani wa rasilimali mfano chakula, ardhi, madaraka kama ilivyo kwa wanyama wengne.

Kwahiyo hiki ndio kingetokea/kinachotokea. 👆👆👆👆
Dhana ya Mungu au nadharia ya Mungu au shetani ipo, kwa waumini, ila ukija kwenye abrahimic religion ukimtoa shetani Mungu anakosa sababu ya kuwa Mungu , fikiria tu taratibu maandiko yote, kwa makini
 
Dhana ya Mungu au nadharia ya Mungu au shetani ipo, kwa waumini, ila ukija kwenye abrahimic religion ukimtoa shetani Mungu anakosa sababu ya kuwa Mungu , fikiria tu taratibu maandiko yote kwa makini

Najua Dini. Na Ndio maana nikauliza kwa mtizamo wako kwanza. Kwasababu najua ww hauamin kwenye dini.

Mm hapo nimejibu Bila Dini.
Nimeitoa Dini kwasababu mtoa mada amefikiri kuwa kama Shetan/Dini isingekuwepo. Binadamu tungeishije.
 
Kwa mtizamo wangu , kikawaida unazo ona ni dhambi zilizoletwa na shetani , mimi naona ni fursa , magonjwa ni fursa wahudumu wa afya wanachapa kazi , wezi , wauaji ni fursa police wanachapa kazi , njaa ni fursa wakulima wanachapa kazi , vitaa pia ni fursa kuna watu wanalisha familia , vifo waosha maiti wanapata hela na mbolea inapatikana na sisimizi wanapta msosi , na vingine vyote waumini wanavyo amini vimeletwa na shetani vina fursa , na ukivitoa mfumo mzima wa maisha utakua hauna maana
 
Tuendelele kuvumiliana wakuu.

Hoja yangu ina mashiko hvyo naomba nisikilizwe.

Ukisoma kitabu flani cha wasabato kinachoitwa Great controversy (Between {God}Christ and Satan )

Au kwa jina jepesi kinaitwa PAMBANO KUU (KATI YA WEMA NA UBAYA) cha Ellen G White.

Kitabu hiki kinasema Shetani ni muasi tangu mwanzo,kinasema shetani ndio baba wa ubaya wote hapa Duniani nk

Swali linakuja iwapo basi shetani asingelikuwepo kabisa Au asingeliasi huko mbinguni je nikweli kwamba Tungekuwa tunaishi bila magonjwa yoyote? Nikweli tungeishi pasipo kufa ,wivu wala kuzini kabisa?

Je kuna raha gani ya kuishi uchi wewe na watoto wako au bado akili zetu zingekuwa kama wanyama?

Kumaanisha hata Gari,simu ndege,meli ,Tren na ujenzi wa nyumba nzuri usingelikuwepo.

kwa mtazamo wako hii dunia ingefaa ikiwa agizo la mungu bado ni lilelile enedeni (mkazaliane) mkaijaze nchi?

Kwa upande wangu sielewi na sina majawabu kwakweli.
Tusingemjua Mungu kivile
 
Kwa mtizamo wangu , kikawaida unazo ona ni dhambi zilizoletwa na shetani , mimi naona ni fursa , magonjwa ni fursa wahudumu wa afya wanachapa kazi , wezi , wauaji ni fursa police wanachapa kazi , njaa ni fursa wakulima wanachapa kazi , vitaa pia ni fursa kuna watu wanalisha familia , vifo waosha maiti wanapata hela na mbolea inapatikana na sisimizi wanapta msosi , na vingine vyote waumini wanavyo amini vimeletwa na shetani vina fursa , na ukivitoa mfumo mzima wa maisha utakua hauna maana

Naona btn the Lines hapo kuna kitu tumepishana.

Mtoa Mada kasema ukimtoa Shetan. Je nini kingegokea?.

Ukishaweka neno dhambi ina maana umehusisha Dini na umehusisha Shetani.

Na mm ndio nikamjibu hivi
Yaan hata bila kiumbe kinachoitwa Shetani, binadamu bado ana tamaa, hasira, na ubinafsi. Kwahiyo Migogoro inaweza bado kuwepo kutokana na ushindani wa rasilimali mfano chakula, ardhi, madaraka, ugomvi kama ilivyo kwa wanyama wengne.

Na bila shetani, neno dhambi linakuwa ni neno "kosa". Maana yote mabaya yanayofanywa inakuwa ni kinyume na taratibu tuliyojiwekea.

Kwahiyo bila hata shetan, haya mabaya watu wanaofanyiana yangekuwepo.

Nimejibu kama vile simuamini Mungu😂😂😂 ila mtoa mada kanifanya nifikirie nje ya Box.
 
Nikama nafumbuka macho. Mungu naamini yupo, ila shetani sina uhakika kama yupo. Maana utaambiwa MUNGU anapenda mema, ukifanya kitendo kisichokubalika na jamii, utaambiwa we ni shetani au una shetani. Inamaana MUNGU hamuoini shetani?

Naomba kukuuliza. Kufanya kitendo kisichokubalika na jamii ndio kinathibitisha Shetan kuwepo?.
 
Naona btn the Lines hapo kuna kitu tumepishana.

Mtoa Mada kasema ukimtoa Shetan. Je nini kingegokea?.

Ukishaweka neno dhambi ina maana umehusisha Dini na umehusisha Shetani.

Na mm ndio nikamjibu hivi

Na bila shetani, neno dhambi linakuwa ni neno "kosa". Maana yote mabaya yanayofanywa inakuwa ni kinyume na taratibu tuliyojiwekea.

Kwahiyo bila hata shetan, haya mabaya watu wanaofanyiana yangekuwepo.

Nimejibu kama vile simuamini Mungu😂😂😂 ila mtoa mada kanifanya nifikirie nje ya Box.
Unaona jinsi ukifikiri nnje ya box inavyoleta maana?🤣🤣
 
Nikama nafumbuka macho. Mungu naamini yupo, ila shetani sina uhakika kama yupo. Maana utaambiwa MUNGU anapenda mema, ukifanya kitendo kisichokubalika na jamii, utaambiwa we ni shetani au una shetani. Inamaana MUNGU hamuoini shetani?
"shetani anashawishi kutenda dhambi", "MUNGU anakataza kutenda dhambi", "ukitenda dhambi MUNGU atakuadhibu". Swali: Inamaana MUNGU hajui kama shetani yupo na anashawishi kutenda dhambi? Jibu:Anajua. Kwa sababu hata YESU alitokewa na nyoka(shetani) kumjaribu. Swali:Sasa kwanini tukitenda dhambi anatuadhibu? Si angemdhibiti shetani ili tumtende mema?. Yaani hapo ni sawa anayengeneza sigara afu anaiandika ni hatari kwa maisha yako, kisha anakuuzia. Kwa hiyo me naona hii dunia ni gemu. MUNGU huwa anacheza "lost and win"
 
Hakuna shetani Kiranga
Uwapo wa shetani katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni contradiction.

Ukikubali shetani yupo ni lazima ukubali Mungu hayupo.

Na ukikubali Mungu hayupo maana yake shetani hayupo. Maana shetani ni mja wa kuwepi baada ya Mungu kuruhusu awepo.

Kwa hivyo, ukikubali shetani yupo, maana yake umekubali shetani na Mungu hawapo.

Labda mtu anaweza kuwa hajui tu kwa sababu akili yake ndogo, lakini ukweli ndio huo.
 
"shetani anashawishi kutenda dhambi", "MUNGU anakataza kutenda dhambi", "ukitenda dhambi MUNGU atakuadhibu". Swali: Inamaana MUNGU hajui kama shetani yupo na anashawishi kutenda dhambi? Jibu:Anajua. Kwa sababu hata YESU alitokewa na nyoka(shetani) kumjaribu. Swali:Sasa kwanini tukitenda dhambi anatuadhibu? Si angemdhibiti shetani ili tumtende mema?. Yaani hapo ni sawa anayengeneza sigara afu anaiandika ni hatari kwa maisha yako, kisha anakuuzia. Kwa hiyo me naona hii dunia ni gemu. MUNGU huwa anacheza "lost and win"

Hapa ndio kuliko na fumbo.

Ila mimi naamini bila Shetan au Mungu kuwepo.
Nina maanisha Mungu na Shetan hawako.
Bado binadam tungefanya haya haya tunayofanya. Mema na mabaya . Na ni kwasababu ya Hulka iliyoko ndan yetu.

Kitu kuwa kosa au sio kosa (dhambi) ni taratibu zilizowekwa na watu.
Hata Dini isingekwepo. Hizi taratibu zingekuwepo.
 
sawa sawa.
 
Nimefiria sana nikagundua MUNGU. Ila dini na vitabu vyake, ukichanganua vizuri, utajua kuna mambo mengi hayaeleweki(dots haziunganishiki). Nilichogundua kitu cha kufanya nikuishi vizuri na jamii.

Kuna content creator mmoja , Mzungu huwa nimemfollow Instagram. Yeye anaonyesha video za tamaduni za makund ya jamii yaliyojitenga .(isolated) bila interaction ya jamii zingine.

Yaan anaenda ndan ndan huko. Kwa hiyo jamii husika. Anaishi , kula , kutenda na kuvaa kana wao.
Alishawah kuja TZ akaishi na wamasai .

Huko kote anakoenda hakuna Dini.
Hakuna Uislam , ukristo au din yoyote.

Lakin wale watu wanaishi kijamii na mambo yanaenda.
Sasa hawa ukiwaambia habar za dhambi au shetan watakushangaa 😂😂😂

Lakin sio kwamba Maugomvi hayatokei, au hawakoseani. Wanafanya yote mabaya na mazur. Bila kuambiwa au bila kuhusisha Shetan na Mungu.
 
Kungekuwapo na minyanduano tu kila wakati, maana hata kuvaa nguo ni kutokana na ubaya/shetani, yaani ingekuwa ukikiona kitumbua kimenona na kutuna ni kuvuta pembeni unakivuta unapiga mara tatu kinaenda kinaenda kuzaa kiumbe. Kwa sasa ukilazimisha unakuwa unabaka. Shetani nyo.oko
Tusingesoma bible kama huyu
 
Attachments

  • IMG_4946.jpeg
    IMG_4946.jpeg
    324.3 KB · Views: 17
Back
Top Bottom