Ni nini kigetokea kama Shetani asigelikuwepo/Kuasi?

Ni nini kigetokea kama Shetani asigelikuwepo/Kuasi?

'Kuhasi' tena na si 'kuasi'!

Mkuu missunderstanding hizi msizozijali zinawashushia hadhi sana.

Mantiki unayo nzuri sana katika comment hii, lakini kukanganya sarufi katika uandishi wako kunashusha thamani ya 'madini' uliyoyaleta 'sokoni'.
Kila mwanangoma huvutia kamba kwake, upo sahihi kwa upande wako pengine kutokana na elimu yako kubwa juu ya Kiswahili, Ila nikushauri pia kwa nyakati nyingine jambo la msingi ni kuzingatia mantiki ya hoja husika, tunapoandika comments hasa kwenye hizi forums ambazo wakati mwingine muda wa kuzingatia ulichoandika haupo, reviews zinazopewa muda zaidi ni kwenye masula ya kikazi na vitu kama hivyo, makosa kama hayo kutokea ni inevitable, tarajia sana makosa ya hivi. Hizi case ni worldwide, lugha zote wenye mastery na perfection hawapo, imagine hata wahariri wanapitiwa sometimes. Focus kwenye hoja sio technical errors, utajichelewesha tu bure.
 
Umuhimu wa dhana ya Mungu usingekuwepo hasa abrahimic religion.

Dhana ya Mungu , isingepata sababu ya kuwepo kama hakuna dhana ya shetani
Mungu alikuwa anazungumza na viumbe wake hakukuwa na tatizo.
 
Nimefiria sana nikagundua MUNGU. Ila dini na vitabu vyake, ukichanganua vizuri, utajua kuna mambo mengi hayaeleweki(dots haziunganishiki). Nilichogundua kitu cha kufanya nikuishi vizuri na jamii.
Unaishi na jamii vizuri ili iweje?
 
Back
Top Bottom