Ni Nini Hiki....??? (Quiz Just for FUN)

bora utoe lingine hayo majibu ni dhahiri wamewahi sikia tayari mana jibu halina kabisa mantiki sasa pope analo alafu hatumi ndio mambo gani hayo.

Nyerere jina lake ni refu kushinda mwinyi
sisi wanaume tuna majina yetu lakini tukioa tunawapa wake zetu yaani wanaitwa mfano mrs voiceofreason
Papa huwa wana majina yao lakini wakiteuliwa kuwa papa huwa wanachagua jina mfano Pope John Paul II lile halikuwa jina lake la kuzaliwa
 
Nnaaaahisi kuwa hilo ni........................... ooooh! i am sorry that so damn hard!
 
Nyerere jina lake ni refu kushinda mwinyi
sisi wanaume tuna majina yetu lakini tukioa tunawapa wake zetu yaani wanaitwa mfano mrs voiceofreason
Papa huwa wana majina yao lakini wakiteuliwa kuwa papa huwa wanachagua jina mfano Pope John Paul II lile halikuwa jina lake la kuzaliwa

nimeelewa ila huko ni mbali sana kufikiria katika hali ya ukweli nilifananisha na huu msemo ~ Q. What do a Christmas tree and a priest have in

common? A. Their balls are just for decoration.
 
si nimekupa like na thanks..., ingawa ninayo mengi na mengine am sure huwezi kuyajibu This was soo funny yaani kuna mdau alitoa shule primary yaani wanafunzi wote tukawa tunaona labda jamaa amechanganyikiwa au anataka kufukuzwa shule na mwalimu alibadilika sura ghafla lakini wote tuliposikia jibu tukashukuru kwamba mwenzetu hatujampoteza
Lete fumbo jipya. Nameshakustukia mkuu.
 
Okay....
Mfanyamazingaombwe alimwambia kijana..., ukinipa elfu hamsini nitaandika umri wako kwenye karatasi, nikishindwa takupa laki moja....
Basi kijana akakubali akijua kwamba umri wowote atakaosema yeye atazidisha au kupunguza....

Baada ya dakika kumi yule kijana akampa elfu 50 mfanya mazingaombwe....

Je aliwezaje kupata pesa za kijana
 
Okay....Mfanyamazingaombwe alimwambia kijana..., ukinipa elfu hamsini nitaandika umri wako kwenye karatasi, nikishindwa takupa laki moja....Basi kijana akakubali akijua kwamba umri wowote atakaosema yeye atazidisha au kupunguza....Baada ya dakika kumi yule kijana akampa elfu 50 mfanya mazingaombwe....Je aliwezaje kupata pesa za kijana
nafikiri aliandika 'umri wako'.
 
wengine tukishapata valuuu mchana mchana majibu yetu hayastahili kuandikwa hapa. Ghafla utaona kwenye ID yako ''BANNED''
 
Okay... Juma alikuwa na miaka 30 1930 lakini miaka 20 1940.....
how is this possible
 
Okay... Juma alikuwa na miaka 30 1930 lakini miaka 20 1940.....how is this possible
possible kama huyo mtu amezaliwa miaka ya mbele kwahiyo umri wake unaongezeka kadri miaka inavyopungua.Kwa mfano alizaliwa mwaka 1960, kwahyo 1940 atakuwa na miaka 20 na 1930 atakuwa na miaka 30. Nahisi ni hvyo.
 
Mhh yaani 1940 atakuwa na miaka 20 alafu 1930 atakuwa na miaka 30..?? ndio ni kweli ila kwanini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom