Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

Mwanzo sikujua kwanini Lowassa anapata watu wengi kupita kiasi kwenye mikutano yake, Mimi sio mwansiasa lkn nijuavo Lowassa hakuwa na mapenzi ya Watz kiasi hiki tujiulize kitu gani kiko nyuma ya pazia?

Nimeshuhudia maajabu makubwa kwenye Mkutano uliofanyika Pemba Wa Lowassa ulikua si Wa kawaida .

Hapa naaza kuvuta hisia zaidi niliyoyaona nikiyaweka hapa tunaweza pakazua mabishano tusifikie huuko kwa kuwa kila MTU na funny take hata ukisema itakuwa ni kama unampigia mbuzi kitaa is too late

- Una maana tunawapeleka Lowassa na Gwajima Ikulu kwenda kufufua waliokufa kama Balali na Amina Chifupa, pole sana mkuu upo Dunia gani? hahahaha

le Mutuz
 
zamani nlikuwa nakupinga sana...ila.baada ya chadema kutuletea hiki kirusi nami nipo upande wa mabadiliko ya kweli siyo haya ya kubambikiwa!magufuli atosha
 
Wewe ni mtoto wa malecela ambaye baba yako alikusomesha vizuri na kakuwekea maurithi kibao ya kiujanja janja km haitoshi pengine na a/c zako zipo marekani ulikosoma sasa una benefrekani ulikosoma sasa una benefits of interest na ccm sababu italinda issue zako,baba yako,na ccm'sm so reforms of system is big threat to your accumulations,
Hoja za babu seya,mashek.na balali ni maombi ya wananchi ktk kampeni sababu hawaamini kama kweli haki imetendeka?
Pia sababu ulisoma elimu ya marekani hata uwezo wa kudadavua mambo huwezi umejaa mipansho ka jinga tu
 
- So unasema tupeleke wafufua Marehemu Ikulu? please mkuu onea huruma Taifa kidogo hahahahahle Mutuz
Mimi namuonea huruma Mama yangu Tanganyika tu! nashangaa!;unashangaa mavuno!? hivi ukiwa na mtambo wa kuzalisha wajinga, maskini, na wagonjwa, kauze hiyo bidhaa usilie lie... vuna ulicho panda, bro! mwanao sasa anafundishwa na dunia! shangaa zaidi pale hao unao waita wa misukule, wenzio wanawaona wakombozi! teh teh teh, wimbo wa mabadiliko ni habari ya mujini.. :cheer2:
 
Bora Mwanasiasa na mchungaji/askofu kuliko ya mwanasiasa na mganga wa kienyeji kama ilivyokuwa kwa Kikwete na Sheikh Yahya!
Wewe mkristo feki mbona Sheikh Yahya alikuwa mtabiri wa Lowassa, au ulikuwa hujui hilo?

Last edited by a moderator:
MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi.

Viongozi ni binadamu na wanastahili kuwa na utashi wa kisiasa, lakini hili la mmiliki wa Kanisa kusimama kiongozi wake kwa swahiba wake Edward Ngoyai Lowassa, ndiko ambako awali watathamini wa siasa nchini walisema, tatizo si Lowassa peke yake na genge lililowazunguka nalo kama likiingia IKULU ni tatizo ambalo heri mara 100 ya CCM ya sasa.

Lowassa ambaye CHADEMA badala ya kumfanyia kampeni kwa wakati huu wanamhangaikia kumsafisha, huku wanaomzunguka nao wakiwa wachafu mikononi, usoni na mioyoni mwao. Wana sifa nyingi zenye mushkeli kwa afya ya mustakabali wa amani,upendo na pasipo na chuki wala IKULU kuvamiwa na genge la walanguzi walio midomo wazi wakiisubiria kama Mafisi.

Gwajima swahiba wa Lowassa aliwahi kuutangazia umma wa Watanzania kuwa anataka kumfufua kada na mbunge wa viti maalum CCM, marehemu Amina Chifupa aliyekuwa mke wa marehemu Meddy Mpakanjia ‘CK’.
Gwajima mwenye kushabihiana mambo mengi na mgombea wa CHADEMA Lowassa kikauli na mitazamo, pia alipata kutoa kauli nyingine ngumu ambazo nazo hadi sasa hazijatekelezwa ikiwemo ya kutaka kumfufua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine.

Kushabihiana kwao, kiahadi zao na aina ya matendo ya kusema maneno magumu kwa mgombea wa CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa ambaye nae naye amewaahidi Watanzania kuwaletea aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, marehemu Daud Balali.

Ufufuo wa Lowassa unatofauti gani na ndoto za mchana za Gwajima ambaye alipata kufikishwa mahakamani kwa tabia na kauli zake kuwa atafufua misukule? maana yake ni kutaka kupata wafuasi wengi kanisani kwake ambao kimsingi wana matarajio tofauti na mmiliki wao.
Lowassa maana yake anataka kumsuta mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Nevil Meena gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Bwana Meena ni katibu wa jukwaa la wahariri ni mtu makini sana, mwenye kuiheshimu taaluma yake, sijui atapotoka vipi leo akituaminisha kuwa habari alizotuhuthibitishia Watanzania kuwa Balali alikufa, si kweli yu hai.

Akiwa mhariri wa Mwananchi Jumapili wakati huo, Meena alikwenda kuihoji familia ya Balali nchini Marekani na kupiga picha ya kaburi la marehemu Balali. Katika habari ile aliwahoji mke, dada na watu wa karibu kabisa wa familia hiyo, waliothibitisha kifo cha ndugu yao na kuwa alizikiwa nchini Marekani, inawezekanaje leo aseme habari ile ni uongo, ukweli ni anaosema Lowassa.

Tuache siasa, tusitake kwenda IKULU kwa uongo wa kupata wafuasi. Mbali ya gazeti la Mwananchi, pia gazeti la Mtanzania liliandika habari hiyo ikiwemo na uthibitisho wa familia iliyopo kijijini kwao na waliopo nchini Marekani. Meena alikwenda Marekani ambako ni zaidi ya masaa 15 kutoka Tanzania kwa usafiri wa Ndege kwenda kusaka ukweli na kuondoa minong’ono iliyokuwa imetanda kuwa Balali yu hai.

Si haki hata chembe kuitumia familia ya marehemu Balali kuingilia IKULU, walipata msiba mzito sana, waliumia sana, lakini kwa kuwa ni kazi ya Mungu, walishukuru na kumuombea astarehe kwa amani, leo hii mnawatangazia ataletwa Tanzania, nini maana yake? Akitokea wapi? Lowassa nawe ni mzee wa ufufuo?

Gwajima si mtu safi, hata kidogo ukimsikiliza Dk. Willbroad Slaa katika hotuba zake zote, hata siku moja hakupata kuzungumzia mahusiano ya kifamilia, si kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu wala kwa Gwajima mwenyewe ambaye hajajisafisha hadharani madai ya kuzaa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Frola Mbasha, ambaye ni mke wa mtu.

Leo hii waliokuwa wakimtetea Gwajima kwa sakata lile la kumpora Emmanuel Mbasha mkewe, hata kama wanampenda vipi mchungaji huyu, ni wazi usafi wake umeingia matundu kiasi si rahisi waamini vinginevyo kutokana na maneno yake na matendo yake ya sasa.

Lowassa amewaahidi Watanzania kuwa atamtoa Nguza Viking na Pappii Kocha, je katika utafiti wake kuwa vifungo vyao vinatia shaka amewauliza walimu wa shule ya msingi Mapambano pale Sinza? Amewauliza majirani wa Sinza kijiweni? Atapata aibu maana wazazi walioathirika na jambo lile, mioyo yao itapata kutu kumsikiliza binadam huyu asiye na huruma kwa malaika wale waliodhalilishwa.
Jaji Thomas Mihayo aliyekazia hukumu ya maisha kwa Babu Seya ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Baraza la Habari Nchini, ni mtu mwenye kuaminika sana katika jamii, ana heshma kubwa sana jaji huyu mstaafu leo hii ukimwambia hukumu yake aliitoa kwa maelekezo sidhani kama Jaji yeyote nchini anayemjua na walimsifia sana wakati akistaafu kwa hukumu ile, majaji wa Tanzania watakuelewa?

Ni kujenga chuki ndani ya jamii yetu ni kuondoa dhana ya utawala bora. Gwajima mshenga wa Lowassa kuingia CHADEMA, ni maswahiba wa kauli zao ngumu, ahadi zao zenye kukinzana na Mwenyezi Mungu, wanaweza mshambulia mtu yeyote ilimradi waende IKULU, aah mzee wa maharage ya wapi! mjinga mmoja, asiyefaa mmoja !.

Hakukosea kuwa mshenga wa mzee wa maamuzi magumu mwenye uwezo pia wa kufufua watu ambaye pia mwenye kutaka ushindi wake utokane na waumini wa dhehebu lake, loh kama mwalimu angekuwepo leo angetoka hadharani na sijui angetamka nini dhidi ya Watanzania hawa wawili.

Hatahivyo, Hongereni kwa urafiki wenu. Watanzania tuwe makini sana tunaofikiria kuwapa mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

Le Mutuz Nation

Last edited by a moderator:
Gwajima alisema ipo cku misikiti yoote ya tanzania ataibadirisha iwe makanisa, na ma sheikh atawabatiza. na huyo ndo swahiba mkubwa wa mgombea wa ukawa na mshenga wake mkubwa aliempigia debe kumleta chadema
 
le mutuz unatafuta ukuu wa wilaya kwa magufuli.ulipotea jukwani nini kimekurudisha insta na facebook umekimbia
 
We unamtafuta Gwajima ns utampata sema we sio size yake atakupuuza tu hao waliokutuma watackitika sana akikujibu utajuta kua mwanaume unatumika kama hawala
 
Wewe ni mtoto wa malecela ambaye baba yako alikusomesha vizuri na kakuwekea maurithi kibao ya kiujanja janja km haitoshi pengine na a/c zako zipo marekani ulikosoma sasa una benefrekani ulikosoma sasa una benefits of interest na ccm sababu italinda issue zako,baba yako,na ccm'sm so reforms of system is big threat to your accumulations,
Hoja za babu seya,mashek.na balali ni maombi ya wananchi ktk kampeni sababu hawaamini kama kweli haki imetendeka?
Pia sababu ulisoma elimu ya marekani hata uwezo wa kudadavua mambo huwezi umejaa mipansho ka jinga tu

- hahahahaha eti umesema haya kutetea Ikulu waingie wafufua marehemu yaani Lowassa atamfufua Balali na GWajima atamfufua Amina Chifupa, unasema unatetea hawa kushika Ikulu?

le Mutuz
 
MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi.

Viongozi ni binadamu na wanastahili kuwa na utashi wa kisiasa, lakini hili la mmiliki wa Kanisa kusimama kiongozi wake kwa swahiba wake Edward Ngoyai Lowassa, ndiko ambako awali watathamini wa siasa nchini walisema, tatizo si Lowassa peke yake na genge lililowazunguka nalo kama likiingia IKULU ni tatizo ambalo heri mara 100 ya CCM ya sasa.

Lowassa ambaye CHADEMA badala ya kumfanyia kampeni kwa wakati huu wanamhangaikia kumsafisha, huku wanaomzunguka nao wakiwa wachafu mikononi, usoni na mioyoni mwao. Wana sifa nyingi zenye mushkeli kwa afya ya mustakabali wa amani,upendo na pasipo na chuki wala IKULU kuvamiwa na genge la walanguzi walio midomo wazi wakiisubiria kama Mafisi.

Gwajima swahiba wa Lowassa aliwahi kuutangazia umma wa Watanzania kuwa anataka kumfufua kada na mbunge wa viti maalum CCM, marehemu Amina Chifupa aliyekuwa mke wa marehemu Meddy Mpakanjia ‘CK’.
Gwajima mwenye kushabihiana mambo mengi na mgombea wa CHADEMA Lowassa kikauli na mitazamo, pia alipata kutoa kauli nyingine ngumu ambazo nazo hadi sasa hazijatekelezwa ikiwemo ya kutaka kumfufua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine.

Kushabihiana kwao, kiahadi zao na aina ya matendo ya kusema maneno magumu kwa mgombea wa CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa ambaye nae naye amewaahidi Watanzania kuwaletea aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, marehemu Daud Balali.

Ufufuo wa Lowassa unatofauti gani na ndoto za mchana za Gwajima ambaye alipata kufikishwa mahakamani kwa tabia na kauli zake kuwa atafufua misukule? maana yake ni kutaka kupata wafuasi wengi kanisani kwake ambao kimsingi wana matarajio tofauti na mmiliki wao.
Lowassa maana yake anataka kumsuta mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Nevil Meena gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Bwana Meena ni katibu wa jukwaa la wahariri ni mtu makini sana, mwenye kuiheshimu taaluma yake, sijui atapotoka vipi leo akituaminisha kuwa habari alizotuhuthibitishia Watanzania kuwa Balali alikufa, si kweli yu hai.

Akiwa mhariri wa Mwananchi Jumapili wakati huo, Meena alikwenda kuihoji familia ya Balali nchini Marekani na kupiga picha ya kaburi la marehemu Balali. Katika habari ile aliwahoji mke, dada na watu wa karibu kabisa wa familia hiyo, waliothibitisha kifo cha ndugu yao na kuwa alizikiwa nchini Marekani, inawezekanaje leo aseme habari ile ni uongo, ukweli ni anaosema Lowassa.

Tuache siasa, tusitake kwenda IKULU kwa uongo wa kupata wafuasi. Mbali ya gazeti la Mwananchi, pia gazeti la Mtanzania liliandika habari hiyo ikiwemo na uthibitisho wa familia iliyopo kijijini kwao na waliopo nchini Marekani. Meena alikwenda Marekani ambako ni zaidi ya masaa 15 kutoka Tanzania kwa usafiri wa Ndege kwenda kusaka ukweli na kuondoa minong’ono iliyokuwa imetanda kuwa Balali yu hai.

Si haki hata chembe kuitumia familia ya marehemu Balali kuingilia IKULU, walipata msiba mzito sana, waliumia sana, lakini kwa kuwa ni kazi ya Mungu, walishukuru na kumuombea astarehe kwa amani, leo hii mnawatangazia ataletwa Tanzania, nini maana yake? Akitokea wapi? Lowassa nawe ni mzee wa ufufuo?

Gwajima si mtu safi, hata kidogo ukimsikiliza Dk. Willbroad Slaa katika hotuba zake zote, hata siku moja hakupata kuzungumzia mahusiano ya kifamilia, si kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu wala kwa Gwajima mwenyewe ambaye hajajisafisha hadharani madai ya kuzaa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Frola Mbasha, ambaye ni mke wa mtu.

Leo hii waliokuwa wakimtetea Gwajima kwa sakata lile la kumpora Emmanuel Mbasha mkewe, hata kama wanampenda vipi mchungaji huyu, ni wazi usafi wake umeingia matundu kiasi si rahisi waamini vinginevyo kutokana na maneno yake na matendo yake ya sasa.

Lowassa amewaahidi Watanzania kuwa atamtoa Nguza Viking na Pappii Kocha, je katika utafiti wake kuwa vifungo vyao vinatia shaka amewauliza walimu wa shule ya msingi Mapambano pale Sinza? Amewauliza majirani wa Sinza kijiweni? Atapata aibu maana wazazi walioathirika na jambo lile, mioyo yao itapata kutu kumsikiliza binadam huyu asiye na huruma kwa malaika wale waliodhalilishwa.
Jaji Thomas Mihayo aliyekazia hukumu ya maisha kwa Babu Seya ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Baraza la Habari Nchini, ni mtu mwenye kuaminika sana katika jamii, ana heshma kubwa sana jaji huyu mstaafu leo hii ukimwambia hukumu yake aliitoa kwa maelekezo sidhani kama Jaji yeyote nchini anayemjua na walimsifia sana wakati akistaafu kwa hukumu ile, majaji wa Tanzania watakuelewa?

Ni kujenga chuki ndani ya jamii yetu ni kuondoa dhana ya utawala bora. Gwajima mshenga wa Lowassa kuingia CHADEMA, ni maswahiba wa kauli zao ngumu, ahadi zao zenye kukinzana na Mwenyezi Mungu, wanaweza mshambulia mtu yeyote ilimradi waende IKULU, aah mzee wa maharage ya wapi! mjinga mmoja, asiyefaa mmoja !.

Hakukosea kuwa mshenga wa mzee wa maamuzi magumu mwenye uwezo pia wa kufufua watu ambaye pia mwenye kutaka ushindi wake utokane na waumini wa dhehebu lake, loh kama mwalimu angekuwepo leo angetoka hadharani na sijui angetamka nini dhidi ya Watanzania hawa wawili.

Hatahivyo, Hongereni kwa urafiki wenu. Watanzania tuwe makini sana tunaofikiria kuwapa mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

Le Mutuz Nation

- hahahaha anyegombea urais ni Magufuli sio mke wake, mgombea wenu afya yake sio nzuri ndio maana lazima mke wake ampigie kampeni hahahahahha na gwajima hahahahaha

le Mutuz

Unayeongea kuhusu afya ya Lowassa uko morbidly obese. body mass index ...afu unasema afya ya mwingine..jicheki cholesterol
 
Back
Top Bottom