Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

Gwajima na Lowassa ni marudio tu ya Mrema na Kakobe....

Nchi hii askofu na mchungaji yeyote anaweza kumpigia mtu kampeni waziwazi

ngoja siku BAKWATA wataje mgombea wao waziwazi uone watakavyo shambuliwa.....
Komredi umemaliza kila kitu.
 
Hao wapiga dili watachaguana wenyewe.

Mapema tar 25 muungano wao haramu unavunjika.
 
- Eti mimi ni mzushi?hahahahahah Lowassa kasema atamrudisha Marehemu Balali na Gwajima kasema atamrudisha Marehemu Amina Chifupa, huoni hawa ni ndege wa Rangi moja sasa unapeleka hawa watu Ikulu? hahahahah Ikulu ile ile aliyoishi Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa?

- Mkuu muogope Mungu japo kidogo itakuwa Ikulu ya kujaza misukule hahahahahahahaha no way, wananchi msidanganyike!!

le Mutuz

Ajitokeze japo member mmoja humu JF athibitishe kwamba ameweza kushawishika kwa sababu ya makala zako....yeye ndio atakuwa mpumbavu zaidi
 
Hii ndoa uliifunga wewe, au unataka kuchukua nafasi ya Gwajima? Umekalia ndoa, ndoa,ndoa nyambafu!
 
Nashindwa kuelewa nyie mnao tetea ujinga, Kweli kazi ya Kutunza kondoo wa Mungu ni kuogopesha watu na kuwajibu kama unajibu watoto wako nyumbani??? Ukweli Mch.Gwajima nina mashaka naye haswa kwenywe kuongoza wanakondoo wake, na Nguvu anazojiamini nazo, Ivyi kweli hata enzi za manabii ivy ndo walivyokuwa wakiishi na viongozi wa siasa na wananchi??? tena ndo kuchukuliana hadi wake za watu kweliiii???? ivyi siasa Na majukumu ya kuchunga roho za watu??

uwo uswahiba wake na Lowasa una sababu maana ndege wenye Rangi moja huruka pamoja, Ivyi kiongozi wa dini unamkumbati mtu anayejulikana wazi kwa FISADI NA UDINI??? sasa kazi ya Kurekebisha watu kuingia Mbinguni Mch.Gwajima naona kama umefell rudi ukatubu kwa Mungu wako ulinde heshima ya Mungu na Kanisa La Mungu. Achana na siasa mtumikie Mungu.
Lowasa hana sifa hata punje ya Haradani kuongoza hili Taifa la Mungu, Tanzania tunaitaji mtu mwenye misimamo na asiye jali maslahi yake binafsi ili kulinda mali na rasilimali za Watanzania kuleta Maendeleo Bora na mfano kwa Dunia nzima.
Lowasa nampinga kwa nguvu zangu zote tena nina sababu muhimu za kumkataa kuliongoza hili taifa.
Tuache Propaganda na Ushabiki tuangalie maslahi ya Watu wa Tanzania.

Uwezi kumfananisha Magufuli kwenye sera zake na Lowasa hata Mara Moja ni sawa na MAYWEATHER NA PAKIAO WA TAILAND, Record ya Magufuli ni nzuri na anasifa zote za kuwaongoza Maskini wa Tanzania ambao yeye Lowasa kuwaibia Serikali na wananchi imeitia hasara bilioni za pesa.
Tuangalie mtu sahihi wa kumpigia kura za ndio naye si mwingine Dk.Magufuli.

Tukutane tarehe 25 oct. usipoteze kura yako kwa kiongozi asiyekuwa na huruma kwa watanzania yeye na genge lake la wapiga dili tuwapotezeee kabisa.
 
Mi nadhani bora anafufua walio kufa kuliko anae ua walio hai kwa kuwanyima huduma bora za afya, kushindwa kuwapa walio hai maji safi na elimu bora, ajali kwa zinazosababishwa na barabara mbovu na usimamizi mbovu. Sioni cha kujivunia kwa hao wanao ua walio hai wizi kila kukicha hamna umeme, n.k
 
- hahahaha anyegombea urais ni Magufuli sio mke wake, mgombea wenu afya yake sio nzuri ndio maana lazima mke wake ampigie kampeni hahahahahha na gwajima hahahahaha

le Mutuz

Nilidhani unajitambua baada ya kutuletea kurasa zako kumi kumponda lowasa kumbe kilaza kilaza
Hata kama anaumwa ikulu si wanazahanati ya raisi kazi yao nini??
Wakati kikwete anaanguka chini kwenye campaigns zake mmlipeleka wapi??
Kwenda huko na hadithi zenu mbovu
Mgonjwa mgonjwa tumechoka!!
 
Hivi wewe unayeongozwa na Abdalah Bulembo unaweza kuwa na ushawishi gani katika jamii ?
First and foremost Le mutuz inabidi azi sort family issues zake kabla jamii haijamsikiliza-huwezi toa ushauri ikiwa wewe mwenyewe the small matter of family imekufanya u elope kukimbia majukumu
 
Mi nadhani bora anafufua walio kufa kuliko anae ua walio hai kwa kuwanyima huduma bora za afya, kushindwa kuwapa walio hai maji safi na elimu bora, ajali kwa zinazosababishwa na barabara mbovu na usimamizi mbovu. Sioni cha kujivunia kwa hao wanao ua walio hai wizi kila kukicha hamna umeme, n.k

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nilidhani unajitambua baada ya kutuletea kurasa zako kumi kumponda lowasa kumbe kilaza kilaza
Hata kama anaumwa ikulu si wanazahanati ya raisi kazi yao nini??
Wakati kikwete anaanguka chini kwenye campaigns zake mmlipeleka wapi??
Kwenda huko na hadithi zenu mbovu
Mgonjwa mgonjwa tumechoka!!

- hahahahaha AIMEEEEEN, kumbe umeisoma yote na ukaielewa na kuijibu, saafi sana hahahahaha

le Mutuz
 
First and foremost Le mutuz inabidi azi sort family issues zake kabla jamii haijamsikiliza-huwezi toa ushauri ikiwa wewe mwenyewe the small matter of family imekufanya u elope kukimbia majukumu

- hahahahaha una maana kama Mwenyekiti wako kuzaa na Mbunge wake wa Viti maalum au what? hahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahaha anyegombea urais ni Magufuli sio mke wake, mgombea wenu afya yake sio nzuri ndio maana lazima mke wake ampigie kampeni hahahahahha na gwajima hahahahaha

le Mutuz
wewe una afya? mbona uko obese,sidhani hata tendo la ndoa unaweza manage
 
Ajitokeze japo member mmoja humu JF athibitishe kwamba ameweza kushawishika kwa sababu ya makala zako....yeye ndio atakuwa mpumbavu zaidi

- upumbavu na ulofa ni kujibu unachokiita upumbavu hakuna wa kukuzidi hahahahahaha le mburulazzz

le Mutuz
 
Mwanzo sikujua kwanini Lowassa anapata watu wengi kupita kiasi kwenye mikutano yake, Mimi sio mwansiasa lkn nijuavo Lowassa hakuwa na mapenzi ya Watz kiasi hiki tujiulize kitu gani kiko nyuma ya pazia?

Nimeshuhudia maajabu makubwa kwenye Mkutano uliofanyika Pemba Wa Lowassa ulikua si Wa kawaida .

Hapa naaza kuvuta hisia zaidi niliyoyaona nikiyaweka hapa tunaweza pakazua mabishano tusifikie huuko kwa kuwa kila MTU na funny take hata ukisema itakuwa ni kama unampigia mbuzi kitaa is too late
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom