Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

Kumbe ni le u know? Hahahaa kada wa kijan hakuna madhara hapa ila wadau angalien msitukane manaake zimebakia siku 19 tumalize kazi kuwa mpole uwe mmoja wa watakaoandikwa kwe history ya nchi hii
 
Daah, kubwajinga kajitahidi kaandika kweli, kapanga na paragraph... wasted his time lakini wapi, hakuna hata anayejali thread yake

kazi sana ukiwa na IQ kimini,

Pole Bonge nyanya aka le mutuz
 
Last edited by a moderator:
Daah, kubwajinga kajitahidi kaandika kweli, kapanga na paragraph... wasted his time lakini wapi, hakuna hata anayejali thread yake

kazi sana ukiwa na IQ kimini,

Pole Bonge nyanya aka le mutuz

- hahahahaha umekuja mbio kujibu unajua Big Celebrity ukijibu na wewe angalau utaonekana upo hapa hahahahaha U know!!

le Mutuz
 
MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi.

Viongozi ni binadamu na wanastahili kuwa na utashi wa kisiasa, lakini hili la mmiliki wa Kanisa kusimama kiongozi wake kwa swahiba wake Edward Ngoyai Lowassa, ndiko ambako awali watathamini wa siasa nchini walisema, tatizo si Lowassa peke yake na genge lililowazunguka nalo kama likiingia IKULU ni tatizo ambalo heri mara 100 ya CCM ya sasa.

Lowassa ambaye CHADEMA badala ya kumfanyia kampeni kwa wakati huu wanamhangaikia kumsafisha, huku wanaomzunguka nao wakiwa wachafu mikononi, usoni na mioyoni mwao. Wana sifa nyingi zenye mushkeli kwa afya ya mustakabali wa amani,upendo na pasipo na chuki wala IKULU kuvamiwa na genge la walanguzi walio midomo wazi wakiisubiria kama Mafisi.

Gwajima swahiba wa Lowassa aliwahi kuutangazia umma wa Watanzania kuwa anataka kumfufua kada na mbunge wa viti maalum CCM, marehemu Amina Chifupa aliyekuwa mke wa marehemu Meddy Mpakanjia ‘CK'.
Gwajima mwenye kushabihiana mambo mengi na mgombea wa CHADEMA Lowassa kikauli na mitazamo, pia alipata kutoa kauli nyingine ngumu ambazo nazo hadi sasa hazijatekelezwa ikiwemo ya kutaka kumfufua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine.

Kushabihiana kwao, kiahadi zao na aina ya matendo ya kusema maneno magumu kwa mgombea wa CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa ambaye nae naye amewaahidi Watanzania kuwaletea aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, marehemu Daud Balali.

Ufufuo wa Lowassa unatofauti gani na ndoto za mchana za Gwajima ambaye alipata kufikishwa mahakamani kwa tabia na kauli zake kuwa atafufua misukule? maana yake ni kutaka kupata wafuasi wengi kanisani kwake ambao kimsingi wana matarajio tofauti na mmiliki wao.
Lowassa maana yake anataka kumsuta mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Nevil Meena gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Bwana Meena ni katibu wa jukwaa la wahariri ni mtu makini sana, mwenye kuiheshimu taaluma yake, sijui atapotoka vipi leo akituaminisha kuwa habari alizotuhuthibitishia Watanzania kuwa Balali alikufa, si kweli yu hai.

Akiwa mhariri wa Mwananchi Jumapili wakati huo, Meena alikwenda kuihoji familia ya Balali nchini Marekani na kupiga picha ya kaburi la marehemu Balali. Katika habari ile aliwahoji mke, dada na watu wa karibu kabisa wa familia hiyo, waliothibitisha kifo cha ndugu yao na kuwa alizikiwa nchini Marekani, inawezekanaje leo aseme habari ile ni uongo, ukweli ni anaosema Lowassa.

Tuache siasa, tusitake kwenda IKULU kwa uongo wa kupata wafuasi. Mbali ya gazeti la Mwananchi, pia gazeti la Mtanzania liliandika habari hiyo ikiwemo na uthibitisho wa familia iliyopo kijijini kwao na waliopo nchini Marekani. Meena alikwenda Marekani ambako ni zaidi ya masaa 15 kutoka Tanzania kwa usafiri wa Ndege kwenda kusaka ukweli na kuondoa minong'ono iliyokuwa imetanda kuwa Balali yu hai.

Si haki hata chembe kuitumia familia ya marehemu Balali kuingilia IKULU, walipata msiba mzito sana, waliumia sana, lakini kwa kuwa ni kazi ya Mungu, walishukuru na kumuombea astarehe kwa amani, leo hii mnawatangazia ataletwa Tanzania, nini maana yake? Akitokea wapi? Lowassa nawe ni mzee wa ufufuo?

Gwajima si mtu safi, hata kidogo ukimsikiliza Dk. Willbroad Slaa katika hotuba zake zote, hata siku moja hakupata kuzungumzia mahusiano ya kifamilia, si kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu wala kwa Gwajima mwenyewe ambaye hajajisafisha hadharani madai ya kuzaa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Frola Mbasha, ambaye ni mke wa mtu.

Leo hii waliokuwa wakimtetea Gwajima kwa sakata lile la kumpora Emmanuel Mbasha mkewe, hata kama wanampenda vipi mchungaji huyu, ni wazi usafi wake umeingia matundu kiasi si rahisi waamini vinginevyo kutokana na maneno yake na matendo yake ya sasa.

Lowassa amewaahidi Watanzania kuwa atamtoa Nguza Viking na Pappii Kocha, je katika utafiti wake kuwa vifungo vyao vinatia shaka amewauliza walimu wa shule ya msingi Mapambano pale Sinza? Amewauliza majirani wa Sinza kijiweni? Atapata aibu maana wazazi walioathirika na jambo lile, mioyo yao itapata kutu kumsikiliza binadam huyu asiye na huruma kwa malaika wale waliodhalilishwa.
Jaji Thomas Mihayo aliyekazia hukumu ya maisha kwa Babu Seya ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Baraza la Habari Nchini, ni mtu mwenye kuaminika sana katika jamii, ana heshma kubwa sana jaji huyu mstaafu leo hii ukimwambia hukumu yake aliitoa kwa maelekezo sidhani kama Jaji yeyote nchini anayemjua na walimsifia sana wakati akistaafu kwa hukumu ile, majaji wa Tanzania watakuelewa?

Ni kujenga chuki ndani ya jamii yetu ni kuondoa dhana ya utawala bora. Gwajima mshenga wa Lowassa kuingia CHADEMA, ni maswahiba wa kauli zao ngumu, ahadi zao zenye kukinzana na Mwenyezi Mungu, wanaweza mshambulia mtu yeyote ilimradi waende IKULU, aah mzee wa maharage ya wapi! mjinga mmoja, asiyefaa mmoja !.

Hakukosea kuwa mshenga wa mzee wa maamuzi magumu mwenye uwezo pia wa kufufua watu ambaye pia mwenye kutaka ushindi wake utokane na waumini wa dhehebu lake, loh kama mwalimu angekuwepo leo angetoka hadharani na sijui angetamka nini dhidi ya Watanzania hawa wawili.

Hatahivyo, Hongereni kwa urafiki wenu. Watanzania tuwe makini sana tunaofikiria kuwapa mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

Le Mutuz Nation

Very detailed, ushauri kwako ni umpokee YESU Kristo awe BWANA na mokozi wako, kabla hazijaja siku mbaya. Bila YESU kumbuka maisha ni bure. Mtumikie YESU .
 
kweli wanampango wa kufufa mzimu haiwezekan LOWASSA kusema Balali yupo hai.. angali tunajua Mungu kampenda zaidi..labda wamfufue maana yuko na mshenga wake Ngwajima anaye fufua watuuu... hahhahaahahahah
 
Mkuu kwanini wewe mwenye utafiti tayari usiulete hapa ili huyu asiejua ajue ☺

Mkuu sina haja ya kuuleta kwasababu kuna roho ya thomaso imo kwa watu humu alafu kingne mkuu usikubali kuambiwa kila kitu ndo haya sasa yanaleta shida sahv anamezeshwa tu na akina le big show nae anachukua kama lilivyo, lakn ukifanya na ww binafsi utafit utajua tu kipi pumba upi mchele
Kwahyo n vema akwende mwenyewe hakuna kutafuniwaa
 
Very detailed, ushauri kwako ni umpokee YESU Kristo awe BWANA na mokozi wako, kabla hazijaja siku mbaya. Bila YESU kumbuka maisha ni bure. Mtumikie YESU .

- hahahaha Lowassa atamrudisha Balali na Gwajima atamrudisha Amina Chifupa, hawa ndio tuwape Ikulu? hahahahahah

le Mutuz
 
w.j.malecela hoja unazotoa hazina mashiko. Gwajima ni raia wa tanzania na anazo haki zote za kuwa mwanachama wa chama au mfuasi wa mgombea amtakaye ..viongozi wengine wa dini wamejipambanua kuwa wanaunga mkono ccm hatukusikia ukiwashutumu. lakini zaidi gwajima siyo mshenga wa lowassa bali ni mshenga wa mabadiliko na ni mabadiliko ambayo Mungu anaenda kuyabariki oktoba 25. hayo ni maono yenye baraka. kuhusu akina babu seya tafadhali usimlishe lowassa maneno, ameahidi kuwa akishika dola ataunda tume kupitia upya mwenendo wa kesi hiyo na ikibainika wameonewa atawaachia huru. mbona magufuli ameahidi kuwaachia wale waliokamatwa kwenye operesheni tokomeza kwa kuahidi kufanya uchunguzi upya hilo hulisemi. Watanzania hasa watanzania wa sasa wako makini sana na hawadanganyiki na propaganda zako na urongo wako kwani tayari wameazimia kuwa na mabadiliko kupitia chadema na ukawa na wapenda mabadiliko wote. usafi wa gwajima au uchafu wake haupimwi na slaa kwani slaa tayari amejibainisha kuwa ni mchafu kuliko wachafu wote kwa kuendelea kuzini na mwanamke wa mtu huku akijifanya ndoa inafungwa na Mungu. slaa sio msafi kwani amerubuniwa na ccm kwa vijisenti na sasa amekuwa mpinga mabadiliko. kumsingizia gwajima ati amempora mke wa mbasha bila ushahidi huo ni uzandiki kwani mbasha angekuwa ana uhakika kuwa mkewe yuko kwa gwajima angeenda mahakamani ili ukweli ujulikane. inaelekea wewe malecela ni mzushi na mrongo unayejaribu kuota kuwahadaa wapiga kura lakini umechelewa.
MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi.

Viongozi ni binadamu na wanastahili kuwa na utashi wa kisiasa, lakini hili la mmiliki wa Kanisa kusimama kiongozi wake kwa swahiba wake Edward Ngoyai Lowassa, ndiko ambako awali watathamini wa siasa nchini walisema, tatizo si Lowassa peke yake na genge lililowazunguka nalo kama likiingia IKULU ni tatizo ambalo heri mara 100 ya CCM ya sasa.

Lowassa ambaye CHADEMA badala ya kumfanyia kampeni kwa wakati huu wanamhangaikia kumsafisha, huku wanaomzunguka nao wakiwa wachafu mikononi, usoni na mioyoni mwao. Wana sifa nyingi zenye mushkeli kwa afya ya mustakabali wa amani,upendo na pasipo na chuki wala IKULU kuvamiwa na genge la walanguzi walio midomo wazi wakiisubiria kama Mafisi.

Gwajima swahiba wa Lowassa aliwahi kuutangazia umma wa Watanzania kuwa anataka kumfufua kada na mbunge wa viti maalum CCM, marehemu Amina Chifupa aliyekuwa mke wa marehemu Meddy Mpakanjia ‘CK'.
Gwajima mwenye kushabihiana mambo mengi na mgombea wa CHADEMA Lowassa kikauli na mitazamo, pia alipata kutoa kauli nyingine ngumu ambazo nazo hadi sasa hazijatekelezwa ikiwemo ya kutaka kumfufua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine.

Kushabihiana kwao, kiahadi zao na aina ya matendo ya kusema maneno magumu kwa mgombea wa CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa ambaye nae naye amewaahidi Watanzania kuwaletea aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, marehemu Daud Balali.

Ufufuo wa Lowassa unatofauti gani na ndoto za mchana za Gwajima ambaye alipata kufikishwa mahakamani kwa tabia na kauli zake kuwa atafufua misukule? maana yake ni kutaka kupata wafuasi wengi kanisani kwake ambao kimsingi wana matarajio tofauti na mmiliki wao.
Lowassa maana yake anataka kumsuta mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Nevil Meena gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Bwana Meena ni katibu wa jukwaa la wahariri ni mtu makini sana, mwenye kuiheshimu taaluma yake, sijui atapotoka vipi leo akituaminisha kuwa habari alizotuhuthibitishia Watanzania kuwa Balali alikufa, si kweli yu hai.

Akiwa mhariri wa Mwananchi Jumapili wakati huo, Meena alikwenda kuihoji familia ya Balali nchini Marekani na kupiga picha ya kaburi la marehemu Balali. Katika habari ile aliwahoji mke, dada na watu wa karibu kabisa wa familia hiyo, waliothibitisha kifo cha ndugu yao na kuwa alizikiwa nchini Marekani, inawezekanaje leo aseme habari ile ni uongo, ukweli ni anaosema Lowassa.

Tuache siasa, tusitake kwenda IKULU kwa uongo wa kupata wafuasi. Mbali ya gazeti la Mwananchi, pia gazeti la Mtanzania liliandika habari hiyo ikiwemo na uthibitisho wa familia iliyopo kijijini kwao na waliopo nchini Marekani. Meena alikwenda Marekani ambako ni zaidi ya masaa 15 kutoka Tanzania kwa usafiri wa Ndege kwenda kusaka ukweli na kuondoa minong'ono iliyokuwa imetanda kuwa Balali yu hai.

Si haki hata chembe kuitumia familia ya marehemu Balali kuingilia IKULU, walipata msiba mzito sana, waliumia sana, lakini kwa kuwa ni kazi ya Mungu, walishukuru na kumuombea astarehe kwa amani, leo hii mnawatangazia ataletwa Tanzania, nini maana yake? Akitokea wapi? Lowassa nawe ni mzee wa ufufuo?

Gwajima si mtu safi, hata kidogo ukimsikiliza Dk. Willbroad Slaa katika hotuba zake zote, hata siku moja hakupata kuzungumzia mahusiano ya kifamilia, si kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu wala kwa Gwajima mwenyewe ambaye hajajisafisha hadharani madai ya kuzaa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Frola Mbasha, ambaye ni mke wa mtu.

Leo hii waliokuwa wakimtetea Gwajima kwa sakata lile la kumpora Emmanuel Mbasha mkewe, hata kama wanampenda vipi mchungaji huyu, ni wazi usafi wake umeingia matundu kiasi si rahisi waamini vinginevyo kutokana na maneno yake na matendo yake ya sasa.

Lowassa amewaahidi Watanzania kuwa atamtoa Nguza Viking na Pappii Kocha, je katika utafiti wake kuwa vifungo vyao vinatia shaka amewauliza walimu wa shule ya msingi Mapambano pale Sinza? Amewauliza majirani wa Sinza kijiweni? Atapata aibu maana wazazi walioathirika na jambo lile, mioyo yao itapata kutu kumsikiliza binadam huyu asiye na huruma kwa malaika wale waliodhalilishwa.
Jaji Thomas Mihayo aliyekazia hukumu ya maisha kwa Babu Seya ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Baraza la Habari Nchini, ni mtu mwenye kuaminika sana katika jamii, ana heshma kubwa sana jaji huyu mstaafu leo hii ukimwambia hukumu yake aliitoa kwa maelekezo sidhani kama Jaji yeyote nchini anayemjua na walimsifia sana wakati akistaafu kwa hukumu ile, majaji wa Tanzania watakuelewa?

Ni kujenga chuki ndani ya jamii yetu ni kuondoa dhana ya utawala bora. Gwajima mshenga wa Lowassa kuingia CHADEMA, ni maswahiba wa kauli zao ngumu, ahadi zao zenye kukinzana na Mwenyezi Mungu, wanaweza mshambulia mtu yeyote ilimradi waende IKULU, aah mzee wa maharage ya wapi! mjinga mmoja, asiyefaa mmoja !.

Hakukosea kuwa mshenga wa mzee wa maamuzi magumu mwenye uwezo pia wa kufufua watu ambaye pia mwenye kutaka ushindi wake utokane na waumini wa dhehebu lake, loh kama mwalimu angekuwepo leo angetoka hadharani na sijui angetamka nini dhidi ya Watanzania hawa wawili.

Hatahivyo, Hongereni kwa urafiki wenu. Watanzania tuwe makini sana tunaofikiria kuwapa mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

Le Mutuz Nation
 
Gwajima na Lowassa ni marudio tu ya Mrema na Kakobe....

Nchi hii askofu na mchungaji yeyote anaweza kumpigia mtu kampeni waziwazi

ngoja siku BAKWATA wataje mgombea wao waziwazi uone watakavyo shambuliwa.....

Hoja hapa si kuwa askofu na kumshabikia mgombea, na hata kama inaonekana bado sio ambayo watu makini wameletewa waitafakari. Kilicholetwa hapa ni uchafu usiosafishika wa hao watu wawili Gwajima na Lowasa. Wawili hao wanataka kutumia udhaifu wetu Watanzania katika kusahau na ukata ili waingie Ikulu. Hili ndilo la kujadili. Ila ukiona linakwepwa maana yake halipingiki. Je ni kweli Gwajima alidai kuwa atawafufua kina Amina Chifupa? Je ni kweli Lowasa alidai atamleta Billal au atamtoa jela mtu aliyehukumiwa kudhalilisha watoto? Sasa kama haya madai yana harufu ya ukweli halafu ndio combination inayotaka kumilikishwa Ikulu, Watanzania tutarajie nini?
 
Duh sjawahi kuona wala kusikia raise was a in a ya jk. Ukiwa rack was mwanae tayaer umekidhi kuwa dc, ukizaba wazee vibao wew Una cheo tayari..ukitukana wazee Kama nape umekidhi uenezi...jaman jaman ukikosa cheo kwa awamu hi I basss
 
w.j.malecela hoja unazotoa hazina mashiko. Gwajima ni raia wa tanzania na anazo haki zote za kuwa mwanachama wa chama au mfuasi wa mgombea amtakaye ..viongozi wengine wa dini wamejipambanua kuwa wanaunga mkono ccm hatukusikia ukiwashutumu. lakini zaidi gwajima siyo mshenga wa lowassa bali ni mshenga wa mabadiliko na ni mabadiliko ambayo Mungu anaenda kuyabariki oktoba 25. hayo ni maono yenye baraka. kuhusu akina babu seya tafadhali usimlishe lowassa maneno, ameahidi kuwa akishika dola ataunda tume kupitia upya mwenendo wa kesi hiyo na ikibainika wameonewa atawaachia huru. mbona magufuli ameahidi kuwaachia wale waliokamatwa kwenye operesheni tokomeza kwa kuahidi kufanya uchunguzi upya hilo hulisemi. Watanzania hasa watanzania wa sasa wako makini sana na hawadanganyiki na propaganda zako na urongo wako kwani tayari wameazimia kuwa na mabadiliko kupitia chadema na ukawa na wapenda mabadiliko wote. usafi wa gwajima au uchafu wake haupimwi na slaa kwani slaa tayari amejibainisha kuwa ni mchafu kuliko wachafu wote kwa kuendelea kuzini na mwanamke wa mtu huku akijifanya ndoa inafungwa na Mungu. slaa sio msafi kwani amerubuniwa na ccm kwa vijisenti na sasa amekuwa mpinga mabadiliko. kumsingizia gwajima ati amempora mke wa mbasha bila ushahidi huo ni uzandiki kwani mbasha angekuwa ana uhakika kuwa mkewe yuko kwa gwajima angeenda mahakamani ili ukweli ujulikane. inaelekea wewe malecela ni mzushi na mrongo unayejaribu kuota kuwahadaa wapiga kura lakini umechelewa.

- Eti mimi ni mzushi?hahahahahah Lowassa kasema atamrudisha Marehemu Balali na Gwajima kasema atamrudisha Marehemu Amina Chifupa, huoni hawa ni ndege wa Rangi moja sasa unapeleka hawa watu Ikulu? hahahahah Ikulu ile ile aliyoishi Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa?

- Mkuu muogope Mungu japo kidogo itakuwa Ikulu ya kujaza misukule hahahahahahahaha no way, wananchi msidanganyike!!

le Mutuz
 
Duh sjawahi kuona wala kusikia raise was a in a ya jk. Ukiwa rack was mwanae tayaer umekidhi kuwa dc, ukizaba wazee vibao wew Una cheo tayari..ukitukana wazee Kama nape umekidhi uenezi...jaman jaman ukikosa cheo kwa awamu hi I basss

- Eti umewahi kuona Rais na Mshauri wake wanafufua wafu kama Lowassa na Gwajima? hahahahahahaha

le Mutuz
 
MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi.

Viongozi ni binadamu na wanastahili kuwa na utashi wa kisiasa, lakini hili la mmiliki wa Kanisa kusimama kiongozi wake kwa swahiba wake Edward Ngoyai Lowassa, ndiko ambako awali watathamini wa siasa nchini walisema, tatizo si Lowassa peke yake na genge lililowazunguka nalo kama likiingia IKULU ni tatizo ambalo heri mara 100 ya CCM ya sasa.

Lowassa ambaye CHADEMA badala ya kumfanyia kampeni kwa wakati huu wanamhangaikia kumsafisha, huku wanaomzunguka nao wakiwa wachafu mikononi, usoni na mioyoni mwao. Wana sifa nyingi zenye mushkeli kwa afya ya mustakabali wa amani,upendo na pasipo na chuki wala IKULU kuvamiwa na genge la walanguzi walio midomo wazi wakiisubiria kama Mafisi.

Gwajima swahiba wa Lowassa aliwahi kuutangazia umma wa Watanzania kuwa anataka kumfufua kada na mbunge wa viti maalum CCM, marehemu Amina Chifupa aliyekuwa mke wa marehemu Meddy Mpakanjia ‘CK’.
Gwajima mwenye kushabihiana mambo mengi na mgombea wa CHADEMA Lowassa kikauli na mitazamo, pia alipata kutoa kauli nyingine ngumu ambazo nazo hadi sasa hazijatekelezwa ikiwemo ya kutaka kumfufua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine.

Kushabihiana kwao, kiahadi zao na aina ya matendo ya kusema maneno magumu kwa mgombea wa CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa ambaye nae naye amewaahidi Watanzania kuwaletea aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, marehemu Daud Balali.

Ufufuo wa Lowassa unatofauti gani na ndoto za mchana za Gwajima ambaye alipata kufikishwa mahakamani kwa tabia na kauli zake kuwa atafufua misukule? maana yake ni kutaka kupata wafuasi wengi kanisani kwake ambao kimsingi wana matarajio tofauti na mmiliki wao.
Lowassa maana yake anataka kumsuta mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Nevil Meena gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Bwana Meena ni katibu wa jukwaa la wahariri ni mtu makini sana, mwenye kuiheshimu taaluma yake, sijui atapotoka vipi leo akituaminisha kuwa habari alizotuhuthibitishia Watanzania kuwa Balali alikufa, si kweli yu hai.

Akiwa mhariri wa Mwananchi Jumapili wakati huo, Meena alikwenda kuihoji familia ya Balali nchini Marekani na kupiga picha ya kaburi la marehemu Balali. Katika habari ile aliwahoji mke, dada na watu wa karibu kabisa wa familia hiyo, waliothibitisha kifo cha ndugu yao na kuwa alizikiwa nchini Marekani, inawezekanaje leo aseme habari ile ni uongo, ukweli ni anaosema Lowassa.

Tuache siasa, tusitake kwenda IKULU kwa uongo wa kupata wafuasi. Mbali ya gazeti la Mwananchi, pia gazeti la Mtanzania liliandika habari hiyo ikiwemo na uthibitisho wa familia iliyopo kijijini kwao na waliopo nchini Marekani. Meena alikwenda Marekani ambako ni zaidi ya masaa 15 kutoka Tanzania kwa usafiri wa Ndege kwenda kusaka ukweli na kuondoa minong’ono iliyokuwa imetanda kuwa Balali yu hai.

Si haki hata chembe kuitumia familia ya marehemu Balali kuingilia IKULU, walipata msiba mzito sana, waliumia sana, lakini kwa kuwa ni kazi ya Mungu, walishukuru na kumuombea astarehe kwa amani, leo hii mnawatangazia ataletwa Tanzania, nini maana yake? Akitokea wapi? Lowassa nawe ni mzee wa ufufuo?

Gwajima si mtu safi, hata kidogo ukimsikiliza Dk. Willbroad Slaa katika hotuba zake zote, hata siku moja hakupata kuzungumzia mahusiano ya kifamilia, si kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu wala kwa Gwajima mwenyewe ambaye hajajisafisha hadharani madai ya kuzaa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Frola Mbasha, ambaye ni mke wa mtu.

Leo hii waliokuwa wakimtetea Gwajima kwa sakata lile la kumpora Emmanuel Mbasha mkewe, hata kama wanampenda vipi mchungaji huyu, ni wazi usafi wake umeingia matundu kiasi si rahisi waamini vinginevyo kutokana na maneno yake na matendo yake ya sasa.

Lowassa amewaahidi Watanzania kuwa atamtoa Nguza Viking na Pappii Kocha, je katika utafiti wake kuwa vifungo vyao vinatia shaka amewauliza walimu wa shule ya msingi Mapambano pale Sinza? Amewauliza majirani wa Sinza kijiweni? Atapata aibu maana wazazi walioathirika na jambo lile, mioyo yao itapata kutu kumsikiliza binadam huyu asiye na huruma kwa malaika wale waliodhalilishwa.
Jaji Thomas Mihayo aliyekazia hukumu ya maisha kwa Babu Seya ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Baraza la Habari Nchini, ni mtu mwenye kuaminika sana katika jamii, ana heshma kubwa sana jaji huyu mstaafu leo hii ukimwambia hukumu yake aliitoa kwa maelekezo sidhani kama Jaji yeyote nchini anayemjua na walimsifia sana wakati akistaafu kwa hukumu ile, majaji wa Tanzania watakuelewa?

Ni kujenga chuki ndani ya jamii yetu ni kuondoa dhana ya utawala bora. Gwajima mshenga wa Lowassa kuingia CHADEMA, ni maswahiba wa kauli zao ngumu, ahadi zao zenye kukinzana na Mwenyezi Mungu, wanaweza mshambulia mtu yeyote ilimradi waende IKULU, aah mzee wa maharage ya wapi! mjinga mmoja, asiyefaa mmoja !.

Hakukosea kuwa mshenga wa mzee wa maamuzi magumu mwenye uwezo pia wa kufufua watu ambaye pia mwenye kutaka ushindi wake utokane na waumini wa dhehebu lake, loh kama mwalimu angekuwepo leo angetoka hadharani na sijui angetamka nini dhidi ya Watanzania hawa wawili.

Hatahivyo, Hongereni kwa urafiki wenu. Watanzania tuwe makini sana tunaofikiria kuwapa mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

Le Mutuz Nation

naona niseme tu kwamba!; ccm inavuna ilicho kipanda kwa muda wote wa utawala wake! kutowekeza kwenye elimu, hususani elimu ya civics tumezalisha kitu mbaya sana...Ila kwa sasa watu bila kujali wanataka mabadiliko na hill ni somo wamesha lijua na kulihifandi!; miaka mitano sio mingi, nao ukawa wakileta ya kuleta na mbweraa ni wa kupiga chini tu na kuajiri wengine watutumikie!; na kuwaombea laanatulahi wakati wakiiacha ikulu! lakini kwa sasa no manadiliko mabadiliko mabadiliko...:A S angry:
 
- So unasema tupeleke wafufua Marehemu Ikulu? please mkuu onea huruma Taifa kidogo hahahahah

le Mutuz
 
Back
Top Bottom