Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

kwi kwi kwi....eti lowassa kasema atamrudisha balali. maajabu yako swahiba. ninyi ndio mliokuwa mnakataa kuwa balali hajafa leo wananchi wanampa jukumu mheshimiwa rais afuatilie kujiridhisha kama kweli kafa tayari mnamlisha maneno...mbona hamsemi yale aliyosema pombe ya kuwaachia majangili wa tokomeza?
- Eti mimi ni mzushi?hahahahahah Lowassa kasema atamrudisha Marehemu Balali na Gwajima kasema atamrudisha Marehemu Amina Chifupa, huoni hawa ni ndege wa Rangi moja sasa unapeleka hawa watu Ikulu? hahahahah Ikulu ile ile aliyoishi Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa?

- Mkuu muogope Mungu japo kidogo itakuwa Ikulu ya kujaza misukule hahahahahahahaha no way, wananchi msidanganyike!!

le Mutuz
 
Unayeongea kuhusu afya ya Lowassa uko morbidly obese. body mass index ...afu unasema afya ya mwingine..jicheki cholesterol

- hahahahaha mbona mnajishuku kwani mgombea wenu afya yake ni tatizo nini? hahahahahahah, so unataka tuwe na Rais anayefufua kina Balali? hahahahah

le Mutuz
 
kwi kwi kwi....eti lowassa kasema atamrudisha balali. maajabu yako swahiba. ninyi ndio mliokuwa mnakataa kuwa balali hajafa leo wananchi wanampa jukumu mheshimiwa rais afuatilie kujiridhisha kama kweli kafa tayari mnamlisha maneno...mbona hamsemi yale aliyosema pombe ya kuwaachia majangili wa tokomeza?

- Sasa unakataa Lowassa hakusema atamfufua Balali na Gwajima rafiki yake hakusema atamfufua Amina Chifupa na Sokoine? hahahahahaha ndio unataka wawe marais wawili wa Tanzania? hahahahaha

le Mutuz
 
MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi.

Viongozi ni binadamu na wanastahili kuwa na utashi wa kisiasa, lakini hili la mmiliki wa Kanisa kusimama kiongozi wake kwa swahiba wake Edward Ngoyai Lowassa, ndiko ambako awali watathamini wa siasa nchini walisema, tatizo si Lowassa peke yake na genge lililowazunguka nalo kama likiingia IKULU ni tatizo ambalo heri mara 100 ya CCM ya sasa.

Lowassa ambaye CHADEMA badala ya kumfanyia kampeni kwa wakati huu wanamhangaikia kumsafisha, huku wanaomzunguka nao wakiwa wachafu mikononi, usoni na mioyoni mwao. Wana sifa nyingi zenye mushkeli kwa afya ya mustakabali wa amani,upendo na pasipo na chuki wala IKULU kuvamiwa na genge la walanguzi walio midomo wazi wakiisubiria kama Mafisi.

Gwajima swahiba wa Lowassa aliwahi kuutangazia umma wa Watanzania kuwa anataka kumfufua kada na mbunge wa viti maalum CCM, marehemu Amina Chifupa aliyekuwa mke wa marehemu Meddy Mpakanjia ‘CK’.
Gwajima mwenye kushabihiana mambo mengi na mgombea wa CHADEMA Lowassa kikauli na mitazamo, pia alipata kutoa kauli nyingine ngumu ambazo nazo hadi sasa hazijatekelezwa ikiwemo ya kutaka kumfufua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine.

Kushabihiana kwao, kiahadi zao na aina ya matendo ya kusema maneno magumu kwa mgombea wa CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa ambaye nae naye amewaahidi Watanzania kuwaletea aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, marehemu Daud Balali.

Ufufuo wa Lowassa unatofauti gani na ndoto za mchana za Gwajima ambaye alipata kufikishwa mahakamani kwa tabia na kauli zake kuwa atafufua misukule? maana yake ni kutaka kupata wafuasi wengi kanisani kwake ambao kimsingi wana matarajio tofauti na mmiliki wao.
Lowassa maana yake anataka kumsuta mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Nevil Meena gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Bwana Meena ni katibu wa jukwaa la wahariri ni mtu makini sana, mwenye kuiheshimu taaluma yake, sijui atapotoka vipi leo akituaminisha kuwa habari alizotuhuthibitishia Watanzania kuwa Balali alikufa, si kweli yu hai.

Akiwa mhariri wa Mwananchi Jumapili wakati huo, Meena alikwenda kuihoji familia ya Balali nchini Marekani na kupiga picha ya kaburi la marehemu Balali. Katika habari ile aliwahoji mke, dada na watu wa karibu kabisa wa familia hiyo, waliothibitisha kifo cha ndugu yao na kuwa alizikiwa nchini Marekani, inawezekanaje leo aseme habari ile ni uongo, ukweli ni anaosema Lowassa.

Tuache siasa, tusitake kwenda IKULU kwa uongo wa kupata wafuasi. Mbali ya gazeti la Mwananchi, pia gazeti la Mtanzania liliandika habari hiyo ikiwemo na uthibitisho wa familia iliyopo kijijini kwao na waliopo nchini Marekani. Meena alikwenda Marekani ambako ni zaidi ya masaa 15 kutoka Tanzania kwa usafiri wa Ndege kwenda kusaka ukweli na kuondoa minong’ono iliyokuwa imetanda kuwa Balali yu hai.

Si haki hata chembe kuitumia familia ya marehemu Balali kuingilia IKULU, walipata msiba mzito sana, waliumia sana, lakini kwa kuwa ni kazi ya Mungu, walishukuru na kumuombea astarehe kwa amani, leo hii mnawatangazia ataletwa Tanzania, nini maana yake? Akitokea wapi? Lowassa nawe ni mzee wa ufufuo?

Gwajima si mtu safi, hata kidogo ukimsikiliza Dk. Willbroad Slaa katika hotuba zake zote, hata siku moja hakupata kuzungumzia mahusiano ya kifamilia, si kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu wala kwa Gwajima mwenyewe ambaye hajajisafisha hadharani madai ya kuzaa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Frola Mbasha, ambaye ni mke wa mtu.

Leo hii waliokuwa wakimtetea Gwajima kwa sakata lile la kumpora Emmanuel Mbasha mkewe, hata kama wanampenda vipi mchungaji huyu, ni wazi usafi wake umeingia matundu kiasi si rahisi waamini vinginevyo kutokana na maneno yake na matendo yake ya sasa.

Lowassa amewaahidi Watanzania kuwa atamtoa Nguza Viking na Pappii Kocha, je katika utafiti wake kuwa vifungo vyao vinatia shaka amewauliza walimu wa shule ya msingi Mapambano pale Sinza? Amewauliza majirani wa Sinza kijiweni? Atapata aibu maana wazazi walioathirika na jambo lile, mioyo yao itapata kutu kumsikiliza binadam huyu asiye na huruma kwa malaika wale waliodhalilishwa.
Jaji Thomas Mihayo aliyekazia hukumu ya maisha kwa Babu Seya ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Baraza la Habari Nchini, ni mtu mwenye kuaminika sana katika jamii, ana heshma kubwa sana jaji huyu mstaafu leo hii ukimwambia hukumu yake aliitoa kwa maelekezo sidhani kama Jaji yeyote nchini anayemjua na walimsifia sana wakati akistaafu kwa hukumu ile, majaji wa Tanzania watakuelewa?

Ni kujenga chuki ndani ya jamii yetu ni kuondoa dhana ya utawala bora. Gwajima mshenga wa Lowassa kuingia CHADEMA, ni maswahiba wa kauli zao ngumu, ahadi zao zenye kukinzana na Mwenyezi Mungu, wanaweza mshambulia mtu yeyote ilimradi waende IKULU, aah mzee wa maharage ya wapi! mjinga mmoja, asiyefaa mmoja !.

Hakukosea kuwa mshenga wa mzee wa maamuzi magumu mwenye uwezo pia wa kufufua watu ambaye pia mwenye kutaka ushindi wake utokane na waumini wa dhehebu lake, loh kama mwalimu angekuwepo leo angetoka hadharani na sijui angetamka nini dhidi ya Watanzania hawa wawili.

Hatahivyo, Hongereni kwa urafiki wenu. Watanzania tuwe makini sana tunaofikiria kuwapa mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

Le Mutuz Nation

Kwa uliyoandika na usomi wako naona umejichanganya sana kama vyakula vya kuku, umeleta udini, ukanda na roho mbaya ya wivu wa kike, unayaongea ni marudio hivi huna kipya wewe na team matusi? ushahindi wa Gwajima na mbasha waachie wenyewe wamalizane mahakamani, wewe ulivyonyanganywa mke USA mbona hakuna aliyekulilia? Ulivyotambaa na tuzo ya diamond mbona watu hawakukusema? mzee wako alivyojibadilisha dini kuwa jumanne, sijui j4 kwa vijipesa vya uarabuni mbona watu walikaa kimya, rushwa ya magari ya kijapani landcruise mkonga watu walinyamaza tu, kujengewa kijumba watu wamenyamaza tu, kaa utulie kijana uone nchi inavyokabidhiwa kwa LOWASA
 
mkuu mchungaji gwajima aliposema anataka ukombozi wa nchi hii ndio.maana alimpeleka lowasa pae chadema plus aliposema ile misikiti itakuwa sunday school..... daah sisi waislam tumepata mashaka makubwa sana na yeye(gwajima) na huyo anayemtafutia urais.... hakika tutamuunga DR JOHN POMBE MAGUFULI....
 
Gwajima na Lowassa ni marudio tu ya Mrema na Kakobe....

Nchi hii askofu na mchungaji yeyote anaweza kumpigia mtu kampeni waziwazi

ngoja siku BAKWATA wataje mgombea wao waziwazi uone watakavyo shambuliwa.....

Aisee umeongea ukweli mchungu sana ukiwa mchambuzi wa kina na uwe tayari kukubali ukweli
 
Kwa uliyoandika na usomi wako naona umejichanganya sana kama vyakula vya kuku, umeleta udini, ukanda na roho mbaya ya wivu wa kike, unayaongea ni marudio hivi huna kipya wewe na team matusi? ushahindi wa Gwajima na mbasha waachie wenyewe wamalizane mahakamani, wewe ulivyonyanganywa mke USA mbona hakuna aliyekulilia? Ulivyotambaa na tuzo ya diamond mbona watu hawakukusema? mzee wako alivyojibadilisha dini kuwa jumanne, sijui j4 kwa vijipesa vya uarabuni mbona watu walikaa kimya, rushwa ya magari ya kijapani landcruise mkonga watu walinyamaza tu, kujengewa kijumba watu wamenyamaza tu, kaa utulie kijana uone nchi inavyokabidhiwa kwa LOWASA

- hahahahaha eti umesema mimi ndio niliyowaomba Waumini Kainisani Nzega wanipigie kura kwa sababu Mlutheri? hahahahahahah sio mimi mkuu ni Mgombea wako Lowassa au nilete Video uone kama hukuona? Unataka tuwachague Lowassa na Gwajima waende Ikulu kufufua Balali na Amina Chifupa? hahahahahah UKAWA jamani mnavunja mbavu sana!!

le Mutuz
 
Huyu mwenye post hii ni mchokozi. Alishindwa Jumanne leo eti hatima ya nchi yao. Hatma ya nchi yenu haipo kwa sababu hamna uhalali tena. Mtapata uhalali kama kura zitatosha au kutoshelezwa
 
- MTAPATA kura za kutawala kwa kwenda Namanga? hahahahahahaha hauko serious au unaamiini tutapeleka wafufua Misukule Ikulu? hahahahahaha acha bana!!

le Mutuz
 
MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi.

Viongozi ni binadamu na wanastahili kuwa na utashi wa kisiasa, lakini hili la mmiliki wa Kanisa kusimama kiongozi wake kwa swahiba wake Edward Ngoyai Lowassa, ndiko ambako awali watathamini wa siasa nchini walisema, tatizo si Lowassa peke yake na genge lililowazunguka nalo kama likiingia IKULU ni tatizo ambalo heri mara 100 ya CCM ya sasa.

Lowassa ambaye CHADEMA badala ya kumfanyia kampeni kwa wakati huu wanamhangaikia kumsafisha, huku wanaomzunguka nao wakiwa wachafu mikononi, usoni na mioyoni mwao. Wana sifa nyingi zenye mushkeli kwa afya ya mustakabali wa amani,upendo na pasipo na chuki wala IKULU kuvamiwa na genge la walanguzi walio midomo wazi wakiisubiria kama Mafisi.

Gwajima swahiba wa Lowassa aliwahi kuutangazia umma wa Watanzania kuwa anataka kumfufua kada na mbunge wa viti maalum CCM, marehemu Amina Chifupa aliyekuwa mke wa marehemu Meddy Mpakanjia ‘CK’.
Gwajima mwenye kushabihiana mambo mengi na mgombea wa CHADEMA Lowassa kikauli na mitazamo, pia alipata kutoa kauli nyingine ngumu ambazo nazo hadi sasa hazijatekelezwa ikiwemo ya kutaka kumfufua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine.

Kushabihiana kwao, kiahadi zao na aina ya matendo ya kusema maneno magumu kwa mgombea wa CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa ambaye nae naye amewaahidi Watanzania kuwaletea aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, marehemu Daud Balali.

Ufufuo wa Lowassa unatofauti gani na ndoto za mchana za Gwajima ambaye alipata kufikishwa mahakamani kwa tabia na kauli zake kuwa atafufua misukule? maana yake ni kutaka kupata wafuasi wengi kanisani kwake ambao kimsingi wana matarajio tofauti na mmiliki wao.
Lowassa maana yake anataka kumsuta mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Nevil Meena gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Bwana Meena ni katibu wa jukwaa la wahariri ni mtu makini sana, mwenye kuiheshimu taaluma yake, sijui atapotoka vipi leo akituaminisha kuwa habari alizotuhuthibitishia Watanzania kuwa Balali alikufa, si kweli yu hai.

Akiwa mhariri wa Mwananchi Jumapili wakati huo, Meena alikwenda kuihoji familia ya Balali nchini Marekani na kupiga picha ya kaburi la marehemu Balali. Katika habari ile aliwahoji mke, dada na watu wa karibu kabisa wa familia hiyo, waliothibitisha kifo cha ndugu yao na kuwa alizikiwa nchini Marekani, inawezekanaje leo aseme habari ile ni uongo, ukweli ni anaosema Lowassa.

Tuache siasa, tusitake kwenda IKULU kwa uongo wa kupata wafuasi. Mbali ya gazeti la Mwananchi, pia gazeti la Mtanzania liliandika habari hiyo ikiwemo na uthibitisho wa familia iliyopo kijijini kwao na waliopo nchini Marekani. Meena alikwenda Marekani ambako ni zaidi ya masaa 15 kutoka Tanzania kwa usafiri wa Ndege kwenda kusaka ukweli na kuondoa minong’ono iliyokuwa imetanda kuwa Balali yu hai.

Si haki hata chembe kuitumia familia ya marehemu Balali kuingilia IKULU, walipata msiba mzito sana, waliumia sana, lakini kwa kuwa ni kazi ya Mungu, walishukuru na kumuombea astarehe kwa amani, leo hii mnawatangazia ataletwa Tanzania, nini maana yake? Akitokea wapi? Lowassa nawe ni mzee wa ufufuo?

Gwajima si mtu safi, hata kidogo ukimsikiliza Dk. Willbroad Slaa katika hotuba zake zote, hata siku moja hakupata kuzungumzia mahusiano ya kifamilia, si kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu wala kwa Gwajima mwenyewe ambaye hajajisafisha hadharani madai ya kuzaa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Frola Mbasha, ambaye ni mke wa mtu.

Leo hii waliokuwa wakimtetea Gwajima kwa sakata lile la kumpora Emmanuel Mbasha mkewe, hata kama wanampenda vipi mchungaji huyu, ni wazi usafi wake umeingia matundu kiasi si rahisi waamini vinginevyo kutokana na maneno yake na matendo yake ya sasa.

Lowassa amewaahidi Watanzania kuwa atamtoa Nguza Viking na Pappii Kocha, je katika utafiti wake kuwa vifungo vyao vinatia shaka amewauliza walimu wa shule ya msingi Mapambano pale Sinza? Amewauliza majirani wa Sinza kijiweni? Atapata aibu maana wazazi walioathirika na jambo lile, mioyo yao itapata kutu kumsikiliza binadam huyu asiye na huruma kwa malaika wale waliodhalilishwa.
Jaji Thomas Mihayo aliyekazia hukumu ya maisha kwa Babu Seya ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Baraza la Habari Nchini, ni mtu mwenye kuaminika sana katika jamii, ana heshma kubwa sana jaji huyu mstaafu leo hii ukimwambia hukumu yake aliitoa kwa maelekezo sidhani kama Jaji yeyote nchini anayemjua na walimsifia sana wakati akistaafu kwa hukumu ile, majaji wa Tanzania watakuelewa?

Ni kujenga chuki ndani ya jamii yetu ni kuondoa dhana ya utawala bora. Gwajima mshenga wa Lowassa kuingia CHADEMA, ni maswahiba wa kauli zao ngumu, ahadi zao zenye kukinzana na Mwenyezi Mungu, wanaweza mshambulia mtu yeyote ilimradi waende IKULU, aah mzee wa maharage ya wapi! mjinga mmoja, asiyefaa mmoja !.

Hakukosea kuwa mshenga wa mzee wa maamuzi magumu mwenye uwezo pia wa kufufua watu ambaye pia mwenye kutaka ushindi wake utokane na waumini wa dhehebu lake, loh kama mwalimu angekuwepo leo angetoka hadharani na sijui angetamka nini dhidi ya Watanzania hawa wawili.

Hatahivyo, Hongereni kwa urafiki wenu. Watanzania tuwe makini sana tunaofikiria kuwapa mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

Le Mutuz Nation

Mwache adeke Mzee
Huwa Ana ka msemo kake kazur sana "nahisi kudeka" na sisi tunamwambia deka baba,we kama huna cha kusema tulia kuliko ujinga wa udini unaouanzisha hapa...Mwl alisema Mtu yeyote anayeleta habar ya udini na ukabila ni wa kukwepa kama ukoma.le mbulula Z akl ndogo mwili mkubwa
 
Lemutuzi nimekumicccc haha kwa Mara ya kwanza nakupa like zangu nyingi umeniblock kuleeee nimekumicccccc
 
Back
Top Bottom