Hawa waumini sijui huwa wanatoka wapiMasanjq Mchungaji huwa nacheka sana kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Dunia uwanja wa fujo.
Hii huwa ni itikadi ya mtu binafsi; hata wewe ukianzisha kanisa na ukaja na sera za hapa na pale (zisizo na miguu wala kichwa), utapata waumini, tena wa kutosha.Hawa waumini sijui huwa wanatoka wapi
Ni kweli . Wahubiri wamesahau kuwa Mwanaume ndiye Mfano Wa Mungu hapa Duniani. Ndio MAANA ya kuwa baba na Mlezi .Na mahubiri yake ya kukandia wanaume na kusifia wanawake siku zote[emoji2827]
Wanawake wengi hasa walioko kwenye makanisa hayo hawajui Mila za wanadamu Wala historia ya masuala ya kidini zaidi ya kuvaa nguo fupi na mabega wazi na kucheza miziki Kanisani. Hawajui kuwa shatani anatawala Mwili zaidi KULIKO roho.Ni kweli . Wahubiri wamesahau kuwa Mwanaume ndiye Mfano Wa Mungu hapa Duniani. Ndio MAANA ya kuwa baba na Mlezi .
Wanaume Kwa maelfu ni waadilifu sana Lakini hawayumbishwi na mihamko ya kimitandao. Wanawake wengi ni Wazinzi waliozaa Nje ya ndo hivyo kujikuta wakiwa waongo Maisha Yao Yote.
Mwanamke aliyezaa Nje ya ndoa mara zote Inabidi awe Mwongo na kumdanganya mumewe kuwa MTOTO ni Wa kwake na kamwe hawezi kutubu na kusema ukweli kuwa huyu MTOTO Mmoja au Wawili SIO Wa kwako . Nilikosea kutoka Nje na kuzaa. Hiyo dhambi inabaki Moyoni mwake maisha yake Yote.
Pili wanawake wengi wamewadanganya Watoto wao na kuwakosesha Haki Yao ya kuwajua baba zao halisi kibiologia na kuwaacha Watoto wakiwiishi na baba bandia Maisha Yao Yote. Kuna wanawake waliozaa mpaka na baba zao ,wajomba zao na kaka zao Tena wakiwa Ndani ya ndoa. Hao ndio wanaposikia Makanisa ya kuwachamba wanaume wanakimbilia huko Ili kujipa uhalali Wa dhambi na dhamira zao zisizoisha kuwahukumu kwenye mioyo Yao.
Vitabu vya Dini vyote vimesimama kidete kipinga uzinzi na Wazinzi hasa wanawake wamewekewa Sheria Kali sana kwenye suala la zinaa Kwa Sababu Mungu aliona Athari kubwa ya zinaa Kwa mwanamke. Wayahudi mwanamke mzinifu alipigwa Kwa mawe na kuawa lengo lilikua kiwaepusha na tamaa ya kutoka Nje na kwende kuzaa na mataifa mengine yaliyokuwa yamejaa vinasaba vya kishetani na kichawi Kwa wakati Huo ambapo walizaa Watoto mashoga, wachawi na wasiompenda Mungu kama KAINI. Wanawake Wakati Huo walivutiwa na starehe na anasa za watu Wa mataifa mengine ndio MAANA MKE Wa Lutu aligeuka nyuma Ili arudi kwenye starehe za Sodoma na Gomora Yaani Mbele na nyuma.
Mungu aliwakataza wasigeuke nyuma Kwa MAANA kuwa wasijaribu Kutia Nia ya kurudi Kwenye Nchi hiyo iliyokuwa imejaa anasa za Kila aina.
Mwanamke alishindwa kutii. Akageuka Nyuma Ili arudi kwenye starehe.
Ni wazi kuwa palikua na mabishiano makubwa na ugomvi njiani kati ya Lutu na MKE wake. Mkewe akidhani kuwa Amri ya Mungu ya kutoka Sodoma na kwenda Nchi nyingine wasio ijua kwenda kuanza Maisha upya haikuwa Sawa. Aliona ananyimwa Haki ya kuishi anapotaka. Aliona mumewe Ana mambo ya kishamba na anaitia familia kwenye umaskini. Huenda WALIKUA wameshajenga na kumiliki NYUMBA Yao Halafu Mume anakuja anasema Mungu ametumuru tutoke hapa twende Tukaishi sehemu nyingine tuanze Maisha upya.
Ukaidi Wa mwanamke kwenye ndoa ni Hatari mno na Kila ulipotokea palitokea mabadiliko makubwa yaliyoiathiri jamii nzima kama Mume ataridhia kufuatana na uasi Wa mwanamke.
Hebu fikiria kama Lutu Naye angeamua kukaidi Amri ya Mungu na kusema ngoja nirudi kumfuata MKE wangu mana huenda MKE wangu amepata maono makubwa zaidi ya kurudi kwenda kuwahuburi Watu Wa Sodoma na Gomora.
Lutu alikua imara na anaamua kuendelea Mbele bila kugeuka nyuma kumfuata mkewe
Kwenye Biblia Kuna visa vingi ambavyo Wanawake wameleta matatizo makubwa kwenye jamii nzima kutokana na tamaa zao. Yusuf angejaribu kuzini na MKE Wa Mfalme leo Hii tusingeongea habari za uadilifu wake. Mpaka alikubali kufungwa Gerezani lakini hakutaka kutembea na MKE Wa Mfalme.
Lakini pia Kuna kisa Cha Mfalme Daudi na MKE Wa Uria Askari wake mkuu kabisa Aliyekua vitani. MKE Wa Uría alikubali kutembea na Mfalme wakati mumewe alipokua vitani .
Alipopata ujauzito wakatengeneza njama ya kumbambikia Mumewe Ile mimba Ili Kitanda kisizae HARAMU lakini Mungu akataka kuweka wazi ule uovu wao. Mfalme alimwita Uría arudi Nyumbani Kwa dharura. Uría akarudi akamwambia aende akapumzike Nyumbani kwake na Mkewe. Cha ajabu MTU Aliyekua vitani Siku nyingi lakini aligoma kwenda nyumbani kulala. Akasema siwezi kwenda kupumzika Nyumbani Wakati Nchi yangu IPO vitani na askari wenzangu nimewaacha wanaendelea kupambana.
Alijisikia Fahari kupigania Nchi yake na vizazi vyao zaidi KULIKO kwenda kulala na mkewe. Huyu ni mwanamke shujaa sana asiyetajwa na watu Wa Dini. Mwanaume mtiifu Kwa Mungu na Kwa Taifa na jamii nzima .
Njama ya Daudi na mchepuko wake iliposhindikana basi walipanga njama ya kumuua Mumewe.
Hivyo Mfalme Daudi alitoa Amri Uría awekwe kwenye kikosi Cha Mbele vitani. Hiko aliuawa na kuiacha familia yake.
Huo uovu Wa mwanamke kwenye ndoa Wahubiri wengi hawataji zaidi ya kumlaumu wanaume bila Huku wakiwasifia wanawake wakati hakuna Hata Mfano Mmoja Wa mwanamke aliyeweza kuishinda dhambi ya Zinaa Nje ya Sheria Kali ya Kukaa mbali na wanaume na kujisitiri.
Wanawake wengi hasa walioko kwenye makanisa hayo hawajui Mila za wanadamu Wala historia ya masuala ya kidini zaidi ya kuvaa nguo fupi na mabega wazi na kucheza miziki Kanisani. Hawajui kuwa shatani anatawala Mwili zaidi KULIKO roho.
Wengi hawasomi Biblia zaidi ya kusema "Mchungaji Kasema" .
Wanawake wengi wamepotoshwa zaidi kutokana na kufuata zaidi Mila za Kizungu KULIKO Neno la Mungu.
Kwa waislamu kumdanganya MTOTO baba yake ni dhambi.
Kihalali MASANJA anapaswa kumlea mjane Wa Katibu.Shemela sasa amzalie Mtumishi watoto wake,si kasamehewa!
Amesema TUHUMAMbona hii ishu umeikomalia sana? mara damu ya mtu inanuka, mara ameua kama una ushahidi si upeleke polisi ili akamatwe? Au umeshiriki kwa kiasi gani mpaka uanze kuongea kama una uhakika kwamba hakujinyonga bali ameuliwa?
Mambo mabaya na mazuri ya Watu Wa Mungu Wa Kweli , Jehova Elohim aliyesema kwa Moto na Kwa radi yaliandikwa na kusimuliwa Kwa vizazi vyote , sembuse Hawa watumishi Wa Mshahara wanaosaka Maisha na ufahari Wa Dunia.!!Mshana unautumia vibaya umaarufu wako hapa jf kuliendeleza hili jambo ila utakuja kuvuna matokeo yake.
Hapa jukwaani huwa wanakuona wewe mtaalamu wa mambo ya rohoni ila mimi huwa nakuona mweupe sana
Hivi unapata wapi ujasiri wa kutuhumu watumishi wa Mungu hadharani namna hii?
Anyway, utakuja kuvuna unachopanda.
Kuna hoja ngumu sana hapa.Tunamalizia wiki iliyokuwa na drama nyingi kuhusiana na mwajiriwa wa Msanii Masanja mkandamizaji kwa cheo cha katibu kwenye shughuli zake za usanii na kanisa aliyepoteza uhai kwa kinachosemwa kajinyonga
Asilimia 99 ya mijadala ilitawaliwa kwenye kujadili yafuatayo
.Kifo tata cha katibu
.Mahusiano ya katibu na mke wa boss wake
.Reaction ya Masanja baada ya hayo matukio
.Na mwishowe watoto wa Masanja na mkewe
Athari kwenye shughuli zake za kisanii ni kama hazikugusiwa kabisa
Athari kwenye makampuni aliyoingia nayo mikataba ya kufanya matangazo ya kibiashara pia hayakujadiliwa kabisa
Athari kwenye kituo chake cha kiimani/kanisa pia zimejadiliwa kwa uchache
Kwenye mijadala husika na wachache walijaribu kugusia athari binafsi na za kifamilia
Kwenye mada hii tutaangazia athari za kanisa la Feel free church na hatima yake
Ukiachana na Makanisa yaliyojengwa kitaasisi na mifumo kamili ya utendaji kazi, makanisa mengi hasa yaliyoibuka karne hii yenye kumilikiwa na watu binafsi, yalipotea, kufa, kupoteza mvuto, kuzorota ama kufifia kutokana na wamiliki wake kupata dhoruba mbalimbali za kimaisha
Makanisa ya Marehemu mama Rwakatare, Nabii Elijah, Mzee wa upako, Mfalme Zumaridi ni mifano michache ya hicho nilichokiandika hapo juu kwa hapa nchini.. Kwakuwa wao ndio roho ya kanisa, basi kilichowapa wao kililipata kanisa pia
Kanisa la msanii Masanja mkandamizaji, lililoanza kama utani, ni kanisa changa lililokumbwa na upepo wa dhoruba kutokana na mmiliki wake kukumbana na changamoto za kimaisha. Achana na uchanga wake yeye ndio alikuwa mkuu wa hilo kanisa na shughuli zote nyeti na muhimu zilikuwa chini yake kama makanisa mengine ya namna hiyo yalivyo
Yaani ustawi wa kanisa, kukua na kushamiri kwake vyote vilikuwa mikononi mwa mwanzilishi wake.. Maombi, mahubiri, maono, na shughuli zote za kiroho vilikuwa mateka chini ya roho moja!
Msiba wa katibu wa Masanja ulikuwa msiba wa kanisa! Kama kulikuwa na katibu ina maana basi kulikuwa na viongozi wengine wa kukaimu na kukasimu madaraka pindi wakubwa wakiwa hawapo! Kanisa la jisikie huru lilipaswa kuonekana popote kivyovyote kwenye jambo kubwa kama hilo la msiba bila kujali yatokanayo!
Kwa kutofanya hivyo kanisa limejitia doa kubwa na baya mbele ya jamii na watu wachache waliokuwa na imani nalo! Kwa kuzidi kuharibu mmiliki akashindwa kutofautisha mambo binafsi ya kifamilia na ya kanisa lake! Akaenda huko mbele ya waumini wake na kuanza kuwapa vichambo vya uhakika wote walioshiriki mijadala mitandaoni kuhusiana na sakata zima!
Taswira nzima ya kanisa ilipigwa upofu pale! Na inawezekana lile likawa ndio kusanyiko la mwisho ama la lenye waumini wengi! Jumapili hii ndio itatoa majibu na hata kama wakiwepo wengi ni kwa ajili ya kwenda kushuhudia umbea
Kashfa na tuhuma zilizomkuta Masanja zinaathiri moja kwa moja shughuli zake zote za kisanii lakini kubwa na baya zaidi kanisa lake
Kashfa na tuhuma hizi ni tofauti na zile zilizowahi kuwapata wamiliki wa yale makanisa mengine kama kina
Zumaridi kupigana maofisa wa serikali
Mzee wa upako na ulevi
Gwajima na uzinzi
Geodavie na uchawi nknk
Hili la Masanja ni tuhuma za mauaji na mazingira tata ya kifo husika na ishu za kifamilia..! Imekaa vibaya mno!
Kwa jicho la kiimani na kiroho tunaweza kusema ni changamoto na jaribu la kiimani..! Lakini kwa tafakuri nyepesi kabisa ni huduma ipi kubwa ya kiroho aliyowahi kuifanya kiasi cha kumtikisha shetani hata aamue kulipa kisasi!?
Hatima ya kanisa la jisikie huru limo mikononi mwa suluhu ya kiroho kama Masanja mkandamizaji na familia yake hawana vinasaba na damu ya mtendaji wake katibu wake! Damu ya mtu hunuka., na harufu yake hutiwa chaji na roho iliyomo ndani yake... Roho ni kitu kisichokufa hivyo huibeba damu yake kutengeneza mizania ya haki..[emoji2827]
Mfalme na Nabii Daudi alichepuka na MKE Wa Uría . Watu wakaogopa kusema na kumwambia Daudi kuwa umekosea kutembea na MKE Wa Askari wako .Mungu akaingilia kati na kuliweka wazi Kwa kumtumia na Nabii Ili amwambie wazi Daudi kuwa alichofanya ni dhambi mbele za Mungu.Hii nayo ni mada mpya au inauhusiano na post au tukio. Masanja kuwa humble au dharau hakuna uhusiano na tukio ,kwa wengine tusio fahamu chochote tunaona mnalenga kumchafua tu
[emoji1545][emoji1752] Msanii wengi wetu huwa hatusomi kwa tafakuri ama huwa tunasoma heading tuu na kuanza kujibu based on nani kapost, yani mtu tayari anakuwa tayari ana majibu yake[emoji2827]Kuna hoja ngumu sana hapa.
Msomaji anapaswa kuwa makini sana kabla hajachangia maana nimeshaanza kuona aatu wanakurupuka huko juu kutoa majibu ya maswali yasiyokuwemo kwenye muktadha wa mtoa hoja
Tujifunze hapa kuwa, neno Tuhuma zinaweza kuwa kweli ama si kweli lakini madhara ya tuhuma hupelekea saikolojia A wengi kuaminishwa kile kisemwacho hata kama hakina uthibitisho dhahiri. Ufundi na utaalam wa kujenga hoja unaweza kumtia mtu hatiani na kumfanya aonekane hovyo kwenye jamii.
Laiti Masanja angelikuwa ana washauri wazuri asingesababisha haya kufikiwa. Anajipa jukumu la kujibu kila hoja, kila swali na anatoa kichambo juu. Niliona hajatendewa haki lakini kinachoendelea ni yeye kutojitendea haki.
Mifumo ya utawala ndani ya makanisa mengi ni kizungumkuti, waumini wanategemea mtu badala ya Mungu. Hata Yesu ambaye ni Mungu alipeleka maombi yake kwa Mungu Baba.... sisi ni nani basi wa kuamuliwa hatima zetu kiimani na mtu?
Mshana Jr. Una hoja lakini inapaswa akili itumike kuielewa hii hoja