Ni nini hatima ya kanisa la Feel free?

Ni nini hatima ya kanisa la Feel free?

Hii dunia ina Mambo mengi Sana tena Mambo mseto

Mimi nahamini masanja anatakiwa asimame imara kwa kipindi hiki na asiyumbishwe na dhoruba bahari itatulia na mambo yatakua shwari
 
Tunamalizia wiki iliyokuwa na drama nyingi kuhusiana na mwajiriwa wa Msanii Masanja mkandamizaji kwa cheo cha katibu kwenye shughuli zake usanii na kanisa aliyepoteza uhai kwa kinachosemwa kajinyonga

Asilimia 99 ya mijadala ilitawaliwa kwenye kujadili yafuatayo
.Kifo tata cha katibu
.Mahusiano ya katibu na mke wa boss wake
.Reaction ya Masanja baa da ya hayo matukio
.Ma mwishowe watoto wa Masanja na mkewe

Athari kwenye shughuli zake za kisanii ni kama hazikugusiwa kabisa
Athari kwenye makampuni akiyoingia nayo kufanya matangazo ya kibiashara pia hayakujadiliwa kabisa
Athari kwenye kituo chake cha kiimani/kanisa pia zimejadiliwa kwa uchache
Kwenye mijadala husika wachache walijaribu kugusia athari binafsi na za kifamilia

Kwenye mada hii tutaangazia athari za kanisa la Feel free church na hat I ma yake
Ukiachana na Makanisa yaliyojengwa kitaasisi na mifumo kamili ya utendaji kazi, makanisa mengi hasa yaliyoibuka karne hii yenye kumilikiwa na watu binafsi, yalipotea, kufa, kupoteza mvuto, kuzorota ama kufifia kutokana na wamiliki wake kupata dhoruba mbalimbali za kimaisha

Makanisa ya Marehemu mama Rwakatare, Nabii Elijah, Mzee wa upako, Mfalme Zumaridi ni mifano michache ya hicho nilichokiandika hapo juu kwa hapa nchini.. Kwakuwa wao ndio roho ya kanisa, basi kilichowapa wao kililipata kanisa pia

Kanisa la msanii Masanja mkandamizaji, lililoanza kama utani, ni kanisa changa lililokumbwa na upepo wa dhoruba kutokana na mmiliki wake kukumbana na changamoto za kimaisha. Achana na uchanga wake yeye ndio alikuwa mkuu wa hilo kanisa na shughuli zote nyeti na muhimu zilikuwa chini yake kama makanisa mengine ya namna hiyo yalivyo
Yaani ustawi wa kanisa, kukua na kushamiri kwake vyote vilikuwa mikononi mwa mwanzilishi wake.. Maombi, mahubiri, maono, na shughuli zote za kiroho vilikuwa mateka chini ya roho moja!

Msiba wa katibu wa Masanja ulikuwa msiba wa kanisa! Kama kulikuwa na katibu ina maana basi kulikuwa na viongozi wengine wa kukaimu na kukasimu madaraka pindi wakubwa wakiwa hawapo! Kanisa la jisikie huru lilipaswa kuonekana popote kivyovyote kwenye jambo kubwa kama hilo la msiba bila kujali yatokanayo!

Kwa kutofanya hivyo kanisa limejitia doa kubwa na baya mbele ya jamii na watu wachache waliokuwa na imani nalo! Kwa kuzidi kuharibu mmiliki akashindwa kutofautisha mambo binafsi ya kifamilia na ya kanisa lake! Akaenda huko mbele ya waumini wake na kuanza kuwapa vichambo vya uhakika wote walioshiriki mijadala mitandaoni kuhusiana na sakata zima!

Taswira nzima ya kanisa ilipigwa upofu pale! Na inawezekana lile likawa ndio kusanyiko la mwisho ama la lenye waumini wengi! Jumapili hii ndio itatoa majibu na hata kama wakiwepo wengi ni kwa ajili ya kwenda kushuhudia umbea

Kashfa na tuhuma zilizomkuta Masanja zinaathiri moja kwa moja shughuli zake zote za kisanii lakini kubwa na baya zaidi kanisa lake
Kashfa na tuhuma hizi ni tofauti na zile zilizowahi kuwapata wamiliki wa yale makanisa mengine kama kina
Zumaridi kupigana maofisa wa serikali
Mzee wa upako na ulevi
Gwajima na uzinzi
Geodavie na uchawi nknk
Hili la Masanja ni tuhuma za mauaji na mazingira tata ya kifo husika na ishu za kifamilia..! Imekaa vibaya mno!

Kwa jicho la kiimani na kiroho tunaweza kusema ni changamoto na jaribu la kiimani..! Lakini kwa tafakuri nyepesi kabisa ni huduma ipi kubwa ya kiroho aliyowahi kuifanya kiasi cha kumtikisha shetani hata aamue kulipa kisasi!?

Hatima ya kanisa la jisikie huru limo mikononi mwa suluhu ya kiroho kama Masanja mkandamizaji na familia yake hawana vinasaba na damu ya mtendaji wake katibu wake! Damu ya mtu hunuka., na harufu yake hutiwa chaji na roho iliyomo ndani yake... Roho ni kitu kisichokufa hivyo huibeba damu yake kutengeneza mizamia ya haki..
Sasa hilo kanisa si free style? Kwahiyo kama free style, unategemea nini?
 
Shida ni kwamba mlitegemea yeye na mke wake waachane, ilivyokuwa tofauti ndiyo mnatapatapa hapa.
Ila kama kungeleta sitofahamu kwenye familia yao wala haya yasingekuwepo

sikiliza Mkuu, we bado mchanga kwenye baadhi ya vitu kwepa aibu ndugu...unajiaibisha wewe,wazazi na familiya yako.

kwa kifupi inaonekana bado hujajua kwanini sehemu kubwa ya watu wanamfakamia Masanja...inshort jamaa anadharau za kichoko changanya na unabii wa kimchongo ndo unamuangusha kabisa

Majigambo yakipumbavu anayojitahidi kuyaonyesha mbele za watu na kuwaona wengine wanaohangaika na maisha na bado hawajafanikiwa kama ni wazembe

Ni much know mmoja hivi ambaye bado hajajijua kuwa ni limbukeni na mshamba wa maisha

Karma is a bitch...!!

hizi ni baadhi ya sehemu mbalimbali tulizowahi fanya aidha majadiliano,story ama shughuli kadhaa wa kadha na picha nyingine ni ziada tukifanya kazi na wengi wa watu wengine very humbe eg. Joti, hivyo Masanja namjua vyema

12207724_1341770345910529_480658620_n.jpg

12204804_1341770469243850_332182451_n.jpg
12194847_1341780959242801_6932208137913593417_o.jpg
 
sikiliza Mkuu, we bado mchanga kwenye baadhi ya vitu kwepa aibu ndugu...unajiaibisha wewe,wazazi na familiya yako.

kwa kifupi inaonekana bado hujajua kwanini sehemu kubwa ya watu wanamfakamia Masanja...inshort jamaa anadharau za kichoko changanya na unabii wa kimchongo ndo unamuangusha kabisa

Majigambo yakipumbavu anayojitahidi kuyaonyesha mbele za watu na kuwaona wengine wanaohangaika na maisha na bado hawajafanikiwa kama ni wazembe

Ni much know mmoja hivi ambaye bado hajajijua kuwa ni limbukeni na mshamba wa maisha

Karma is a bitch...!!

hizi ni baadhi ya sehemu mbalimbali tulizowahi fanya aidha majadiliano,story ama shughuli kadhaa wa kadha na picha nyingine ni ziada tukifanya kazi na wengi wa watu wengine very humbe eg. Joti, hivyo Masanja namjua vyema

View attachment 2387302
View attachment 2387303View attachment 2387304
Duh...
 
Mbona hii ishu umeikomalia sana? mara damu ya mtu inanuka, mara ameua kama una ushahidi si upeleke polisi ili akamatwe? Au umeshiriki kwa kiasi gani mpaka uanze kuongea kama una uhakika kwamba hakujinyonga bali ameuliwa?
Inayotafutwa ni huduma ya pastor Masanja na Feel Free. Mimi niseme kama Farisayo Gamalieli

Matendo ya Mitume 5:38-39
[38]Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa,

[39]lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu.
 
Nadhani mke wa masanja atafutiwe watu wa kumshauri asirudie upumbavu maana unamcost masanja kwenye kila angle. Masanja amekua muungwana sababu angeamua vinginevyo ndio angechafua zaidi kanisa na yeye mwenyewe hivyo kaamua kuibeba aibu yote na alijua inawezekana kabisa mkewe alikua analiwa na katibu
Duh kwa hiyo katibu kufa ndy imetoka hiyo

Ova
 
Hili ni jukwaa huru hmna mtu anayeandamwa watu wanatoa mitizamo yao kwa mambo yanayoendelea kwenye jamii kama ambavyo Masanja alivyokua akiwananga wanaume hawajui kupenda na kutunza mwanamke sasa yamemkuta yeye tusiwe wanyonge tumnyonge.
 
Back
Top Bottom