Katika mahusiano ya Mwanamke na Mwanaume ili yawe ya mafanikio makubwa ni nini hasa kinampasa Mwanaume afahamu na afanye?
Utafiti mdogo unaonyesha kuwa kuna vitu vya kimsingi ambavyo wanawake wanaangalia na kama hivyo vitakosekana basi mambo huenda yasiwe mazuri katika uhusiano wenu.Michango; maoni na criticism zinakaribishwa.
- Mwanamke anataka awe APPRECIATED: Najua wengi watashangaa kwa nini siyo LOVE kwanza. Ukweli ni kuwa Wanaume wengi wanaweza kumwambia mwanamke I LOVE YOU lakini hawam-APPRECIATE. Kuwa appreciated ni sehemu muhimu sana ya mahusiano ambayo mwanamke anahitaji.
- Mwanamke anahitaji "DEEP EMOTIONAL BOND WITH A MAN". Wanawake wanataka spouse wao waelewe feelings zao na wawe concerned nazo. Na pia wanapenda kujua Spouse wao wanaf hisia zipi na wanapenda kushare hizo feelings na emotions.
- Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atafeel kuwa yuko "FEMININE and SEXY". Anataka kuwa na uhakika kuwa yeye ni mwanamke bora aliyekuvutia kuliko wengine na kwa nini. So u must make it clear to her very regular. Vinginevyo anakuwa na wasiwasi. So usisangae unaulizwa mara kwa mara "hivi kwa nini unanipenda" they want an assurance.
- Mwanamke anataka mwanaume ambaye ni ROMANTIC. Romance ni ubunifu wa kimapenzi. Hili halielezeki, ni namna ya kuwa katika MAPENZI na FURAHA katika mahusiano. Wanawake wanataka wafanyiwe mambo mengi madogo madogo ambayo yataendelea kuwahakikishia kuwa kweli wanapendwa na wanafurahiwa.
- Wanawake wanataka Mwanaume ambaye yuko CONFIDENT au anayejiamini.
- Wanawake Wanapenda kuwa na uhakika kuwa wenzi wao ni WAAMINIFU.
- Mwanamke anataka Mwanaume mwenye MIPANGO inayoeleweka katika maisha na awe AMBITIOUS. Mwanaume ambaye ni MBUNIFU.
- Mwanamke anataka mwanaume Mkarimu na Mtoaji na si mkono wa birika. LOL.
- Mwanamke anataka Mwanaume ambaye hatakuwa Mwenzi wake tub ali pia RAFIKI yake.
- Mwanamke anapenda Kupendwa hata kama amekuboa. Anataka wakati wote atosheke Mentally; Emotionally and spiritually.
- Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atampatia SECURITY na PROTECTION. That he will be there when she needs him no matter what.
Mwanamke anakua amepewa "vyote" kwa vigezo vya nani?! Inawezekana mwanaume akatoa "vyote" anavyojua/weza yeye ila isiwe vyote anavyotaka/hitaji mwanamke!Very interesting . . . . kumbe Mwanaume anaweza akatoa vyote hivi lakini bado Mwanamke asitosheke? . . . . Amazing!
Mtaalamu uchwara!"women always want opposite of what they possess". THREAD CLOSED.
sredi ishafungwa wewe bado unachangia? khaaa!Mtaalamu uchwara!
sredi ishafungwa wewe bado unachangia? khaaa!
hivi kweli haukubaliani na konklushen yangu au uko kijinsia zaidi tu?, hii sredi ilikuwa tayari imepata heshima ya kuwa klosed na klorokwiniMpaka mtaalamu ambae ni mtaalamu kweli atoe konklusheni!
Sikubali kwasababu unajaribu kupotosha umma!Mbona mimi nataka nilicho nacho?hivi kweli haukubaliani na konklushen yangu au uko kijinsia zaidi tu?, hii sredi ilikuwa tayari imepata heshima ya kuwa klosed na klorokwini
hehehe kipi? ufafanuzi pleaseSikubali kwasababu unajaribu kupotosha umma!Mbona mimi nataka nilicho nacho?
Hehehe....ntakwambia ikiwa tu utabadilisha konklusheni yako!hehehe kipi? ufafanuzi please
unajua hiyo konklushen ilitolewa UN kikao cha zarura mwaka 2008, tena ilitolewa na mdada kabsa yaani. sasa wewe unapingana na UN? huyo gadaffi wenyewe anakubali UN rezolushen. eniwei nalog out. mida za kujilusha. DJ kishoka yupo kitaa leo acha tukasweat kidogo tu kill bakteria.Hehehe....ntakwambia ikiwa tu utabadilisha konklusheni yako!
Hata mimi mashaka yangu yapo hapo kwenye nyekundu Dada angu kama kilakitu kipo poa nini shida sasa?Oooops hii ni mitihani ya maisha ,hili zito nitakuja baadae na mchango wangu lakini kwa kifupi Kinguru hafugiki,Na je upande wa chumba cha mawasiliano 6 x 6 mme anajiweza ?
bado natafakari
Hapa kwenye red ai sapoti, unaweza kumpa kila kitu ila ukashindwa kumlidhisha kwenye 6 X 6 atatoka tu, nimeshawahi kumwona mwanamke aliye kataa kuishi na tajiri na akaenda kuolewa na maskini baada ya kumuuliza kwa nini kaamua kuolewa na maskini akajibu kuwa ameshawahi kulala na huyo tajiri zaidi ya sita lakini hakuwai kufanya nae mapenzi hata siku moja mpaka ilifika kipindi alimlazimisha tajiri alijibu amechoka. yule mwamke alisema kinachotengeza ndoa ni tendo ndoa la ukweli.Oooops hii ni mitihani ya maisha ,hili zito nitakuja baadae na mchango wangu lakini kwa kifupi Kinguru hafugiki,Na je upande wa chumba cha mawasiliano 6 x 6 mme anajiweza ?
bado natafakari
Alitakiwa yeye ndio anywe dawa ya babu ili atulize mzuka wa mkeweSuperman,hii mada imenigusa ni hatari,haya unayoyasema nimeyashuhudia mara nyingi.Superman achana na wanawake,vichwa vyao wanavijua wenyewe.Kuna jamaa namfahamu katoka Loliondo majuzi kumpeleka mkewe,mambo yenyewe haya haya ,mara amfumanie na dereva wa nyumbani fukuza dereva,mara amfumanie na kijana mfanyakazi kwenye biashara ya mzee fukuza kazi,mradi tu vituko haviishi.Ukiangalia nyumbani mama anatimiziwa kila kitu na majuzi kwenye routine check mama kaukwaa baba ndo akamchukua wamekimbilia kwa Babu Loliondo.Sijui nisemeje yaani hatuwezi kuishi bila wanawake na kuishi nao ni misukosuko,bifu,timbwili,mawenge,yaani taaaaaaaaaabu kweli kweli,Mungu tu anajua.