Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

Hii dhana ya muitiko kuwa mbuzi inatoka wapi? Wale wanaoitwa Mom wanakuwa ng'ombe? Tunatawaliwa mno na ubaguzi wa kijinsia hata pasipostahili.
Nimesha Pata majibu kutoka kwa waungwana. ..asante
 
Ameen Ila sasa labbayk wanapokua hijja mbona wanaitikia wote'labbayaka llahuuma labbayka'labbayka laashrika laka labbayka'....nadhani unanielewa na wanaitika wote wake kwa waume?!!!
hebu nisaidie

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Baraka Allahufik (god bless your honour)
Sasa ni hivi :~ Unapo enda kukabiliana na Mzazi/Mkuu/Kiongozi/mfalme,Mtawala huwepo kaheshima fulani... au Protokoli inayo nasibu tukio/zoezi hilo hivyo unajiaanda kutii maelezo!!

Allah Subhana wa taala (Muumba wetu sote) ametuita kuja kuHijji (kukaribia sehemu/pahala maalum) Nasi katika kuitikia wito huo na kutii amri hiyo... Ndiyo hunena/kusema neno hilo "LABEYKA Allahuma LABEK.. LABEYKA Laa Sharika Lak, inna Lhamda wa Neematak Laka wa L Mulk laa Sharika Lak ...
( yaani tunakuitikia kwako Mwz/Mungu wewe usiye na mshirika/partner katika ufalme wako, hakika Shukrani na neema ni zako na utawala ni wako bila msaidizi)

Nafikiri ni wazi na umeelewa karibu tena mkuu 24/7 tafadhwalu...
shiite
 
owkyy thank u kumbe hutumika kwa jinsi zote mbili?
 
"Naam"ni neno la kiarabu lenye tafsiri ya "ndiyo",kwenye kiswahili,inaonyesha enzi na enzi mtu(mwanume)alikuwa akitajwa tu jina basi husema "naam/ndiyo",pengine kuonyesha ni yeye kumpa uhakika mtu aliyetaja jina na labda watu walikuwa wanakaa wengi wengi(nahisi watumwa),ili kumuonyesha "bwana"kuwa hajakosea jina.
Pengine sisi tukachukua kama ni kiitikikio cha wito.
Hata kama misemo hiyo ina asili ya kitumwa, tunapaswa kuitumia kwa sababu tayari imo katika mtiririko wa lugha yetu ilimladi misemo hiyo haiwezi kuurudisha utumwa, kwa mfano:
Maneno yanayokaribia nusu (40%)yaliyoanzisha kiswahili yalitokana na lugha ya kiarabu (Historia ya Kiswahili - Wikipedia, kamusi elezo huru) lakini tunayatumia.
 
"Naam"ni neno la kiarabu lenye tafsiri ya "ndiyo",kwenye kiswahili,inaonyesha enzi na enzi mtu(mwanume)alikuwa akitajwa tu jina basi husema "naam/ndiyo",pengine kuonyesha ni yeye kumpa uhakika mtu aliyetaja jina na labda watu walikuwa wanakaa wengi wengi(nahisi watumwa),ili kumuonyesha "bwana"kuwa hajakosea jina.
Pengine sisi tukachukua kama ni kiitikikio cha wito.
Safi. Avatar yako imenikumbusha Al Marehemu Al Dingi la unyambisi mzee mzima Amrish Puri.
 
Mi naitika 'naam',labbayk nashukuru nimeelimishwa kua ni wanawake Ila nawasikia wanaume

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Tamko "Labayykka" kiasili ni muitikio wa waislamu pindi wanapofanya ibada ya hija.Yaani kuitikia wito wa Mola wetu.Wa ila katika jamii yetu kama limechukuliwa na kufanywa mutikio wa kawaida tena kwa jinsia yoyote.Hiyo ni faida ya ziada.

Nakusema kwamba tamko "Labbayykka" ni kwa wanawake hilo si sahihi.

Ila katika jamii yetu ya waswahili tamko "naam" limefanyiwa tamayizi kuwa ni kwa ajili ya muitikio wa jinsi ya kiume.Ila kwao wao waarabu ni muitikio kwa wrote,kadhalika kwa waswahili tamko "bee au abee",ni muitikio khasa kwa ajili ya mtoto ya jinsi ya kike,wala hakuna ubaya katika kutofautisha na kamwe huo si ubaguzi.Kutofautisha jambo na lingine ni nidhamu njema za tangu na tangu,kabla ya hapo Mola wetu anatofautisha kimoja na kingine ili tupambanukiwe na jambo fulani yaani kufahamu.Kwahiyo wasemao kuwa ni ubaguzi sio sahihi bali ni kutofautisha.Tena kunaleta heshima na kuweka kitu mahala pake.

Asili ya tamko bee na abee,sijui mwenye ufahamu juu ya matamko haya na atupe faida.
 
naweza kusema " labeeyka ina unyenyekevu zaidi.. kuliko Na'am....
kwa Muumba Labeeyka inakubalika zaidi !!
asanteni sana nimeelewa
Tamko "Labayykka" kiasili ni muitikio wa waislamu pindi wanapofanya ibada ya hija.Yaani kuitikia wito wa Mola wetu.Wa ila katika jamii yetu kama limechukuliwa na kufanywa mutikio wa kawaida tena kwa jinsia yoyote.Hiyo ni faida ya ziada.

Nakusema kwamba tamko "Labbayykka" ni kwa wanawake hilo si sahihi.

Ila katika jamii yetu ya waswahili tamko "naam" limefanyiwa tamayizi kuwa ni kwa ajili ya muitikio wa jinsi ya kiume.Ila kwao wao waarabu ni muitikio kwa wrote,kadhalika kwa waswahili tamko "bee au abee",ni muitikio khasa kwa ajili ya mtoto ya jinsi ya kike,wala hakuna ubaya katika kutofautisha na kamwe huo si ubaguzi.Kutofautisha jambo na lingine ni nidhamu njema za tangu na tangu,kabla ya hapo Mola wetu anatofautisha kimoja na kingine ili tupambanukiwe na jambo fulani yaani kufahamu.Kwahiyo wasemao kuwa ni ubaguzi sio sahihi bali ni kutofautisha.Tena kunaleta heshima na kuweka kitu mahala pake.

Asili ya tamko bee na abee,sijui mwenye ufahamu juu ya matamko haya na atupe faida.
 
Aitikeje kwa mfano kama hatatumia maneno hayo? Tuanzie hapo kwanza ili tujue namna unayoona inaweza kuwa mbadala.
 
Safi. Avatar yako imenikumbusha Al Marehemu Al Dingi la unyambisi mzee mzima Amrish Puri.
Mimi ni mwanawe,huoni tulivyofanana na hiki kiduku?unajua dingi alikuwa anaishi kihalifu tu,sijui kwanini,na mimi nimeamua kumcha mungu na kuwa rafiki wa jamii tu.
 
Hivi Kiarabu ni kiisilamu au kuna watu wana ajenda ya siri hapa.. udini hadi kwenye miitikio!?

Yaan "naam" na "abee" ndo watu wanaanzishia uzi ili isemekane ni za dini fulani...

Hivi uarabu ndo uislamu?
 
[quote uid=235883 name="LIKE Niku ADD" post=17474148]aisee kama ingekuwa vice versa sijui ingekuaje[/QUOTE]<br />Ingekuwa ishazoeleka wala usingeona ajabu.
Ingekuwa tabu kidogo
 
"Naam" ni neno lenye asili ya kiarabu likimaanisha mwitikio/kuitika wito/ndiyo
Bee" linaasili ya kilugha kibena/kihehe wanalitumia sana watu wa nyanda za juu kusini hasa Iringa,Njombe,Mbeya,Songea likimaanisha mwitikio/kuitika wito na kutoa heshima kwa aliye kuita na hutumiwa na watoto wa kike..vilevile hutumika "kushangaa"mfano khaa bee (anashangaa)
Ila kiswahili fasaha ni "abee" (kwa mtoto wa kike/mwanamke kama anaitika)na hutumika kwa
 
Hivi Kiarabu ni kiisilamu au kuna watu wana ajenda ya siri hapa.. udini hadi kwenye miitikio!?

Yaan "naam" na "abee" ndo watu wanaanzishia uzi ili isemekane ni za dini fulani...

Hivi uarabu ndo uislamu?
Uarabu siyo UISLAM,na kiarabu siyo kiislam,ila uislam ulishushwa kwa lugha ya kiarabu,na kiswahili hakina namna unayoweza kukataa kukinasibisha na kiarabu na si uarabu.
"Kiswahili ni lugha nasibu iliyoanzia pwani ya Afrika mashariki kwa kuchanganya matamshi na maneno ya kibantu pamoja na KIARABU,ambapo wenyeji wa pwani hiyo waliitwa"ASWAHILI"(wa),sawahili,"
MFANO TU,neno nasibu/nasaba,salamu(as'salaam),shukran,kheri,ahsante,ongeza na mengine.
 
Halafu inategemea mahali na mahali, kama huku kwetu kuitikia naam timeshazoea kwa jinsia zote mbili. Ni wachache sana kusikia wanaitika ebee, au bee.
Hio ya mtt wa kike kutakiwa aitikie beee anapoitwa naiskia zaidi upande wa mrima. Au kwa visiwani mara chache huiskia kwa watu wa shamba.
Lkn ingekuwa vizuri kama lingetumika neno lenyewe kama lilivyo 'labayk' badala ya hio beeee.
 
Uarabu siyo UISLAM,na kiarabu siyo kiislam,ila uislam ulishushwa kwa lugha ya kiarabu,na kiswahili hakina namna unayoweza kukataa kukinasibisha na kiarabu na si uarabu.
"Kiswahili ni lugha nasibu iliyoanzia pwani ya Afrika mashariki kwa kuchanganya matamshi na maneno ya kibantu pamoja na KIARABU,ambapo wenyeji wa pwani hiyo waliitwa"ASWAHILI"(wa),sawahili,"
MFANO TU,neno nasibu/nasaba,salamu(as'salaam),shukran,kheri,ahsante,ongeza na mengine.
Vema mkuu.. ila mtoa mada pamoja na swahaba wake Zamuluni wana lao jambo.. upotoshaji
 
Back
Top Bottom