Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

Hii maana (Na'am) sio (Naamu) nilugha yakiarabu, yaani ukisema (Na'am) yaani umekubali kile kinachosemwa,au wito. Lkn Beee hiyo nilugha za Pwani za Kizaramu na Kidengereko nk.
 
ISIS HORUS OSIRI .....EGYPT. ...HEBU GOOGLE ALAFU TUONGEE. ..À SANTE
....
aisee we kiboko..nimeona myth kwamba isis- mary, horusi- jesus, na osiri- god...nilidhani islamic state of iraq and syria...haya bi mariam karibu
 
aisee we kiboko..nimeona myth kwamba isis- mary, horusi- jesus, na osiri- god...nilidhani islamic state of iraq and syria...haya bi mariam karibu
Amen shiite
 
Back
Top Bottom