Alaa KUMBE hata heshima na ADABU na maadili mema na Uungwana na Ustaarabu !!
Lazima uunganishe na UTUMWA ????? Ndg mpendwa Hebu kuwa mkweli..... Hayo ya utumwa mulipandikiziwa wakati mlikuwa usingizini fofo? Hakuna kitu kilicho nasibu utuwma na ujio wa waarabu ambao wenyewe walikuwa na idadi ndogo ya watu kbs.., hadi hii leo hapa Duniani....Population yao ni least!! (iweje kanchi kama Oman hadi leo hawajafika idadi yao milioni moja na hawana mashamba au ujenzi wakujivunia kuwa walitumikisha watu.. kweli waweze zoezi la UTUMWA ???)
U have been feeded WRONG INFO !!!
Waarabu walileta maadili ya kidini,biashara na maisha ya AMANI kuweza kuunganisha makabila popote pale walipo funga nanga!! Kwa kuwa huko Arabuni hapakuwepo jinsia za kike kwa uwiano na wa kiume... ndo wakafika huku nakuwa WAJOMBA zetu na MASHEMEJI zetu....(kuoawan/kuingiliana) ndiyo hadi hii leo !!
Lugha ya kiswahili ilizaliwa baada ya Mwarabu kukaa chini na MBantu kujadiliana na kubadilishana matamshi na maridhiano ktk mawasiliano....!!
sasa :- Na'am ni Yes/ ndiyo kwa mwanme(M)
na Labeek ni Yes/ ndiyo kwa Mwanmke (f)
Sasa utumwa umetokea wapi....???? hebu aamka na uistawishe lugha ya TAIFA !!!
shiite
bhachu geniveros ISIS