Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

Ameen Ila sasa labbayk wanapokua hijja mbona wanaitikia wote'labbayaka llahuuma labbayka'labbayka laashrika laka labbayka'....nadhani unanielewa na wanaitika wote wake kwa waume?!!!
hebu nisaidie

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
1472995151306.jpg
Naam
 
Halafu inategemea mahali na mahali, kama huku kwetu kuitikia naam timeshazoea kwa jinsia zote mbili. Ni wachache sana kusikia wanaitika ebee, au bee.
Hio ya mtt wa kike kutakiwa aitikie beee anapoitwa naiskia zaidi upande wa mrima. Au kwa visiwani mara chache huiskia kwa watu wa shamba.
Lkn ingekuwa vizuri kama lingetumika neno lenyewe kama lilivyo 'labayk' badala ya hio beeee.
Angel:kwenu wapi
 
Hivi Kiarabu ni kiisilamu au kuna watu wana ajenda ya siri hapa.. udini hadi kwenye miitikio!?

Yaan "naam" na "abee" ndo watu wanaanzishia uzi ili isemekane ni za dini fulani...

Hivi uarabu ndo uislamu?
Vema mkuu.. ila mtoa mada pamoja na swahaba wake Zamuluni wana lao jambo.. upotoshaji

Mkuu, Tafadhwali usiniQuote vibaya au kuniwekea maneno yako mdomoni kwangu...hapo Uarabu utabaki na UZITO mkubwa bila kuterereka... Mie nimefafanua neno Labeyk/Labeeka only na wapi hutumika...!!

kwa vyovyote vile Heshima ipo palepele kwa Dini zote na imani za watu wote.
 
Uarabu sio UISLAMU mzee..!
 
Ndg.Mpendwa Mafwitanda kwa heshima na taadhima,
Mungu (muumba) aetuumba na akili na ameiweka juu ubongoni.. ili tuweze kutafakari na kujiuliza na kuchanganya with nature na natural visions....
Hoja yako ya watumwa majumbani ni dhaifu na poor estimations....haina mashiko kbs !!
"yaani mtu mweusi (mTZ) akiishi ndani ya nyumba na mtu mweupe/mwarabu basi ndiyo keshakuwa mtumwa" Very weak and sick mentalitiezzz !!

yaani hujaweka hata spea au dirisha la kusema hawa watu wana unasaba ,udugu,urafiki, ujamaa,ushemeji,ujomba,ukaribu.......

Yaani Waarbu wangapi au waSwahili wangapi wamechanganya damu humu nchini??
Tafadhali jiulize mkuu.....!!
karibu sana 24/7 ukupenda kujuzwa zaidi.
Kuhusu Mungu sikubaliani na wewe. Hakuna kitu kinaitwa Mungu kilimuumba mwanadamu. Usidanganywe na waliokuja kukutawala. Walikuletea dini wakaondoka na madini. Mpaka leo hii mnasujudia msivyoviona
 
Kuhusu Mungu sikubaliani na wewe. Hakuna kitu kinaitwa Mungu kilimuumba mwanadamu. Usidanganywe na waliokuja kukutawala. Walikuletea dini wakaondoka na madini. Mpaka leo hii mnasujudia msivyoviona
Mie nina Amini MwenyeEzzi Mungu "Allah" kwa imani yangu....

Na hakuna wakunidanganya na mie sithamini hayo Madina yako na RASILIMALI ZAKO AMBAYO yapo chini na yatabaki ardhini, hadi enzi hizo ilipo umbwa DUNIA na vilivyomo !! (wewe nenda ukachukuwe yote) kama uliyaumba/unda wewe !!

jee, wewe unajitawala au unatawaliwa ??????

Tunasujudu kwa radhaa na mahaba yetu na ndo maana Tuna ALAMA nyeusi tii juu ya kipaji cha uso !!! soma hii " Sima'auhum fii Ujuiihim minn athari al-SUJOUD "

heshima itabaki heshima na utiifu utabaki kwa Muumba...

nusuhela wee baki kuwa hela tu!!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !
naona watu wameshahama kwenye mada. Tuweke mihemuko pembeni. sina nia ya upotoshaji ila ni katika kutaka kujua baadhi ya tamaduni zetu kama watanzania, ni mtu akatoa lile alilowahi kusikia au kutafiti juu ya miitikio hii, kuanza kujadili habari za Mungu Yupo au Hayupo kuna thread ipo humu, tuitafute tukachangie kule
 
Back
Top Bottom