shiite
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 319
- 302
Nimeona familia nyingi za kitanzania, wazazi wakiwasisitizia watoto kuitika katika moja ya miitikio hapo juu. Utakuta mtoto wa kiume akisisitizwa kuitika " naamu" anapoitwa, na mtoto wa kike kokokotezwa kuitika " beee" Imefikia hata baadhi ya wazazi kutumia nguvu nyingi ili watoto wao waitike hivyo, kwamba ndio adamu, heshima, na utii.
Nimekuwa nikijiuliza sana nini asili ya miitikio hiyo? na je mtoto asipoitika namna hiyo anakuwa hana adamu na heshima? na miitikio hiyo kweli haina uhusiano fulani na kipindi cha ukoloni?
Nakaribisha wadau wanaiweza kunidadavulia jambo hili. Akhasante