Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,535
- 62,969
ha ha ha ha,inategemea na aina ya mtu uliye naye kuna wengine huwa ni vizibo tuKwahiyo sisi kula mazuri yenu ni hadi tujifanye wajinga ila ninyi kula mazuri yetu mle kirahisi tu? Halafu kuna wanawake wamejifanya wajinga ila badala ya kula hayo matunda mazuri wameishia kula matunda mabaya na kufanywa wajinga zaidi ya wao wenyewe walivyojifanya wajinga na hapo napo utasemaje?
ha ha ha ha wewe ni mtundu sanaKiungo tu ndoakibadiliki vingine inawezekana
Sawa nijibu na hilo swali la kwanzaha ha ha ha,inategemea na aina ya mtu uliye naye kuna wengine huwa ni vizibo tu
ha ha ha ha naelewa siajabu mambo huko chini yakawa si sawa[emoji124]🏽♀[emoji124]🏽♀[emoji124]🏽♀[emoji124]🏽♀akili za usiku hizi
Nikumbushe mkuu,kwa sababu nachati huku napiga pombe kaliSawa nijibu na hilo swali la kwanza
ha ha ha naelewa mkuu mi ni mtu mzima[emoji23][emoji23]
ha ha ha ha karibu,raha ni kujipa mwenyeweNdo sababu si bure
Imeandikwa mwanamume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe sasa mwanaume asiyempa upendo mkewe anastahili kupewa utii na mkewe? Ikumbukwe kuwa kumpenda ni pamoja na kutokumsaliti au kumuongezea mke kama inavyotakiwa kwenye maandikoMnyenyekee mr upate na heri hapa duniani
ha ha ha ha nikuulize swali;we unaweza ku -do kila siku?Imeandikwa mwanamume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe sasa mwanaume asiyempa upendo mkewe anastahili kupewa utii na mkewe? Ikumbukwe kuwa kumpenda ni pamoja na kutokumsaliti au kumuongezea mke kama inavyotakiwa kwenye maandiko
Sisi kula mazuri yenu mnataka hadi kwa masharti ila ninyi kula mazuri yetu mnataka bure tuNikumbushe mkuu,kwa sababu nachati huku napiga pombe kali
Siwezi lakini hauwezi kuniambia kwamba eti hizo siku chache ambazo nakuwa siko kwenye hali ya kufanya wewe unakuwa hauwezi kuvumilia hapana huko ni kujiendekeza hakuna binadamu aliyeumbwa kufanya kila siku ila wanaume mnafanya sifa tuha ha ha ha nikuulize swali;we unaweza ku -do kila siku?
Inategemea mtu na mtu...na kila mtu ana staili yake ya kupendaSisi kula mazuri yenu mnataka hadi kwa masharti ila ninyi kula mazuri yetu mnataka bure tu
ha ha ha ha sio sifa,ni hali halisi lakini hata ukitafuta msaidizi nje isiwe sababu ya kuvunja uhusiano ndani...na mara nyingi tunaogonga nje na kutimiza majukumu yetu ndani vizuri;ndoa zetu huwa zina afya sana...kwa sababu bi mkubwa atakuwa na wewe atakapokuwa na hamu tuSiwezi lakini hauwezi kuniambia kwamba eti hizo siku chache ambazo nakuwa siko kwenye hali ya kufanya wewe unakuwa hauwezi kuvumilia hapana huko ni kujiendekeza hakuna binadamu aliyeumbwa kufanya kila siku ila wanaume mnafanya sifa tu
Me wengi wenye afya njema ndio tunapenda hivyo,ila ke ni vigumu kutekeleza hilo;na ili uhusiano wako udumu ni bora uwe unampumzisha kwa kutafuta msaidiziWewe unaweza??