Na sio kwenye lugha tu.:tape:
Nakutafuta sana ujue.
unatafuta watu wa kuwaweka kwenye ignore list au...???Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...
Miss chagga
Shtupit
We labda kwa matusi ndo unaongoza
Teh teh teeeeeh. Gotcha!
We labda kwa matusi ndo unaongoza
hahahaaa umenichekeshaje LOL
Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...
It would be infra dig for me to get you back. So I'll take the high road.
hahahaaa umenichekeshaje LOL
jina langu lisikutishe mkuu...kuna binti mmoja hapa ninapofanya kazi ndio ana majigambo sana japo ni mrembo sana, ndio maana nikaamua kutumia jina hilo...si zaidi ya hapo usiogope.