Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...
hata mimi pia ni mshauri mzuri
Weka shida yako mezani uone watu tulivyobobea kwenye kazi zetu
kwa haraka tu kuna the boss, heaven on earth, jamiif, charming lady, michango yao ni mizuri sana bila kumsahau mzizimkavu.
Kumbe ulikuwa unawafahamu! Ni nini ilikuwa maana ya thread yako bwana Majigambo?