king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,153
Mmiliki Wa Kcmc Ni Muumini Wa Kkkt Yeye Ana Hosptal Kenya,tz Nk Pia Dodoma Wana Tawi Lao Dcmc Dodoma/kilimanjaro Christian Medical Center Dcmc/kcmc
Kanisa la kkkt ndo mmiliki,
serikali wao wanagharamia uendeshaji kama sikosei,
mishahara,madawa ,miundombinuetc
Take it easy mkuukama huduma gani vile?,
argurment za nini?,huo mda mchafu sina sikuhizi,
nyie endeleeni kuotesha vitambi kwa hela za walipakodi,mi sioni tabu yeyote mpaka nianze kushupalia saana,sina shida na hela za wizi mimi,
nina hela zangu zinanitosha kabisaa na nakula na kushiba vizuri kwa halali bila kufanya ufisadi wowote,
ha ha ha
Kwanini usiulize Bugando ni mali ya nani. Zinafanana kwa kila hali ila mmiliki tuuTake it easy mkuu
Vipi, unataka kuinunua? Au unataka kuwafukiza kazi woteSo hawana hisa wala mamlaka na wafanyakazi? Kufukuza kutumbua ? Kulipa wakurugenzi , kuwachagua n.k Maana nadhani wanawalipa wao,
Sasa kama serikali inalipa wafanya kazi wako haswa hii serikali ya sasa lazima iwe na sauti sana kwa shirika siyo?
Au ikoje mkuu?
Vipi, unataka kuinunua? Au unataka kuwafukuza kazi wote!So hawana hisa wala mamlaka na wafanyakazi? Kufukuza kutumbua ? Kulipa wakurugenzi , kuwachagua n.k Maana nadhani wanawalipa wao,
Sasa kama serikali inalipa wafanya kazi wako haswa hii serikali ya sasa lazima iwe na sauti sana kwa shirika siyo?
Au ikoje mkuu?
Wakuu ni kanisa la KKT au ni serikali? Au wamegawana hisa? Sielewi yani
Sijauliza mimi swaliKwanini usiulize Bugando ni mali ya nani. Zinafanana kwa kila hali ila mmiliki tuu
Yes sawa na bugando mwanzaMmiliki ni kanisa la kkkt ila wana memorandum of understanding na serikali
Sijakubishia naelewa ipo chini ya Roman CatholicSio kweli! Bugando ni mali ya RC bali KCMC iko chini ya Bodi Wadhamini ambao ni RC, KKKT na Anglican!
Wachaga tupu eeMkuu mimi nilikuwa pale kwa muda marefu tuu pia mimi ni mlutheri pia, niliyoyasema nimeyaona jinsi yanavyofanyika. Serikali haipaswi kuogopa mahali fedha inazotoa zikifanyiwa ufisadi. Pia gharama za matibabu ziko juu sana japokuwa serikali inagharamia shughuli za uendeshaji. Halafu pia hospitali imejaa ukabila tu jambo ambalo sio jema hasa kwa hospitali inayomilikiwa na Shirika la dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unabishana???Hujui ulichoandika alafu hata matumiz ya mtandao huyajui maana ungekuwa unajua ungeenda google ujue maana ya hiyo logo. Waulize watu Wa afya logo hiyo inamaana gani kama umeshindwa kutafuta badala ya kuropoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua hospitali iliopo chini ya waislam...
Watu wangejaza povu kwny beseni...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umenikumbusha wale wadada wa m pesa nshawalala wote pale kcmc
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio na juzi tumrkabidhiwa sanamu ya bikra mariam ikulu na viwanda vinaendelea kujengwahamna tatizo kabisa kwa pesa za walipakodi kwenda kujenga makanisa,
ni sehemu ya maendeleo