Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
Nyoka na fani ya udakitari ni kama uji na mgonjwa karibu sehemu kibwa duniani. Check MUHAS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni kwa unazozifahamu vipi kuhusu bugando,tosamaganga n.k je unataka kuaminisha wananchi kuwa kkkt INA vituo vya kutoa Huduma za kijamii kuliko madhehebu mengine?Sisi kanisani huwa tunachangia michango kwa ajil ya kuendesha taasisi za kanisa KKKT
Km hospital, secondary, chuo
Hospital
Kcmc
Seliani
Tumaini
Iambi hospital
Haidom hospita
Iringa hospital
Morogoro
Secondary
Makumira sec
Letharan sec
Iambi Lutheran
.......
.....
Zipo nyingi sana
Vyuo
Tumaini university makumira
University of Iringa
Tumaini university dares slam
Tumain university mbeya
.........
........
...
Tanzania Evangelical Lutheran church
We are blessed
Hapa hata marafik zetu wakatolik wanasubiri
Sitak kuwazungumzia wengne
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Duh, huu ujinga sasa! Kumbuka wengine walikuwa wake za watu, utavunja ndoa za watu we nyauDah umenikumbusha wale wadada wa m pesa nshawalala wote pale kcmc
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweliHizo ni kwa unazozifahamu vipi kuhusu bugando,tosamaganga n.k je unataka kuaminisha wananchi kuwa kkkt INA vituo vya kutoa Huduma za kijamii kuliko madhehebu mengine?
Ni zamaniDuh, huu ujinga sasa! Kumbuka wengine walikuwa wake za watu, utavunja ndoa za watu we nyau
Tehe teheee, ahya nenda katibiwe kwa sangomaPia hii hospitali iko connected na ufalme wa giza, angalia logo yao ni nyoka aliyejiviringisha kwenye bakora! -ambayo hio ni mojawapo ya nembo inayomwakilisha ibilisi
sent from servant of God
Mkuu mimi nilikuwa pale kwa muda marefu tuu pia mimi ni mlutheri pia, niliyoyasema nimeyaona jinsi yanavyofanyika. Serikali haipaswi kuogopa mahali fedha inazotoa zikifanyiwa ufisadi. Pia gharama za matibabu ziko juu sana japokuwa serikali inagharamia shughuli za uendeshaji. Halafu pia hospitali imejaa ukabila tu jambo ambalo sio jema hasa kwa hospitali inayomilikiwa na Shirika la dini.Iko hivi, serikali haina hospitali, inategemea hospitali ya taasisi ya dini. Ni wazi serikali inapaswa iogope kwasababu sio Mali yake.
Manake serikali haina uwezo WA kufanya kilakitu, ni lazima ishirikishe wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu ni kanisa la KKT au ni serikali? Au wamegawana hisa? Sielewi yani
Mkuu unataka tuanzishe tena zile argument za MoU? Makusanyo yanaenda kuboresha huduma za hospital.wewe unaejua utueleze sasa
hamna tatizo kabisa kwa pesa za walipakodi kwenda kujenga makanisa,Sawa,
Kuna ubaya kufanya hivyo?
hamna tatizo kabisa kwa pesa za walipakodi kwenda kujenga makanisa,Sawa,
Kuna ubaya kufanya hivyo?
Yeah kama wakina Bashite wanavyojengea jengo la Bakwata sio?hamna tatizo kabisa kwa pesa za walipakodi kwenda kujenga makanisa,
ni sehemu ya maendeleo
kama huduma gani vile?,Mkuu unataka tuanzishe tena zile argument za MoU? Makusanyo yanaenda kuboresha huduma za hospital.
Bakwata wanapeleka wapi zile kodi za pale shaurimoyo al haramain?
kama huduma gani vile?,Mkuu unataka tuanzishe tena zile argument za MoU? Makusanyo yanaenda kuboresha huduma za hospital.
Bakwata wanapeleka wapi zile kodi za pale shaurimoyo al haramain?
Mkuu mimi nilikuwa pale kwa muda marefu tuu pia mimi ni mlutheri pia, niliyoyasema nimeyaona jinsi yanavyofanyika. Serikali haipaswi kuogopa mahali fedha inazotoa zikifanyiwa ufisadi. Pia gharama za matibabu ziko juu sana japokuwa serikali inagharamia shughuli za uendeshaji. Halafu pia hospitali imejaa ukabila tu jambo ambalo sio jema hasa kwa hospitali inayomilikiwa na Shirika la dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa pesa za wahindi.?
kwa pesa za wahindi.?