Ni nani mmiliki wa hospitali ya KCMC?

Ni nani mmiliki wa hospitali ya KCMC?

Sisi kanisani huwa tunachangia michango kwa ajil ya kuendesha taasisi za kanisa KKKT
Km hospital, secondary, chuo

Hospital
Kcmc
Seliani
Tumaini
Iambi hospital
Haidom hospita
Iringa hospital
Morogoro


Secondary
Makumira sec
Letharan sec
Iambi Lutheran
.......
.....

Zipo nyingi sana


Vyuo
Tumaini university makumira
University of Iringa
Tumaini university dares slam
Tumain university mbeya
.........
........
...


Tanzania Evangelical Lutheran church
We are blessed

Hapa hata marafik zetu wakatolik wanasubiri

Sitak kuwazungumzia wengne


mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Ni ya good Samaritan ndan ya kkkt. Ila iliwah kutaifishwa na serikali wakaiendesha kwa miaka mingi then ikashindwa kuiendesha ikawarudishia
Waafrika kwa kukurupuka tu hatujambo sasa wameitaifisha mwishowe wamelamba matapishi

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Muuliza swali, lazima analo swali la nyongeza kuhusu hospitali ya KCMC. Maana hospitali ile ina ufisadi wa kufa mtu. Yaani isikie tu kwa mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kabisa na nashindwa kuelewa serikali inayotoa fungu pale Hawaoni Au nao ni sehemu yake Maana kitambo Sana mkuu hadi ilienda bungeni lakini holaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hii hospitali iko connected na ufalme wa giza, angalia logo yao ni nyoka aliyejiviringisha kwenye bakora! -ambayo hio ni mojawapo ya nembo inayomwakilisha ibilisi

sent from servant of God
 
Are u among of those who belong to the devil kingdom?

sent from servant of God
Hujui ulichoandika alafu hata matumiz ya mtandao huyajui maana ungekuwa unajua ungeenda google ujue maana ya hiyo logo. Waulize watu Wa afya logo hiyo inamaana gani kama umeshindwa kutafuta badala ya kuropoka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizi hospitali za mashirika ya dini zina siri nzito sana na serikali, na ni kama serikali inayaogopa haya mashirika ya dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi, serikali haina hospitali, inategemea hospitali ya taasisi ya dini. Ni wazi serikali inapaswa iogope kwasababu sio Mali yake.

Manake serikali haina uwezo WA kufanya kilakitu, ni lazima ishirikishe wadau.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hii hospitali iko connected na ufalme wa giza, angalia logo yao ni nyoka aliyejiviringisha kwenye bakora! -ambayo hio ni mojawapo ya nembo inayomwakilisha ibilisi

sent from servant of God
Vipi kuhusu Nyoka aliesimamishwa na moses, wayahudi walipomwangalia wakapona?
Vipi fimbo aliotupa moses mbele ya Farao ikawa nyoka?
Moses alimuakilisha ibilisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom