Nani hasa mmiliki wa Mwanaume, Mama yake au Mkewe? Fuatilia mabishano haya:
MAMA: Mwanangu lazima aniheshim mimi. Alinyonya maziwa yangu kwa miaka takriban miwili.
MKEWE: Mimi ni zaid ya miaka mitano sasa ananyonya maziwa yangu na bado anaendelea kunyonya.
MAMA: Nilimbeba tumboni kwa miezi tisa.
MKEWE: Kipindi hicho alikuwa na kilo 3.5 tu, lakini mimi nambeba kila ucku angali na uzito wa kilo 85 sasa!
MAMA: Alipita katikati ya mapaja yangu!
MKEWE: Ha ha haaa...! Ww alipita mara moja tu, vp kwangu mim? Anakuwemo kwenye mapaja yangu kila cku.
SASA NDUGU YANGU HEBU NISAIDIE, NANI HASA MMLIKI WA MWANAUME