rchugga updates
Member
- May 25, 2012
- 8
- 1
mimi ni mtoto wa mjomba wa patrick ngiloi, unavyosema tuko hoi unamaanisha nini.. thibitisha hii kauli.. Jamii Press
panone ni kituo pekee kinachouza petrol kuanzia ya buku moja, anawasaidia sana bodaboda wasio na mtaji wa mafuta. pia aliwajazia bodaboda wa moshi mafuta ili wafanye msako wakukamata waizi wapikipiki walifanikiwa kukamata waizi 3. kazi ambayo polisi waliishindwa.
Mbona undugu wa mbali sana aisee?mimi ni mtoto wa mjomba wa patrick ngiloi,
......
......
Ukipita barabara ya Moshi - Arusha hadi Mto wa Mbu(Monduli) kuna hivi vituo vya mafuta vya PANONE Company Ltd, Ni kina nani wamiliki?
Ni sawa Kiduku, ila huyu Ngiloi nimemfahamu miaka ya 1995-2000 akiwa ana duka la oil pale moshi, na akiwa anaendesha kituo cha mafuta pale BP technical moshi, wakati huo mi nafanya na hao wajomba zake.
Sidhani kama kuna mjomba yeyote mwenye direct involvement na utajiri wake maana kwa sasa wenyewe wako hoi kibiashara ila kuna habari kwamba kuna kigogo wa zamani aliyekuwa waziri na mbunge (mwenye kesi ya ufisadi mahakamani) ndo mwenye kuipatia ukwasi panone & co
Riz1 ana mkono hapo mkuu.
Panone anaongea na ''MSHUA'', taarifa za kiitalijensia zimeonyesha kuwa mtoto wa mshua amekua akifanya safari za machame mara kwa mara na huwa anafikia hotelini AISHI PROTEA HOTEL na alionekana akifanya mazungumzo na panone. hii inaonyesha mshua na mwanae wana ''interest'' katika biashara zake.
Ni sawa Kiduku, ila huyu Ngiloi nimemfahamu miaka ya 1995-2000 akiwa ana duka la oil pale moshi, na akiwa anaendesha kituo cha mafuta pale BP technical moshi, wakati huo mi nafanya na hao wajomba zake.
Sidhani kama kuna mjomba yeyote mwenye direct involvement na utajiri wake maana kwa sasa wenyewe wako hoi kibiashara ila kuna habari kwamba kuna kigogo wa zamani aliyekuwa waziri na mbunge (mwenye kesi ya ufisadi mahakamani) ndo mwenye kuipatia ukwasi panone & co
Mkuu Nimeshtuka sana kuona jinsi baadhi ya watu wanavyojua kupandikiza uongo kwenye historia ya mtu.Umeeleza vizuri kabisa.Ngiloi ni mjasiriamali anayejua kutumia wasomi katika biashara yake.
Huu uzushi wa kumuhusisha na magamba ni wa ovyo kabisa.Kwa kuwa ni rafiki na Davies mosha(Makamu Mwenyekiti wa zamani wa yanga na Mfanyabiashara maarufu) basi wanataka kumhusisha na Magamba.
Namfahamu na ni mfanyabiashara muadilifu kabisa.Huko kwenye masuala ya kodi na mengine ni loophole ya system yetu ya Tax tu
Patrick Ngiloi ni mpiganaji ni Pesa yake Mwenye ameanza nayo from zero..ingawa sio ya Kihalali saaana amepata opportunity kwenye Mafuta Transit (kodi) na. Kuchakachua kipindi kile ametumia nafasi iyo. Hana Makuu ndo maana hana shida na watu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums