Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kivumah, Jun 16, 2012.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ukipita barabara ya Moshi - Arusha hadi Mto wa Mbu(Monduli) kuna hivi vituo vya mafuta vya PANONE Company Ltd, Ni kina nani wamiliki?
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Patrick Ngiloi Ulomi
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Shark funguka zaidi Mkuu, kuhusu huyu Patrick, ana vitega uchumi gani vingine, ni mtu wa mawe huyu au?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
 5. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  haya leteni umbeya wenu hapa ngiloi namfahamu akiwa hana hata kituo kimoja yz toka akiwa na gari kama 3 hivi'huyu jamaa alikuwa na ndugu yake anaishi USA ndio aliekuwa akimsapoti sana yeye alikuwa ni msimamizi tu'tena huyu jamaa sio kwamba nimeambiwa ila huyu jamaa alikuwa mtu wangu wa karibu mwanzo wa miaka ya elfu 2 mpaka sasa huwa napiga nae story japo si sna'jamaa katajirika kwa hatua huyu
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tafuteni mali zenu, cha mtu mavi
   
 7. Sir oby

  Sir oby JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  ngiloi ni mjasiriamali wala hajaanza leo, utajir wake ni wa halal kabisa
   
 8. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo kuna mkono wa gamba mkuu hapo na huyo mnaye Ngiloi ni kama kivuli tu.
   
 9. J

  Jalala Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna gamba wala magamba kumbe watu ni wazushi sana yaani mi nachukia uzushi sana huyu kijana amekomaa mwenyewe kama mdau alivyosema tangi enzi na 2000 alikuwa na kampuni inaitwa Ngiloi sijui kitu gani sikumbuki jina kwa kirefu baadae alibadili jina, jitume upate chako usitunge tu story za uongo na anaetaka details zake amfuate ana ofisi pale Tabata dampo amuulize mwenyewe
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mtu akiwa na kituo cha mafuta cha Ridhiwani, Akiwa na Mjengo wa Kikwete, Akinunua mabasi ya Lowasa, Akinunua ardhi kubwa ya Pinda, kampuni kubwa akianzisha ya Rostam dah bongo bana! bora nikafanye biashara nje ya nchi hii itambulike kwa jina langu!
   
 11. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Patrick Ngiloi ni mpiganaji ni Pesa yake Mwenye ameanza nayo from zero..ingawa sio ya Kihalali saaana amepata opportunity kwenye Mafuta Transit (kodi) na. Kuchakachua kipindi kile ametumia nafasi iyo. Hana Makuu ndo maana hana shida na watu

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 12. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Point yako ni nini kwa hiyo kampuni????
   
 13. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Patrick Onaukiro Ngiloi Ulomi,ni mzaliwa wa Machame katika kijiji cha Uduru Makoa

  wajomba zake ni wafanyabiashara wa mafuta toka miaka ya 1970's unaesema kuna mkono wa gamba NI MZUSHI

  NA MUONGO MKUBWA wala hana ndugu aliyeko au aliekua USA huo nao ni UONGO jamaa kapambana

  mwenyewe kwa msaada wa wajomba zake Ufoo Ulomi na Lazaro Ulomi lakini mafuta ya transit yamemtoa sana

  namfahamu toka 1985 kwa sasa anamiliki malori ya mafuta yapatayo 100 na zaidi
   
 14. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Biashara ni pamoja na kujifunza wenzako/wenzio wanafanyaje, wamewezaje kufika hapo walipo, ni mbinu gani wanatumia ili kupata mafanikio waliyonayo....n.k, n.k. Hii ni hatua mojawapo ya kuwafahamu wahusika wa kampuni tajwa ili kujifunza kutoka kwao hayo niliyosema mwanzo.
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  jamani huyu Patric Onaukiro Ngiloi ulomi, mnayemtaja laiti mngelimjua wala msingeemshirikisha na magamba kabisaaaaaa. Anatokea machame uduru utajiri kaupata kwa sapoti ya kwanza kabisa marehem babu yake mzee Onaukiro na nyingine kwa wajomba zake Ufoo na Lazaro,ila pia Anderson,Willy Na Joseph.

  mama yake mzazi anatwa Naike Onaukiro Ulomi alimzalia nyumbani na kwasababu baba yake patric hakuwa responsible basi mama alimuita kwa ubini wake. kakulia machame uduru njia ya kwenda Ikola na kasoma shule ya msingi Mkwamwatu. Alianza kwa kumiliki duka la spea moshi mjini na kuwa na daladala (chai maharage) ya moshi mjini -machame. Yapo mengine ambayo alifanya ili kutoka enzi hizo hiyo ni siri yangu ila nkijana mpiganaji sana. anawatoto 4 Gift,David Pendo na Amani mkewe ni mpare na alkuwa mwalimu ila akaacha kazi baada ya kuwa na miradi mingi.

  nyumbani kwao alikolelewa kusini wamepana na mzee mmoja anayeitwa Ezekiel S Masawe, na Boazi Masawe, kaskazini ni barabara kuu iendayo kialia mashariki kuna njia iemndayo mkwamwatu na Elikana Ndanshau na magharibi mzee Fanueli.

  haya wewe unayetaka umbeya huo hapo. sema kingine sasa........ghafla utaskia basi ni free mason huyu lolz wanadamu bana
   
 16. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  panone ni kituo pekee kinachouza petrol kuanzia ya buku moja, anawasaidia sana bodaboda wasio na mtaji wa mafuta. pia aliwajazia bodaboda wa moshi mafuta ili wafanye msako wakukamata waizi wapikipiki walifanikiwa kukamata waizi 3. kazi ambayo polisi waliishindwa.
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nimeshtuka sana kuona jinsi baadhi ya watu wanavyojua kupandikiza uongo kwenye historia ya mtu.Umeeleza vizuri kabisa.Ngiloi ni mjasiriamali anayejua kutumia wasomi katika biashara yake.

  Huu uzushi wa kumuhusisha na magamba ni wa ovyo kabisa.Kwa kuwa ni rafiki na Davies mosha(Makamu Mwenyekiti wa zamani wa yanga na Mfanyabiashara maarufu) basi wanataka kumhusisha na Magamba.

  Namfahamu na ni mfanyabiashara muadilifu kabisa.Huko kwenye masuala ya kodi na mengine ni loophole ya system yetu ya Tax tu
   
 18. L

  Laptani Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni sawa Kiduku, ila huyu Ngiloi nimemfahamu miaka ya 1995-2000 akiwa ana duka la oil pale moshi, na akiwa anaendesha kituo cha mafuta pale BP technical moshi, wakati huo mi nafanya na hao wajomba zake.
  Sidhani kama kuna mjomba yeyote mwenye direct involvement na utajiri wake maana kwa sasa wenyewe wako hoi kibiashara ila kuna habari kwamba kuna kigogo wa zamani aliyekuwa waziri na mbunge (mwenye kesi ya ufisadi mahakamani) ndo mwenye kuipatia ukwasi panone & co
   
 19. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hata Lowasa anautajiri wa marehemu baba yake lakini ndo fisadi la kutupwa. Wewe angalia mwenyewe mtu kaanza kushaini mwanzoni mwa 2000 mpaka miaka mitatu iliyopita tayari ni tajiri mwenye malori zaidi ya 70 na vituo vya mafuta, hapo hainibadilishi kuna mkono wa gamba.

  Msiwe vipofu wa ubongo kwakudanganywa na viini macho vidogo. Sababu hata Riziwani anajituma sana tatizo je mali anazoibuka nazo ni sahihi na uwajibikaji wake.
   
 20. J

  Jalala Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wewe usiye kipofu na una macho ya kuona viini macho inakusaidia nini!!! unaepoteza muda kufikiria watu wanapata wapi pesa huo muda ungeutumia kufikiria utaingizaje pesa zako,kila siku Ridhiwani mara Lowasa siwafagilii sana hao uliowataja na mi si magamba ila sipendi uzushi na kujitia mna macho ya kuona mafisadi!! Ndo maana nikasema yupo tabata Dampo ana ofisi kama unataka kujua zaidi
   
Loading...