Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd?

Upo wapi mkuu, umelala usingizi wa pono.
Pesa bila jasho zipo UKAWA, wahi fasta mkuu kabla EL hajaishiwa...
 
Habarini wakuu

Hivi huyu Tycoon na Bilionea anayemiliki hizo hazina hapo ni muhindi au mbongo? Natafuta Ajira na nataka nitume CV kwa HR dept yao,kwani toka nimemaliza chuo mpaka leo hii nasugua tu soli za viatu.

Mimi hapa
 
Kazi utapata mimi ndiye HR lakini na mimi unipatie masaburi yako
 
Ni mmachame lakini tabia za kijapani. Hataki visingizio kazini. Sijui mama anaumwa, sijui vikao vya harusi, sahau huo uswahili ukiajiriwa nae. He is just 40s yrs old
 
Back
Top Bottom