Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,798
- 12,240
Habari kuwa mawaziri 7 waliopo katika baraza la mawaziri wa JK na wabunge 70 wameomba kuvalishwa magwanda ni ya kustua sana kwani inaweza kusababisha serikali kusambaratika.
Hapa hoja yangu tuwajadili ni akina nani kati ya mawaziri wa JK wana sifa za kuvalishwa magwanda kutokana na utendaji wao wa kazi uliotukuka na kuwa na fikra za kizalendo na kimapinduzi?