Ni nani kati ya mawaziri 55 wa JK wanaweza kujivua magamba na kuvaa magwanda?

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,759
12,175
Habari kuwa mawaziri 7 waliopo katika baraza la mawaziri wa JK na wabunge 70 wameomba kuvalishwa magwanda ni ya kustua sana kwani inaweza kusababisha serikali kusambaratika.

Hapa hoja yangu tuwajadili ni akina nani kati ya mawaziri wa JK wana sifa za kuvalishwa magwanda kutokana na utendaji wao wa kazi uliotukuka na kuwa na fikra za kizalendo na kimapinduzi?
 
Hao ni magufuri, sita, mwakyembe, mwandosya, mwanri, kagasheki na tibaijuka.

Huyu kwa sasa ni mgonjwa na nadhani kutokana na umri wake inawezekana hata utendaji wake ukawa umepungua!
 
wanasiasa huwa wanaangalia maslahi yao kwanza,sasa wanaona sustainability ya ccm is questionable,so they are looking for exit point
 
Ni propaganda tu hizi ..... ...... Inashusha hadhi ya mheshimiwa Mbowe ..... Mind that """" hata ccm kwa sasa haina kitengo cha Propaganda......... hakuna atakayeacha uwaziri aje cdm never happen ........ Je posho hawapokei? kina ZZZZK
 
Huyu kwa sasa ni mgonjwa na nadhani kutokana na umri wake inawezekana hata utendaji wake ukawa umepungua![kumbuka ugonjwa hauchagui wala hakuna anayeuomba pia umri ni kigezo kikuu cha UFANISI!]
 
Sasa nimeamini kuwa CDM wamekata tamaa na hawana jipya! Kwa mtu kama Mbowe kutamka jukwaani maneno ambayo jamii inayomsikiliza inaona anaongea utumbo na uongo ambao hata kichaa hawezi sema kweli cdm inabidi ijipange sana maana mwaka 2015 cdn itakumbwa na mfadhaiko sana pindi itakapoona majimbo karibu yote yanarudi CCM.KWANI CCM ni chama pendwa tanzania.Unafikiri Uwaziri ni kitu cha kuchezea mpaka mwanachama aliyepewa dhamana hiyo ya uwaziri aache akimbilie cdm ujue ni miongoni mwa wanaotakiwa wajivue gamba kama si hivyo labda angepewa uwaziri mbowe kimakosa.
Kidumu chama tawala cha ccm.
 
Hao ni magufuri, sita, mwakyembe, mwandosya, mwanri, kagasheki na tibaijuka.
Mkuu mbona hawa wote uliowataja ukiondoa mzee wa spidi na viwango (6), ni wale waliokwisha kunywa maji ya bendera ya kijani?
 
ni propaganda tu hizi ..... ...... Inashusha hadhi ya mheshimiwa mbowe ..... Mind that """" hata ccm kwa sasa haina kitengo cha propaganda......... Hakuna atakayeacha uwaziri aje cdm never happen ........ Je posho hawapokei? Kina zzzzk

it will never happen, lets be realistic
 
[hongera ccm.wakati cdm wanazidi kujidanganya nyie ni vizuri mkajipanga na kusonga mbele acheni marumbano nao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom