Ni Nani Jerry Muro?

Sakata la Muro huwezi kulitenganisha na siasa kwa sababu yule anayemtuhumu kudai hongo analindwa na wanasiasa fulani ndio maana kafanikisha kujilimbukizia mali nyingi na kupewa nafasi nyingi za uhamisho na kupewa nafasi ya kulichukua jengo la CCM morogoro Mjini nakulifanya moja ya mahoteli yake.
 
Hivi ule mtafaruku wa Mzee Mengi na Waziri kijana uliishia wapi? na ushahidi wa Mengi aliupata kupitia kwa Jery? just trying to connect the dots
icon5.gif
 
isijekuwa jeri ni polisi jamii? kwani vyanzo vya tafiti vinaonesha anamahusiano mazuri na polisi,
je alikuwa anawakilisha serikali kwenye ipp?
au alikuwa anaichunguza ipp? sasa kamaliza kazi?
anataka kutumwa kuchunguza magereza?

MIMI SIJUI
 
naskia kabaya kwa wake za watu..
sa sijui wanajipeleka au kanawatafuta
 
naskia kabaya kwa wake za watu..
sa sijui wanajipeleka au kanawatafuta.........................

hii mupya
 
jamani wanadamu kwa kukatisha tamaa kijana wa watu ndo ameanza harakati zake you neva know atafikia wapi lakini ndo hivo tena wakubwa wanataka kumfumba mdomo ...

Ilitakiwa iwe kama ilivyokuwa...kwa waunganisha dots wanajua sasa ni nini kilikuwa kinatendeka!
 
Huyu jamaa namfananisha na Mh Makonda huwa haogop pia sio mnafiki akimua kukuchana bas anakuchana
 
Jerry ni msomi wa chuo kikuu cha DSM kiwango cha shahada ya uzamili na sasa anafanya uzamivu, pia ana astashahada ya uandishi wa habari na stashahada ya utangazaji.

Kwa kifupi ana
  1. Astashahada
  2. Stashahada
  3. Shahada
  4. Shahada ya Uzamili
  5. Shahada ya Uzamivu.
P.
 
Asante sana mkuu Pascal Mayalla
 
Huyu kijana ametokea kuwa ni msemaji na mpongezaji mkubwa wa mambo yanayotokea chini ya mwavuri wa lumumba. Liwe baya anapongeza liwe zuri anasifia,pls tunaomba mwenye CV yake tumjue vema.
Aliwahi kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhalifu, angalizo, kushinda kesi si lazima kwamba haukufanya uhalifu, bali ni ujanja wa kujitetea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom