Ni Nani Jerry Muro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Nani Jerry Muro?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by maggid, Feb 2, 2010.

 1. m

  maggid Verified User

  #1
  Feb 2, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Tangu sakata la Jerry Muro liibuke mjadala umeelekea kwenye ' nadharia ya njama'.

  Jeshi la Polisi ndilo linaloonekana kutupiwa lawama zaidi. Nahofia hatulitendei haki. Mimi najaribu kuvaa ' miwani ya giza'. Nina kiu ya kutaka kujua ukweli mzima wa sakata hili. Maana kuna wenye kuujua ukweli mzima, na ukweli ni mzigo mzito. Haubebwi na mtu mmoja, husambazwa, watu wakafahamu. Bila shaka tuko wengi wenye kiu hii. Na huu si wakati wa kutoa hukumu ' kishabiki'. Tuache sheria ichukue mkondo wake.

  Na kuhusu Jerry Muro. Binafsi nimebahatika kukutana na hata kufanya kazi na wanahabari wengi wa Tanzania. Nasikitika sijapata kukutana na Jerry Muro. Nimemfahamu Jerry Muro kupitia runinga tu, haijapita zaidi ya miaka miwili tangu nianze kusikia jina lake na kumwona kwenye televisheni. Kuna mliosoma naye, kuna mliefanya kazi naye. Na mtusaidie kumwelezea Jerry Muro ili nasi tumfahamu alikotokea, tujue hapo alipo sasa, na itusaidie kupata picha ya wapi anakokwenda.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,973
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 145
  Jerry Muro ni kijana mjasiri sana na ni mkakamavu haogopi mtu namfananisha kwa Tiddo Mhando
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Alianzia kazi ATN ile ya tv stesheni ya kidini Bongo
   
 4. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hamna issue nyingine!? Muro Muro!!
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu,

  Umesema vyema,na huna sababu ya kuvaa miwani ya mbao.Unachotaka wewe nikujua ninani hasa huyu kijana?Nadhani wako wengi kama wewe walio njia panda hiyo.

  Kwa uchache wangu nafahamu kijana huyo JERRY MURO amesoma shule ya Msingi Ubungo National Houses (nyuma ya jengo la RUBADA,opposite na kanisa la KKKT ushilika wa Ubungo).
  Nikijana mtanashati toka akiwa shule ya msingi,kama sikosehi wazazi wake waliishi ama wanaishi maeneo ya Ubungo/Mabibo external baada ya kumaliza shule ya msingi akaenda sekondari (sijajua bado ni ipi).alafu amepata mafunzo ya uandishi wa habari either TIME au DSJ kwani hizo shule ziko karibu karibu sana kati ya mwaka 2001 na 2002
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,516
  Likes Received: 7,265
  Trophy Points: 280
  yah hoja nzuri sana, once unapojua CV au background ya mtu inakuwa raisi kuunga dot vizuri kwani mpaka hapa majority tunawaona police ndio wako wrong, lakini inaweza kuwa kinyume

  hebu wenye details tujuzeni
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,516
  Likes Received: 7,265
  Trophy Points: 280
  JF ina uwanja mpana sana sio lazima uingie kwenye thread za Muro, kama unaona hakuna zinazokufaa basi anzisha zako tuchangie,
  kwa nini ukereke na JF ni chama kubwa bwana!
   
 8. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,355
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Naona Muro anachukua nafasi ya Zitto sasa,maana kuna kipindi ilikuwa kila ukiamka wakutana na thread ya Zitto,leo hii kila wakati ni 'masredi' tu ya Muro,inakera
   
 9. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #9
  Feb 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,632
  Likes Received: 2,702
  Trophy Points: 280
  Habari ya Muro inahusiana vp na jukwaa la siasa...
  hii ni mada nzuri lakini this is not right place for it,so tusipoteze maana ya jukwaa la siasa kuanza kujadili mada ambazo sio za kisiasa.
  Tanfadhali ondoa hii thread hapa,sio mahali pake na tutaichangia tu huko utakapoiweka.
  Huu ni wangu mtazamo masela msijenge chuki....
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  nimesoma naye kozi tofauti chuo kikuu, ni rafiki yangu

  yeye alisoma 'sociology'

  a very determined young person, he had a dream and he wanted to live it (baada ya kupitia rapsha kadhaa za maisha ya kifamilia)
  amefanya kazi za utangazaji tangu tukiwa chuoni (alisoma na kufanya kazi part time), ATN, PRT (WAKATI HUO), ITV na saa TBC!!!
   
 11. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bila kusahau ni mtu wa usalama wa taifa!
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,516
  Likes Received: 7,265
  Trophy Points: 280
  pengo taratibu kamanda
   
 13. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hilo nalo neno mkuu!!
   
 14. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Mkulu,

  kuna kitabu fulani nina kisoma hapa (kinaweza kisiwe kinalandana na maada,ila nimeona ina faa),kunasehemu mwandishi anam-quote mtu akisema,,"Every thing is made known to man by its opposites".
  Sasa they the way i see it,mtoa mada alitaka kumjua zaidi Bwn.Muro kupitia mkasa huu (the opposite,my take) basi tuwaache wenye kujua watuambie jamaa ni nani hasa ili tuwe na ufahamu nae
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Halafu inazidi kubore pale ambapo threads zinakuwa too nyingi bila mpangilio maalumu. Sasa Ni nani Jerry Muro ndani ya Siasa, kwenye habari mchanganyiko, kwenye celebrity ah. Inachosha macho
   
 16. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,355
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma vizuri sana kiongozi wangu,nazungumzia tu masredi mengine yanayochipuka kama uyoga kumhusu JM...Maana jana kuna thread mtu kaeleza vizuri sana wasifu wa Jerry Muro..Pamoja mkuu
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,574
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  bht aksante kwa taarifa hizi- ni mwaka gani hiyo sociology? Huwenda nikawa namfahamu.

  Uandishi wa habari alisomea wapi? mwaka?
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  mi nadhani habari zake zijamaa all over the forum mpaka mtu unashindwa kuunga which is which!!!!!!!!!!!!! hicho kinachosha wengi na kinabana pia watu kuchangia.............kweli ina-bore!!!!!!!! mpaka sas kuna zaidi ya nyuzi nne on this same thing!!!!!!!!!!!!!!! tooo destructive!!!!
   
 20. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele Mkulu wangu,

  nipe hiyo thread ya wasifu niende huko
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...