Ni Nani Jerry Muro?

bht aksante kwa taarifa hizi- ni mwaka gani hiyo sociology? Huwenda nikawa namfahamu.

Uandishi wa habari alisomea wapi? mwaka?

2006

nijuavyo mimi hata wakati huo anatangaza hakuwa amefanya kozi za uandishi wa habari (mafunzo kazini inahusu hapo) labda baada ya chuo alijiunga kupata certificate in one of our colleges na pia sometimes last year alipokwenda Marekani nadhani kwa mafunzo na aliporudi ndo akajiunga na TBC1!!!
 
OK aksante bht.
 
nimesoma naye kozi tofauti chuo kikuu, ni rafiki yangu

yeye alisoma 'sociology'

a very determined young person, he had a dream and he wanted to live it (baada ya kupitia rapsha kadhaa za maisha ya kifamilia)
amefanya kazi za utangazaji tangu tukiwa chuoni (alisoma na kufanya kazi part time), ATN, PRT (WAKATI HUO), ITV na saa TBC!!!
mmmh
 
Mimi nimekuja kumfahamu baada ya vipindi vyake vya kuanika uozo wa Jeshi la Polisi (Traffick) kudai na kupokea rushwa hadharani. May be is paying the cost for that (but I just guess)
 
Mimi nimekuja kumfahamu baada ya vipindi vyake vya kuanika uozo wa Jeshi la Polisi (Traffick) kudai na kupokea rushwa hadharani. May be is paying the cost for that (but I just guess)

kuwindana ndo zetu!!!!!!!!!!!
 
Jerry Muro ni kijana mjasiri sana na ni mkakamavu haogopi mtu namfananisha kwa Tiddo Mhando[/Q
Pamoja na hayo ni mpenda sifa sanaaaaa,namkumbuka askari polisi alijulikana kwa jina la MKAMA SHAPU alikuwa akiingia uwanjani wakati wa mpira anabeba pistol,rungu la polisi,pingu,fimbo ya kawaida na kipaza sauti naye JM si mchezo pistol,pingu na makamera.
 
Na wakati huo huo msisahau kwamba asilimia kubwa ya polisi wa Tanzania ni wezi, waongo wanaoweza kukubambikia ushahidi wa uwongo ili waonekane wanatenda kazi yao vizuri na pia wanashirikiana hata na majambazi katika kutenda maovu nchini. Kuna ushahidi mkubwa juu ya uhalifu unaofanywa na polisi nchini.
 
sijui kwa nini muda wote huu watu akili ilikuwa haijaclick hapa.

Inawezekana kabisaa

Kauli zake kadhaa (''Kova ni mtu mdogo sana.....'', Kova si jeshi la polisi yule....'',...nina vitu hii mwaka wa nne sasa..aulize nimevipataje''..etc) zimepelekea watu waamini hilo.

Hata kama ni mtu wa system kweli, nadhani boss wake atamwita aseme nae neno, alitaka kuvuka mipaka
 
Hata mimi hili la "kwamba Kova si jeshi la polisi yule'' lilinistua kidogo! mhh nadhani Jerry ataachiwa sidhani kama jeshi la polisi litataka kuendelea na kesi ya kijinga dhidi yake.
 
Naona Muro anachukua nafasi ya Zitto sasa,maana kuna kipindi ilikuwa kila ukiamka wakutana na thread ya Zitto,leo hii kila wakati ni 'masredi' tu ya Muro,inakera

hahaha Balatanda umenichekesha ..
Ngoja kijana aendelee kujichukulia umaarufu ...
 
hii kesi mmh kwa upande fulani tuache ushabiki na nini, why jeshi la polisi limeishupalia sanaaaa! kova atoe habari etc, who is J.Muro? hakuna msemaji wa mambo madogo namna hiyo? poliso wamelikuza sana jambo hili. Ni sinema inayodirectiwa sivyo
 
hii nchi bwana akijitokeza mtu akemee maovu shida!!! hebu tuachane na mengine tuongee ukweli mdogo.....

Ni waandishi wangapi nawaweza kufanya aliofanya Muro hata kama anamachafu yake.. HE DARED!!!!! tuongelee juhudi za mtu ...tuko hapa kwa sbb ya kupinga rushwa, nani hajui hawa wakubwa wamekithiri kwa rushwa mpaka hawaoni tofauti tena????SHAME!!!

nani hajui MKAPA, LOWASA na kuendlea niwala rushwa wakubwa walio haribu hii nchi????

nani hajui jeshi letu ni la wakihuni tuu na ni wabambikaji wa kesi?????

angalieni michuzi Kova kawakamata waliotaka 'kumpa' rushwa Jerry kwa kosa la kuwa matapeli sugu lini tena wamekuwa masugu????

KOVA u need to be serious now acha mambo ya kitoto!!!!
 
Jerry Muro hana lolote, hizo rushwa za shilingi 2,000 wanazochukua trafiki ni siri Tanzania? Mbona harushi hewani issue yeyote ya Manji au wezi wengine walio ndani ya CCM!? Inawezekana kabisa kuwa alitaka kumblackmail huyo jamaa wa Bagamoyo!

Waandishi wa uchunguzi wengi wakipata habari ya mtu hupenda kwanza kublackmail...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom