Ni nani huyu Doctor(PhD Holder) anayejiita Professor?

Inawezekana pia hakuna kitu kama hicho katunga tu ili tuanze kujadili Visivyokuwepo

Kama kala Rushwa huku anarekodiwa mbona hatumuoni Mahakamani?

Ule Rushwa tena kwa Ushahidi wa Kamera Magu akuache tena Adui yake?
...Hii ni hoja vikirishi mkuu. Lila mbona Lowassa kila siku anaitwa fisadi lakini haburuzwi mahakama ya mafisadi?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom