Ni nani huyu Doctor(PhD Holder) anayejiita Professor?

Habari zenu wakuu..

Kwenye Hotuba ya Rais Magufuli leo amesema kuna Mtu ambaye ni Doctor anayejiita Proffesor alipewa Rushwa huku akirekodiwa ili atetee usafiroshaji wa Mchanga wa Dhahabu..

Naombeni Nami Nimjue Kwa Ninayemjua..
Wakuu tuishie hapo kwani Rais Magufuli anaijua profile yake kiganjani mwake.
Kwanza huyu Prof FAKE hana PUBLICATION yeyote ya kuitwa.
Maana kufika kiwango hicho ni mambo mengi yanahitajika.

Na miongoni mwa hayo ni kuwa ANGEKUWA ame publish publications nyingi sana kando ya mambo mengine kama inavyotakiwa ndo ANGEITWA PROF.

Rais Magufuli ametumia staha na kuheshimu SHERIA ili kuzuia kumtaja mtu kwa jina lake ndo maana hakutaka KUMWAIBISHA kwa kumtaja.
Ila YEYE ANAJIJUA!!!!!
 
Back
Top Bottom