Ni nani huyu Doctor(PhD Holder) anayejiita Professor?

Kwahiyo alilishwa mubashara kuwatetea wezi, wa hivi walitakiwa kuwa wanapandishwa kwa pilato ngoma inaachiwa wanatangulizwa kwa Israeli
 
Magu kip it up, usicheke na kima utavuna mabua, nyambafuuuuuuuu, kama elimu yake haitusaidie tupa kule lazima tusonge.

No retreat tunakula kichwa ukileta ungese.

May Almighty protect you beloved President.
 
Mzee ni hivi, Associate Professor na Professor wote wana scale moja ya mshahara ila sema wametofautiana seniority/rank.

Kwa hiyo difference yao it's almost negligible!
Mkuu kulipwa mshahara unaofanana sio kipimo cha usomi/elimu au machapisho. Kuna watoto huku mitaani wana shahada moja tu lakini wanalipwa pesa kuliko professor. Huwezi ku-neglect tofauti ya idadi ya tafiti na machapisho waliyofanya wasomi wawili.
 
Ki ukweli bongo watu wengi wanaojiita professor siyo ma professor ila ni associate professors. Na watz wengi hawajui.
Ukishakuwa professor wewe ni professor tu haijalishi kama ni assistant professor, associate professor, full professor au professor emeritus
 
Back
Top Bottom