Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
Baba harusi anaonekana mwenye mawazo sana
Bidada full kuchekelea
Bidada lazima acheke muda wa kula ruzuku huu.
Baba harusi anaonekana mwenye mawazo sana
Bidada full kuchekelea
Anajuta kumuoa huyo mwanamke!
Anawaza kwanini ameamua kufuga ng'ombe wakati, maziwa yanapatikana kitaani!
ah..alikuwa hajaoa muda wote...