Ni nani huyo bwana harusi

Ni nani huyo bwana harusi

huyu inaonekana hapo kaoa kwasababu 2 au kasisitiziwa aoe kwaajili kapewa uwaziri??
inamaana alikuwa ni mzee wa michepuko kwakwenda mbele.
mwanamke anafurahi mwanzo mwisho lakini kidume kinamawazo balaaaaaa cjui anawaza kampeni za kalenga??
 
Hapo ni kucompromise lakini hakuna raha hadi siku ya kuingia kaburini
 
Hii tabia ya kuoa mwanamke akiwa mjamzito itaisha lini??????????
 

nachukia sana wapambaji wa maharusi wanapolazimisha make up kwa maharusi hata kuonekana kituko mbele za watu. Yaani huyo bibi harusi na hilo tabasamu alilolitoa na hizo make up utasema katupiwa brush ya iliyofuta ubao kwenye macho aaahhhh. Bora upake zako samli unakuwa lainiii hayo mapouda yakizidi havinogi hata.
 
Huyu lazima agegedewe tu,bi dada mwenyewe ndiyo huyu kumbe
 
Kwa mara ya kwanza kaonekana bila kuvaa kijani au njano! lakini no! labda boxer
 
bi harusi hyo ngozi ya mikono alishakuwa na tetekuwanga au ni mchubuo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom