Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

Namba tisa alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhiti migomo ya wanafunzi..
Anafaaaaa
 
Kwa Vyuo Vikuu inahitaji kupata Prof. yeyote MUHAYA (from Bukoba aliyesomea PhD yake CAMBRIDGE, UK ama HARVARD, USA), maana ndio wenye uzoefu na mambo ya vyuo vikuu duniani. Mifano hai ipo hakuna haja ya kuchoshana.
Mkaliandala kasoma Berkeley na kawa vice chancellor tangu niko second year so umeproove failure tafuta sababu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…