Za Uhakika huyu sio chotara wa kiarabu bali ana asili ya uyahudi
Huu ni ukweli niliwahi kuambia na wazee wa miaka ya 47
Alijifanya mwarabu kutokana na siasa za wakati huo
Na watoto wao wahaoa warabu na waafrika lakin asili ya mwanzo kuja hapa bongo ni uyahudi
Huyu ni mwarabu aliye tokea sehemu za Tabora afu akahamia kinondoni ni mali zake, wala hakuna ukweli kama mali ya Salim Ahmed Salim mana mwanamboka ni tajiri kabla ya Salim Ahmed Salim kuwa Ambassodor au kuwa waziri.
Alikuwa rafiki yake sana Dingi.
Sa Bepari na wewe si ndo uko katika uko wake afu unajifanya humjui, afu we myahudi au mwarabu.sasa kama alikuwa mwarabu mbona wengine wanasema ni myahudi,wengine wanasema ni mtu wa kigoma ujiji sasa mbona history haieleweki? wengine wanasema MWANAMBOKA ni jina tu la kampuni la ndugu wengi,wengine wanasema khadija siyo mwanawe bali mtoto wa mdogo wake!!sasa kama ni hivyo watoto wake yeye ni wepi hao? tufafanulieni jamani.
Sa Bepari na wewe si ndo uko katika uko wake afu unajifanya humjui, afu we myahudi au mwarabu.
Mimi nimeisha kuwaeleza mwanamboka ni mwarabu, afu alikuwa rafiki yake dingi sio rafiki yangu :biggrin1:Fazaa wacha mas'hala bwana kama kweli una mjua huyu si utuambie na ujibu hayo maswali yangu niliyoyauliza serious bro,tubadilishane habari bhana Fazaa.
Mimi nimeisha kuwaeleza mwanamboka ni mwarabu, afu alikuwa rafiki yake dingi sio rafiki yangu :biggrin1:
Huyu Saad Ally alishajitoa,mwenye Mwanamboka Hauliers anaitwa Salum mwenye kufanana na Madiluu sytem.
Mtoto wake m1 hivi ni teja ukienda kituo cha kinondoni manyanya ukiona mpiga debe teja la kiarabu ndio mwanae huyo!!
Si mwanae, ni mtoto wa ndugu yake ila kwa kuwa mwanamboka alikuwa ma arufu ndo akatumia jina la uncle yake kujiweka matawi ya juu.hivi yule khadija ni mwanawe au siye tuambie basi fazaa au alikuwa mtot wa nje?
Si mwanae, ni mtoto wa ndugu yake ila kwa kuwa mwanamboka alikuwa ma arufu ndo akatumia jina la uncle yake kujiweka matawi ya juu.
Lakini sina uhakika pia kama ni mtoto wa kaka yake inawezekana wana undugu tu na kina mwanamboka.