Ni Nani Anaweza Kumjua Huyu-MWANNAMBOKA?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Nani Anaweza Kumjua Huyu-MWANNAMBOKA??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Grand Master Dulla, Oct 28, 2012.

 1. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba kuwauliza swali linalonitatiza sana.

  Miaka ile ya themanini wakati mi niko mdogo kule Kinondoni kulikuwa na tajiri mmoja mwenye magari mengi aina ya scania 111, jamaa mwenyewe alikuwa anaitwa MWANAMBOKA na mascania yake tulikuwa tunayaita mascania ya Mwanamboka.

  Huyu jamaa ni maarufu sana Kinondoni pale, sasa miaka ya 2000's akaja akajitokeza binti mmoja anayeitwa KHADIJA MWANAMBOKA, sasa nauliza huyu Khadija Mwanamboka ni mwanawe au ni ndugu au ni jina tu limefanana? Maana huyu Khadija anaonekana ni mwarabu na yule mzee mwenyewe kama jina lake linavyoonyesha ni mswahili ila sijui ni wa mkoa gani wala kabila gani.Kwa anayemfahamu vizuri huyu jamaa na maisha yake tubadilishane mawazo si vibaya tukajikumbusha mambo yaliyokuwa yakituburudisha zamani jamani.

  Hivyo jamani kwa yeyote yule mwenye kumjua huyu mzee atupe historia yake na ya familia yake mana alikuwa maarufu na tajiri sana enzi hizo dsm.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ngoja waje wajuzi.
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Ndie mwanae, sijui kivipi ila wanaukooo! HAPANA CHEZEYA KHADIJA MWANAMBOKA TANGU AKIWA DANCER BILLS YA ENZI HIZOOOO NA KUNDI LAO LA MADUUU WESTERNIZED!!!!!!! Kila mtoto wa kino alikuwa anataka kuwa dancer na yeye ili atingishe kama kina dada Khadija!!!!!!!!! AGE IS A THIEF!!!!!!!!!! Enzi hizo za Mzee Ruta PAPA Diamond Sounds, Muzee ya Silent Inn!!!!!!!!!!! Akamshusha Defao LIVE!!!!!!!!!!! Bwana asifiwe sana Mzee wetu wa ukweeee! UMENIKUMBUSHA MBALI SANAAA KWENYE REDE ZA PEKU PEKU NDANI YA PICHU YA TAIWAN!!!!!!!!!! Kumbe nazeeka sasa!!!!
   
 4. K

  Kironde Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  lara 1 we kiboko! Mbavu sina! ..."REDE ZA PEKU NDANI YA PICHU ZA TAIWAN"
   
 5. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kuna wakati ilivumishwa kuwa yale malori yalikuwa ni ya Salim Ahmed Salim. pengine kweli. who knows?
   
 6. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yaani hapa ndipo mbavu zinapata shida kweli hapa, nadhani kuna vipaji vingine bado havijagundulika vizuri humu duniani.
   
 7. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Duh, Lala1 nilikuwa najisemea kuwa wewe ni bado saaaaaaana! kumbe ni kati ya wale hawavumi lakini wamo. Umenikuna ile mbayaaaaaaaaah! kwani hizo ndiyo enzi zangu kwa sana pale DDC, Rozana nk.
   
 8. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Real owner ni Ndugu Salim Ahmed Salim
   
 9. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Lara 1 we mi nakukubali sana mkuu,nakumbuka enzi zile za silent inn namkumbuka huyu mzee alikuwa na mwanawe tulisoma naye jamaa alikuwa ni kiboko kwa mapigo tulikuwa tunamwita Makoye alikuwa ni noma,tupe stori basi lara.
   
 10. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe ullijuaje kwamba mwenyewe ni Salim? tupe dondoo basi tukuelewe.
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaaa! Hapan chezeya TAIWAN MPYAAAA!!!!!!!! Ukiitinga lazima upige chejo la kuruka juu huku miguu umeichanua na kigauni mekipandisha juuuu! Kisha unamalizia kwa kupiga "MPYA HIYOOO!!! MMEIONAAA EEEEH! YA KIMADENCHINA( MADE IN CHINA) HIYOOO!"
   
 12. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Kumbuka enzi za Vijana Social hall na Lang'ata social hall. Miaka hiyo tulikuwa tunamvizia Kida Waziri akiwa na Mwarabu(bwana wake) wake wakati anaenda kupiga pale Vijana na sisi tuingie bure.
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Lara 1 ntakutafuta .........................!:madgrin::madgrin::madgrin:
  Tuende pale PR bar karibu na Mwanamboka.....................!
   
 14. awp

  awp JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  huyo jamaa ni mwarabu (halfcast) na huyo bidada ni mwanae, namfahamu 80% coz ana undugu na my big boss. fumbuka ueleze kwanini unataka kujua undani wake
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ni mwanae wa nje. mia
   
 16. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Huyu Mzee Mwanamboka sasaivi anaishi mikocheni mtaa mmoja na Riz1, malori yake yanapaki pale sinza, kinondoni ana petrol station ambayo inasimamiwa na mkewe. Huyu khadija ni mwanae wa nje ya ndoa. Wanae wa ndoa ni akina saad, mwanawe mkubwa wa kiume ndiye mmiliki wa Engen Petrol station mbezi beach opposite na samaki samaki.
   
 17. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  SAS aliwapa fedha za kuanzishia biashara Bakhressa na Mwanamboka, ila Mwanamboka hakupata mafanikio kama ya Bakhressa. Khadija ni mtoto wake.
   
 18. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Watu mnazo data karibu mtamzidi hata DR SLAA?
   
 19. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Asante sana kaka awp,mimi sina nia mbaya kutaka kujua undani wake,mimi nakumbukia tu enzi zile tuko wadogo kinondoni huyu jamaa alikuwa maarufu mno,sasa nilihama huko miaka mingi sana,juzi nilipoona huyu binti khadija kwenye tv ndipo nikakumbuka mzee mwanamboka wa miaka ile na masuala ya magoma moto moto,mana kinondoni ndo ilkuwa kila kitu dar,
  sasa ndio naomba wana jf tushee mnachokumbuka kuhusu huyu jamaa enzi zile na maisha yake.Ni hayo tu sina la zaidi kwa kuanzisha thread hii,na tafadhali kwa yeyote ambaye anataka kuweka information yeyote ambayo itamwatarisha kinamna yeyote ile tafadhali asiiweke kwani sitaki adhulike sababu yangu kwani sina nia mbaya nae yeyote.WASALAAM.
   
 20. B

  Bepali Senior Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  zee wa kino clan hao.
   
Loading...