Ni Nani Anaweza Kumjua Huyu-MWANNAMBOKA??

Jamani naomba kuwauliza swali linalonitatiza sana. Miaka ile ya themanini wakati mi niko mdogo kule Kinondoni kulikuwa na tajiri mmoja mwenye magari mengi aina ya scania 111, jamaa mwenyewe alikuwa anaitwa MWANAMBOKA na mascania yake tulikuwa tunayaita mascania ya Mwanamboka. Huyu jamaa ni maarufu sana Kinondoni pale, sasa miaka ya 2000's akaja akajitokeza binti mmoja anayeitwa KHADIJA MWANAMBOKA, sasa nauliza huyu Khadija Mwanamboka ni mwanawe au ni ndugu au ni jina tu limefanana? Maana huyu Khadija anaonekana ni mwarabu na yule mzee mwenyewe kama jina lake linavyoonyesha ni mswahili ila sijui ni wa mkoa gani wala kabila gani.Kwa anayemfahamu vizuri huyu jamaa na maisha yake tubadilishane mawazo si vibaya tukajikumbusha mambo yaliyokuwa yakituburudisha zamani jamani. Hivyo jamani kwa yeyote yule mwenye kumjua huyu mzee atupe historia yake na ya familia yake mana alikuwa maarufu na tajiri sana enzi hizo dsm.

Khadija si mtoto wa kuzaliwa na Mwanamboka. Mwananamboka alikuwa akiwalea watoto wa ndugu zake. Hadija amesoma Kinondoni Muslim na kaka zake Saad, Nassoro na wengine.
 
Nadhani MWANA MBOKA ni ''nickname ya kibiashara tu'' ya Mzee SAAD ALLY......NI JINA LA KIKONGO INGAWA WANYAKYUSA NAO WAPO PIA.....:caked:

aboutimage.png
 
Khadija si mtoto wa kuzaliwa na Mwanamboka. Mwananamboka alikuwa akiwalea watoto wa ndugu zake. Hadija amesoma Kinondoni Muslim na kaka zake Saad, Nassoro na wengine.

Kivipi hapo mkuu mbona kila mtu anasema ni mtot wake? tufafanulie.
 
Ndie mwanae, sijui kivipi ila wanaukooo! HAPANA CHEZEYA KHADIJA MWANAMBOKA TANGU AKIWA DANCER BILLS YA ENZI HIZOOOO NA KUNDI LAO LA MADUUU WESTERNIZED!!!!!!! Kila mtoto wa kino alikuwa anataka kuwa dancer na yeye ili atingishe kama kina dada Khadija!!!!!!!!! AGE IS A THIEF!!!!!!!!!! Enzi hizo za Mzee Ruta PAPA Diamond Sounds, Muzee ya Silent Inn!!!!!!!!!!! Akamshusha Defao LIVE!!!!!!!!!!! Bwana asifiwe sana Mzee wetu wa ukweeee! UMENIKUMBUSHA MBALI SANAAA KWENYE REDE ZA PEKU PEKU NDANI YA PICHU YA TAIWAN!!!!!!!!!! Kumbe nazeeka sasa!!!!

ahahahahahhahahhah LARA aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !kitu cha igongwe social hall unakikumbuka?lang'ata je?
hunters club pale ubungo?
 
Last edited by a moderator:
Vitunguu vinanukiaaa aaaaah,vitunguu vinanukiaa jammaaaee, shemeji naye anataka nimpevituz,
yekeke mshua yekeyeke,yekeke mshua yekeyeke....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Vitunguu vinanukiaaa aaaaah,vitunguu vinanukiaa jammaaaee, shemeji naye anataka nimpevituz,
yekeke mshua yekeyeke,yekeke mshua yekeyeke....
kitu ilikuwa inapigwa YEKE YEKE TUMORO YEKE YEKE!
vikukuuu vinanukia aaaaaah vikuku vinanukia aaaaaah kwa mama yereli YEKETE TUMORO YEKE YEKE!
dah!
 
hakuwepo tu ilikuwa patashika angekuwepo si ingekuwa balaa!ahahhahahahaha what a day! af Mtambuzi kaadimika kidogo ni toka juzi hivi sijamuona humu! Mtambuzi iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:whistle::whistle::whistle::whistle:

hahahahahaha. Ulposepa ndo palinoga zaidi.. Ulikosa uhondo
 
Last edited by a moderator:
Du haya majina ya kibiashara kiboko
Nisaidieni na huyu Mwanamboka wa TBC anayetangazatangaza mambo ya muziki naye kalelewa pale?
cha mwisho SAS kiboko km aliwasaidia hata na Bakharesa basi kumbukumbu tuziweke sawa maana haziandikiki
 
Nicas Mtei, snowhite, Jiwelinaloishi nyie nyie khaaa! mnataka kuwapa wanajamvi uhondo wa jamvi????????? duh! lidum chimbo milelel zidumu dompo na valuuuu khaaa! shostito cacico upooooooooooo. na Mtambuzi dereva mweeeh! Mungu atusamehe tuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Za Uhakika huyu sio chotara wa kiarabu bali ana asili ya uyahudi
Huu ni ukweli niliwahi kuambiwa na wazee wa miaka ya 47
Alijifanya mwarabu kutokana na siasa za wakati huo
Na watoto wao walioa warabu na waafrika lakini asili ya mwanzo kuja hapa bongo ni uyahudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom