Msouth Madenge huyu jamaa ni akili kubwa

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Huyu mwamba ambaye katika Himaya ya Utwitani ni Maarufu kwa Id ya Msouth Madenge nilichokigundua huyu jamaa anauwezo Mkubwa wa kuchambua mambo kwa haraka zaidi yaani kwa lugha nyepesi ni mtu mwenye uwezo wa kiakili (mental ability) wa kiwango cha juu, unaofanya jambo la kiakili kwa haraka, kwa usahihi wa kiwango cha juu na hii inawezekana jamaa anasoma sana vitabu jambo ambalo wenzake wakina Masanja,Mussa Kipanya na Swebe na wengine wengi hawawezi kufanya hivyo

Pia Nadhani ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko watangazaji wenzake katika kipindi hicho hapo Efm.

Mwisho Ningependa kupata michango yenu wanajamvi kuhusu Elimu yake kwa Ujumla.

Nawasilisha
Kukumsela
 
Hamna kitu pale, leo nimemsikiliza eti anasema house girl alipwe kutokana na uwezo wa familia anayofanya kazi.Angesema ma house girl walipwe vizuri.Na kama mtu hana uwezo wa kuajiri house girl ,aache.

Binafsi ninamuona wa kawaida, sema kweli anawazidi uwezo wa kufikiri hao alio nao hapo EFM.
 
Hamna kitu pale,leo nimemsikiliza eti anasema house girl alipwe kutokana na uwezo wa familia anayofanya kazi.Angesema ma house girl walipwe vizuri.Na kama mtu hana uwezo wa kuajiri house girl ,aache. Binafsi ninamuona wa kawaida, sema kweli anawazidi uwezo wa kufikiri hao alio nao hapo EFM.

Yaani una maana yeye ni angalauangalau kuliko swebe na masanja?
 
Hamna kitu pale,leo nimemsikiliza eti anasema house girl alipwe kutokana na uwezo wa familia anayofanya kazi.Angesema ma house girl walipwe vizuri.Na kama mtu hana uwezo wa kuajiri house girl ,aache. Binafsi ninamuona wa kawaida, sema kweli anawazidi uwezo wa kufikiri hao alio nao hapo EFM.
Eeeeeeh Usiniambie
 
Huyu mwambaaa ambaye katika Himaya ya Utwitani ni Maarufu kwa Id ya Msouth Madenge nilichokigundua huyu jamaa anauwezo Mkubwa wa kuchambua mambo kwa haraka zaidi yaani Kwa lugha nyepesi ni mtu mwenye uwezo wa kiakili (mental ability) wa kiwango cha juu, unaofanya jambo la kiakili kwa haraka, kwa usahihi wa kiwango cha juu na ambao wakina Masanja,Mussa Kipanya na Swebe na wengine wengi hawawezi kufanya hivyo

Pia Nadhani ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko watangazaji wenzake katika kipindi hicho hapo Efm.

Mwisho Ningependa kupata michango yenu wanajamvi kuhusu Elimu yake kwa Ujumla.

Nawasilisha
Kukumsela
Aza boy huyo
 
Anaweza sana kuandika Twitter, issue anayotakiwa ku-prove, je anaweza kuongea? Not always criticising coz yeye ni Chadema, but we expect him kuchangia mawazo yake.

Hatutarajii atuwekee uchadema wake hapo kama Gerald Hando. We need unbiased analysis ambayo itaonyesha usomi, utofauti, lakini kwa lugha rahisi coz wasikilizaji wake hawataki mambo magumu, japo wanayataka mambo magumu katika maneno mepesi.

He may seek an audience with Paul James Sweya(PJ) or Masoud Kipanya, naona ana relate nao, though Kila mmoja ana taste yake tofauti
 
Anaweza sana kuandika Twitter, issue anayotakiwa ku-prove, je anaweza kuongea? Not always criticising coz yeye ni Chadema, but we expect him kuchangia mawazo yake.

Hatutarajii atuwekee uchadema wake hapo kama Gerald Hando. We need unbiased analysis ambayo itaonyesha usomi, utofauti, lakini kwa lugha rahisi coz wasikilizaji wake hawataki mambo magumu, japo wanayataka mambo magumu katika maneno mepesi
Japo wanasema huyu jamaa ni mbadala wa Gelard Hando

Je,anaweza kuvaa viatu vyake?
 
Back
Top Bottom