Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,211

kwani kabla ya simu mapenzi sii yalikuwepo jamanii.....unajua hapa inabidi tuu wanawake waelewe kuwa sio lazima jamaa akupigie simu maana sasa hiyo imekuwa kzi sasa....kweli atakapo kumiso anaweza panda hewani...but lets leave fone calls for emergencies!!!
kwani emergency ni hadi iwe 911?

ingekuwa phone calls are for emergencies nadhani simu zingetengenezwa na namba 911 pekee. Hizo digits nyingine zimewekwa ili upigeee kijana simu ni kwa mawasiliano....HELLO!
Yaani mimi nisipopigiwa simu siku nzima huwa najikausha na mimi ila kesho yake natangaza ban
kwani emergency ni hadi iwe 911?

hapana ....ata 444 ni emgncy cl!!!!!!!!!
Kwa hiyo rate of turnover ni kubwa sanaYaani mimi nisipopigiwa simu siku nzima huwa najikausha na mimi ila kesho yake natangaza ban
Na je ukipigiwa na ukashindwa kujipokea itakuwaje?Mmmmm Bebii mwongo wewe najua kunawakati haupokeii simu je huyo anayekupigia hatajikiaje?Au nawewe utapewa Ban?Yaani mimi nisipopigiwa simu siku nzima huwa najikausha na mimi ila kesho yake natangaza ban
Kinyonga kivipi?Tupe rangi zake Bebii Kinyonga..Yaani we mwanamke ni Kinyonga balaa!!!!
mapenzi bila ya mawasiliano sio mapenzi.wakaka mjue kupenda,huwasiliani na mwenzio,ina maana hayupo kwenye mawazo yako.mkiambiawa hamjui kupenda,mnalalamika.kumpa mwenzio attention ni vizuri,hata kama ana shida akiwasiliana na anae mpenda anajisikia faraja fulani.ila wote mkikaa kimya,taratibu mapenzi hufa